Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kwa kweli inauma sana,
na inarudisha nyuma tasinia kwani wazazi wengi hawatakuwa tayari kuwapeleka watoto wao ktk kujiendeleza ktk nyanja hii.
Hii ni kwa sababu ya kuogopa mapapa mtu yatakayo pelekea watoto kupotea na kujihusiha na makubwa kabla ya umri.

R.I.P The great, na makubwa ya LULU!
 
Ok. Na scenario kama ile ya "umati" wa vijana 100 waliozingira Kituo cha Polisi Oysterbay baada ya mazishi ya Kanumba kwa nia ya kufanya fujo chanzo chake ni nini kama siyo mfumo "dume" uliopo Tanzania unaothamini maisha ya mtu wa kiume zaidi ukilinganisha na ya mtu wa kike?


Hao ni vijana ambao nadhani walikuwa wamejawa na chuki dhidi ya Lulu kwa tuhuma za kumsababishia kifo na siyo kigezo cha mfumo dume.
 
unajua mtu kama kanumba anapokufa , wafanya biashara hapo ndipo wakati wa kutengeneza pesa sana. Hutengeneza survenil nyingi kwa muda wa wiki moja za kusubiri mazishi na kuuza kwa waombolezaji. Utakuta vikombe vya chai vyenye picha ya marehememu. T shirts,paper towels na pen za kaundikia. Hapa bongo akili hiyo hatuna.
mkuu pita maduka ya sinza uone tshirt za kanumba alfu 25,000 ,we luvyuuuuuu kanumba,na mengi tu wamejitahdi kuwahi kibiashara ila nkajiuliza familia zzinaitaji kupata gawiwo ama?
 
nikiwa kama mzazi na mshabiki wa sanaa nchini, sipingani na hoja zako. Ila kama ni kweli haya yapo, basi ujumbe muhimu umewafikia.
lyimo mbonsafo meku kanyi,naotombe
mkuu unaweza soma mwenyewe ama kusikiliza katika moja ya nukuu zake akinukuu amewanyanyua wengi nafurahi ametaja majina katik hayo yupo lulu,wema ,jeniffer sikumbuki na nani sikiliza clouds sasa katika hao wema,na lulu hao ni right off now,sijui jennifer kama amepona.....nkajiuliza sana tunaelekea wapi??lengo letu ni kuwasaidia .....,na si kuwatumia kama makahaba..nilishtuka katika list aliotaja ya kuwanyanyua waasanii sikusikia jina la mwanaume..ingawa sikutaka kujua zaidi
 
Tar 10 may mwaka jana gazeti moja liliandika wasanii wa filamu watauana
kwa kutafunana wenyewe.habari hizi zilipelekea baadhi ya wasaanii kuingia
kwenye tv na kukanusha habari hizi pamoja na marehemu wetu steven

pengine ni wachache waliokuwa wakijua steve anatembea na lulu
katika moja ya mikanda ya kanumba ,steve alia act kama baba wa lulu jana nilikuwa naangalia
nakutoa machozi sio sababu ya kifo bali ni kwa kilichokuwa kikimtokea lulu pasipo
watanzania kujua nini kilichopo nyuma ya pazia

tar 4january walihojiwa lulu kwenye tv moja ,akaulizwa ukaribu wake na kanumba ama steave aka
the great akakana kabisa kabisa,,baada ya muda walimuhoji steve kanumba akakana kabisa kabisa
na kusema yeye kama mzazi lengo lake ni kunyanyua vipaji vya watoto kama wakina lulul na si kuwaharibu natumaini star tv bado wanayo habari hii

leo hii sikushangaa sana kwa yaliotokea kwa mwanawetu lulu kukutwa akitembea na steve kkanumba
ni mengi yatakaliwa kimya lakini ukweli unabaki wazazi mnaowatoa watoot wenu kwenye hii fani muwe makini sana sana watu hawa ama wasanii wafilamu wajiitavyo wako radhi kukutunzia mtoto mpaka anakua akishakua kinachofanyika ni mpitiano mmoja baada ya mwingine

nasema hivi kwa machozi yakiniktoka kanumba amekuwa akitembea na lulu si kwamba akujua ametembea na wasanii kadhaa ambao bila aibu na hata kumwogopa mungu walikuwa mstari wa mbele na makoti yao meusi kubeba jeneza la kanumba..sipendi kusema mengi ila wapo watakaojua rey na kanumba waligombana kipindi fulani src ni nini??si huyo tu nasema hivi kuwaasa wazazi narudia tena tena na tena na ndio maana sikuwa sana na simanzi mpaka nilipowaona wale watoto watatu wadogo walivaa magauni meupe yana picha ya kanumba na kumuuliza mungu hivi lulu nikumbukavyo alikuwa mdogo sana sana kipindi anaanza kuigiza na kanumba alikuwa mfadhili wake sikatai alikuwa msaada nikajiuliza

hawa watoto wadogo ambao wanalia kanumba katutoka je angekuwa mzima wangekuwa umri wa lulul ni nini kingetokea???ni huzuni kubwa kubwa kwa shida za familia ya lulul kuonekana kama src ya wasanii kumpitia mmoja baada ya mwingine

ni dhahiri na si kuficha naomba tuwe wazi wasaanii wa filamu wamekuwa wakitemebeleana wenyewe kwa wenyewe na hii ni hatari kwa kuwa iwapo mmoja taondoka hata kwa bahati mbaya na ngoma ni wazi tutaanza kununua kipande pale kinondoni maalum kwa ajili ya wasanii kuwahifadhi.....

Naomba niweke wazi kuna wengi watauliza iweje leo hii lulu aseme ana miaka 17 wakati alifanya sherehe kubwa akitangaza amefikisha miaka 18 na kanumba akifadhili almost nusu ya garama kama sio nzima..tusipige kelele cheti kimepelekwa na kiko mahakamani wachen sheria iseme ..mkijiuliza sana jiulizeni iweje kanumba alitudanganya waatanzania kama si pamoja na wapenzi wake wa nje ya nchi mbele ya tv kwamba hana uhusiano zaidi ya kumsaidia lulu mdogo wetu leo .....hii lulu ameapa kusema wazi na ukweli na ndio maana serikali wanaona aibu kumficha wakijua watasaidia lakini ukweli utajulikana tu ........

Nafikiri niwa wakati muafaka kumpa nafasi na kuwaapa sapoti waheshimiwa eater bulaya na halima mdee ili wawe wanatupa ukweli nini kinaendelea kinachoeenakana kuna kificho kinataka kufanyika lakini nawapongeza kwa kuingilia kati na kusema ni lazima wafwatilie na kumsaidia huyu mtoto

ila nasikitika sana wapo wengi waliokuwa wakimnanga msibani kanumba kwa k usema afadhali ametuachia zigo letu na mmoja wao ni mmoja wa wasanii na lishiriki kubeba jeneza la kanumba hii ni taarifa tu ....wakati tukitoa sifa basi tuweke na ukweli ili wasanii wengine wajue kumbe kwenye filamu nini kinaendelea

binafsi sina tatizo kutembea na msanii mwenzako ,ntakuwa mtovu wa nidhamu kuuliza kwa nini Kanumba alitembea na WEMA,hao ni wakubwa na wala atuitaji kujua zaidi...tatizo ni iweje mnawakuza watoto na kwakati mwingine mnawagarimia mkijua miaka yao midogo na kuanza kutembea nao ..swala je llulu atusaidie kwa hili

Ndugu zangu kimeniuma sana sana sana katika moja ya statement za Steve kanumba kwamba amefanya mambo mengi amewanyanyua watu kadhaa katika majina 4 aliotaja ikiwamo lulu na wema wote walikuwa mabibi zake na wote aliwaingiza wakiwa chini ya miaka 18..tusifikirie tu kumfunga lulu tujiulize je Kanumba angekuwa hai leo lulu amepeleka cheti ana miaka 17..kanumba angekuwa wapi..aibu hii angeipeleka wapi???

raha ya milele umpe ee bwana ana mwanga wa milele umwangazie uncle steve apumzike kwa amani

ameni

Ameeen...

Kama kweli Lulu ana miaka 17, Lahaula..!!! Wazazi wake wapelekwe jela moja kwa moja bila ya kesi.
 
Tayari DVD za mazishi yake zinauzwa barabarani
mkuu pita maduka ya sinza uone tshirt za kanumba alfu 25,000 ,we luvyuuuuuu kanumba,na mengi tu wamejitahdi kuwahi kibiashara ila nkajiuliza familia zzinaitaji kupata gawiwo ama?
 
naungana na wewe kanumba namchukulia kama mbakaji

aliwahi kutembea na mtoto wa brother wangu silyvia mtoto

akawa hasikii lolote toka kwa mzazi kanumba alivyofuatwa

kupewa onyo alijibu jeuri sasa yamemkuta anavuna alichopanda
afadhali yako mie alikuwa anatembea na jirani wangu ambae ndani amewekwa kama mke mtarajiwa na jamaa ana hela kweli sikujua anakitafuta nini kwa kanumba..akawa anamtumia mlinzi wangu kwenda kumuita mwisho nilimkimbiza ingawa niliishia nae miaka 4..nikiogopa uhusiano na jiran yangu..ni hatari sana sana.....nahisi zile pesa zilikuwa zikimsumbua na kufikiria wapi pa kuzipeleka ......,
 
si ni mimba yake mkuu???
Mimba yake ila alitembea nae mpaka kupata huo uja uzito (kama upo kweli) ndio mashaka. Kuna tetesi jitu kubwa la kuimba nalo limo humo. mama kanumba itabidi aweke vfaa vya Kanumba vizuri kwa ajili ya DNA. Wengi watatokea kudai wana mtoto na Kanumba kwa ajili ya kutaka mali. Mwingine tumesikia jana kanywa sumu akitaka kujiua kaokolewa kwa ajili ya Kifo cha Kanumba, subiri umsikie ayakapohojiwa chanzo cha kutaka kujiua.
 
haikuingii akilini?! Itaingia tu 1day!
Yote ulotoa ni Majibu.
Wacha wakomeshwe,mapaparaz wamezid,watu wanauchu sana na Lulu,.me nataman aachiwe muongee ad ndimi ziwachomoke kwa kuishiwa mate! Ata ungekuwa wew ungekubali kuwa umeua(though i biliv,hakuua hata kwa makusud)hvyo n haki yake kujitetea.na Polis walifanya vema kumficha,wapambe wengi walitaka kuuza gazet! Na kesi ijayo,mtadanganywa kisutu,af atapelekwa mahakama ya roryaaa Musoma,mumfuate ungo!...heheh

Aiiiseeee yaani ilikuwa kama maigizo vile;

Tukio la msanii huyo kufikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashtaka lilikuwa kama mchezo wa filamu baada ya polisi kufanya siri na hata kugombana na baadhi ya waandishi wa habari waliotaka kuingia katika chumba cha mahakama kufuatilia kesi hiyo.

Cheki :: IPPMEDIA
 
Nimebukua dikishenari yangu sijafanikiwa kuelewa ulichoandika, lakini ungeandika kiw
swahili nadhani ningelewa haraka.
hayo maneno yanamuumbua mwenyewe

Reast In Peace Mbakaji
 
Naamini alimwamini mungu na yesu kama mkombozi wake.

Kwa imani yake yawezekana amekombolewa.
Si wewe wala mimi tuwezao fumbua hilo fumbo!

R.I.P the great nimependa hii!
 
mimi alinishangaza hapa.......

TULIOSAPOTI MPAKA KITUO HIKI KUFIKIA HAPA KILIPO SOMA MAJINA HAPO JUU JINA LANGU LIPO HAPO,KUSEMA UKWELI INAPOKUJA MAMBO YA KUSAIDIA JAMII NAJITAIDI KUTOA NINACHOKUA NACHO MAANA HAPA HUKUMBUKA MANENO YA MWANDISHI ALBERT PINE..''
"What we do for ourselves dies with us. What we do for others and the world remains and is immortal
Q1.jpg
 
Back
Top Bottom