Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Mbona tunaishi kwa HOFU!? Freemason..freemason! Habari zao ziko wazi sana, hata hapa jf kuna taarifa zao kwa undani sana, hiyo ni imani kama imani nyingine, iwe ya kishetani au ya kimungu yote yanategemea muumini aliyeamua kuifuata. Hatuna uhakika hata hizi dini tunazoziona za ki-Mungu kama ni salama kihivyo. Endapo SK alikuwa muumini au hakuwa sisi wengine inatuhusu vipi? Kama mtu unataka kufuata/kutofuata imani fulani hafanyi hivyo kwa kuangalia watu walioko bali mafundisho yake bana. RIP Kanumba.
 
Si kila asemaye bwana,bwana atauona ufalme wa mbinguni!! Huyo mungu aliyemuamini ndiyo anaruhusu kwenye maandiko kunywa Jack Daniel na ku do bila ya ndoa tena na katoto kadogo kahuni(ngono machine)..Sidhani kama hata aliweza kusema mungu nisamehe,kabla ya kukata roho maana kifo kilikuwa ghafla...Biblia inasema mshahara wa dhambi ni mauti,jamaa kafia kwenye dhambi,its too bad !!

kila dhambi malipo hapahapa duniani
 
Na maongezi yake ya mwisho nayo ni sehemu ya ushahidi unaotakiwa mahakamani. Kama ni kweli ni kigogo basi vigogo wetu ni mafuska sana na sijui ni nani huyo?

Huenda ni mtu uliyempigia kura! Utachukiaje?

A truth can give someone very painful symptoms..
 
Mkuu hicho unachoongea mbona kina majibu hata humuhumu jf. Jiulize kwanza Lulu ni nani hadi afunguliwe threads kibao (ikiwemo hii yako) humu jf ? Ukipata jibu (kama kweli ni GT) utakuwa umeelewa ni kwa nini polisi / jamii inambeba kiivyo Eliza.

You said it all man!
 
afadhali yako mie alikuwa anatembea na jirani wangu ambae ndani amewekwa kama mke mtarajiwa na jamaa ana hela kweli sikujua anakitafuta nini kwa kanumba..akawa anamtumia mlinzi wangu kwenda kumuita mwisho nilimkimbiza ingawa niliishia nae miaka 4..nikiogopa uhusiano na jiran yangu..ni hatari sana sana.....nahisi zile pesa zilikuwa zikimsumbua na kufikiria wapi pa kuzipeleka ......,

@ P.Didy,

Kwa kweli umenitoa kilichokuwa moyoni, ie ni shabiki wa video zake lakini si shabiki ya ujinga aliokuwa anaufanya, mie ni mpenzi wa mziki sana lakini mambo ambayo nayaona kwa wasanii wa kibongo wengi wachafu sana sio mfano wa kuigwa, kwanza wanatoa mimba kama wanatoa funza, pili hawaogopi KANYESHE yaani NGWENGWE maana wakipenda utasikia tangazo la kuwa na mimba ya mtu fulani.
Ili la Kanumba kuwaendeleza vipaji si sawa, duniani HAKUNA VIPAJI vya kuigiza, kuigiza ni mafunzo fulani ambayo mtu yoyote akifundishwa anaweza kuufanya, ni kama vile kufundisha mtu kuendesha baiskeli. Nalipinga kwa kuwa wengi waliojiunga na usanii wanaishi maisha ya kisanii tu, hawapendi kazi ngumu, utafiti, wengi wao wamekata tamaa ndio maana wanajuza kirahisi kwa wenye nazo. Kama uamini njoooni THE Billionea Club, \au Gillafe Hotel uone wanavyoingizwa na kutoka, wengi wanaacha namba zao kwa wahudumu wa baa, tasnia hii imeingiliwa, tuachane na Kanumba , Je Ray anawafundisha nini watoto wetu, anawafundisha kuunguza nywele kuvaa heleni, ndio utamaduni huo, Maigizo yalikuwa ya Wazee wa Zamani hasa wale wa kaone au kundi la bishanga na wengine, sio hii Bongo movie ya Aunt Ezekiel na Mainda, full kuvaa uchi ndio utamaduni , alafu viongozi wanachekelea tu.
Angalia aka ka JOKETI, kanaanza kuisha kwa maskendo huku kalikuwa kabalozi kazuri sasa kame-haribika kabisa, mwanaume wa kumuoa inabidi awe makini kumtuliza ni kazi.
 
Wana jf tumieni akili kidogo na muache kumtupia lawama sana huyo lulu.. mngesema vipi km lulu ndio angekufa kwenye lile tukio kanumba akabaki hai???? Hiyo ni ajali km ilivyo ajali zingine waacheni upelelezi ukamilike kila kiti kitajulikana.. kwanza huyo kanumba mwenyew hakuwa desent as he pretended to be mbele ya jamii,, alidai hanywi pombe wala hatumii kilevi kifo kikamuumbua kafa kwa ulevi, hatembei na lulu na kafa akiwa na lulu tena kwenye wivu wa mapenzi,,, hii dunia wandugu tunapaswa kushukuru na kumtanguliza mungu atuepushe na mabalaa sio kujidai wajuaji na wasemaji wazuri wa mikasa ya watu

Na kwa Taarifa zilizomnukuu Halima Mdee kupitia Website ya Millard Ayo, Lulu alikuwa apigwa kwa kutumia ubapa wa panga, hatua iliyopelekea Lulu akafanyiwe uchunguzi wa kitabibu kujua athari za kipigo hicho. Akihojiwa na Salama kwenye kipindi cha mkasi, Kanumba alisema hapigi wanawake.
 
Kitu ninachokiona kwenye thread nyingi za saga hili.. Na baada ya majumuisho yangu ni kwamba wana JF wengi wangekuwa ni Rais kwa mfano,na wameshapata hukumu kuwa katiwa hatiani,wangetia saini 'fasta' Lulu anyongwe...!

Na baadhi wangegombea kushuhudia anavyonyongwa LIVE!na wengine wangekuwa tayari kumnyonga kwa mikono yao wenyewe.. Na wengine wangetamani hata kumla nyama!
 
Wadau katikati ya majonzi, baadhi ya mastaa walichukulia msiba wa Kanumba kuwa kama sehemu ya kucheza na Kamera. Wema, Irene Uwola, Wolper, Steve Nyerere, Recho,Johari na wengine walichuana katika kuzimia. Pale
walipoona kamera ikielekezwa kwao hasa wema, alianguka na kujigalagaza huku steve nyerere akianguka kwa muda na kunyanyuka pale alipogundua wapiga picha hawamjali. Sijui nani aliigiza vizuri kwenye kuzimia wadau
220.jpg
 
Hilo neno ndio lililomdhuru ! Mwangali Ali anavyoteseka kwa kujiita hivyo, tena yeye ilikuwa 'The Greatest' Muhammad Ali'
 
Mmhh!Hivi inakuwaje mtu anakuwa famous ivyo wakati kuna watu ni famous zaidiye na hawakuweza kupata umaharufu kiivyo??Au ndo nguvu ya secret society imetanda na ufunuo fulani kiasi kwamba watu wana macho lakn hawaoni!wana mackio lakn hawackii!Mi hainingii akilini maprof.kabisaa!Inawezekana ndo nguvu ya hawa watu bwana
 
Mkuu,nakubaliana na wwe.Bt najaribu chunguza kwa umakn naona karibia kila tasnia,kila field ni uhozo mtupu.Mf.Nenda kwenye kampuni zetu izi ukikuta mtu ni bosi ni wachache wanaojiheshmu,asilimia kubwa utakuta anagonga kila mtumishi mwenye jinsia ya kke aliye chni yake,hata kama mi mlemavu wa viungo!siyo tu kwenye kampuni hata ma head teacher utakuta kila mwl.anayeripoti atataka apite au jeshn,n.k.(kula kula kula kula kama vile mtu amerogwa!hata hawa wafanyabiashara wadogo kwa wakubwa!KWANI HAUJASKIA SKENDO ZA VIGOGO SERIKALINI au skendo Vyuoni kuwa kuna mhadhiri analamba wanachuo?Tena msomi.!Haacha kabisa.Omba Sir God usiwemo ktk kundi ilo linalotafta umaarufu kupitia kwenye njia ya mkojo.Full stop
 
Back
Top Bottom