afadhali yako mie alikuwa anatembea na jirani wangu ambae ndani amewekwa kama mke mtarajiwa na jamaa ana hela kweli sikujua anakitafuta nini kwa kanumba..akawa anamtumia mlinzi wangu kwenda kumuita mwisho nilimkimbiza ingawa niliishia nae miaka 4..nikiogopa uhusiano na jiran yangu..ni hatari sana sana.....nahisi zile pesa zilikuwa zikimsumbua na kufikiria wapi pa kuzipeleka ......,
@ P.Didy,
Kwa kweli umenitoa kilichokuwa moyoni, ie ni shabiki wa video zake lakini si shabiki ya ujinga aliokuwa anaufanya, mie ni mpenzi wa mziki sana lakini mambo ambayo nayaona kwa wasanii wa kibongo wengi wachafu sana sio mfano wa kuigwa, kwanza wanatoa mimba kama wanatoa funza, pili hawaogopi KANYESHE yaani NGWENGWE maana wakipenda utasikia tangazo la kuwa na mimba ya mtu fulani.
Ili la Kanumba kuwaendeleza vipaji si sawa, duniani HAKUNA VIPAJI vya kuigiza, kuigiza ni mafunzo fulani ambayo mtu yoyote akifundishwa anaweza kuufanya, ni kama vile kufundisha mtu kuendesha baiskeli. Nalipinga kwa kuwa wengi waliojiunga na usanii wanaishi maisha ya kisanii tu, hawapendi kazi ngumu, utafiti, wengi wao wamekata tamaa ndio maana wanajuza kirahisi kwa wenye nazo. Kama uamini njoooni THE Billionea Club, \au Gillafe Hotel uone wanavyoingizwa na kutoka, wengi wanaacha namba zao kwa wahudumu wa baa, tasnia hii imeingiliwa, tuachane na Kanumba , Je Ray anawafundisha nini watoto wetu, anawafundisha kuunguza nywele kuvaa heleni, ndio utamaduni huo, Maigizo yalikuwa ya Wazee wa Zamani hasa wale wa kaone au kundi la bishanga na wengine, sio hii Bongo movie ya Aunt Ezekiel na Mainda, full kuvaa uchi ndio utamaduni , alafu viongozi wanachekelea tu.
Angalia aka ka JOKETI, kanaanza kuisha kwa maskendo huku kalikuwa kabalozi kazuri sasa kame-haribika kabisa, mwanaume wa kumuoa inabidi awe makini kumtuliza ni kazi.