Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Waswahili wanakwambia mtoto uliye mzaa wewe.Kwa wengine ni mtu mzima mwenzako
 
Mmh!! Hakika huyo baba ni mwongo kabisa. Inamaana alikuwa hajui siku zote hizo kinachoendelea wakati mtoto wake amepamba magazeti kwa habari chafu nyingi!!! Si kweli tena wao (wazazi) ndio wamemlea mtoto wao vibaya. Kwanza mtoto mdogo kuanza kuigiza wakati anatakiwa aende shule si busara kabisa. Ndiyo maana mara nyingi wanaoigiza ni watu wazima. Mbona huyo Kanumba alimaliza shule ndio akaanza kuigiza!!!
Watanzania tuna tabia ya kuharalisha mambo inapotokea muhusika ni kipenzi chetu na amekumbwa na mauti....ki- ukweli Marehemu Kanumba alikuwa mbakaji (ni binti wa miaka 17)!!
Baba wa Lulu anasema anamfahamu marehemu Kanumba kama Mwalimu...kumbe alikuwa ana-mbaka bintie...lol
 
Marehemu alikuwa anam rape huyu mtoto wa miaka 17, ambae hata ukimuona umbo tu lazima ujiulize ana umri gani kabla hujamtongoza. Kanumba was a rapist.
 
Mzee wa Lulu aone aibu mtoto kamharibikia harafu anashangaa nini? ina maana hukujua mienendo ya binti yako? Saa sita usiku alikuwa anafundishwa nini na huyo Mwalimu? Mzee Lulu, eti ulidhani mwalimu?? aibu kubwa.

Wazazi mnawatenga watoto kiana harafu baadaye mnajifanya hamnazo, picha za ngono kwenye mtandao hujaziona za mwanao, hujui nini? Kwenu mtoto under 18 anapiga picha za uchi anaweka kwa mtandao, harafu unashangaa kuwa na mabwana?? acha kuzuga heri ukae kimya unaweza kuonekana unaakili kidogo, mtoto ni mchafu sana ndo maana yanamkuta machafu, amini usiami;

jamani uyu mzee wa watu mtamlaumu bure, alikua ameshatengana na mama yake na lulu na mzee wa watu yupo zake uchagani Rombo kwa iyo yanayoendelea apa Dar siyo rahisi yy kuyajua na lulu yupo zaidi kwa upande wa mama yake.
 
Nawewe pia vaa stara ya moyo uache kuhukumu binadamu wenzio. Unamuhukumu huyu binti kwa kigezo gani?

Sídhani kama amemuhukumu hapo.lulu anatakiwa apewe mawidha mbalimbali.isije akwa leo anavaa hijabu kwakuwa anamatatizo atakuwa anamkosea mungu wake.
 
Hatumlaumu Kanumba pekee.....ila nae ana nafasi ya kulaumiwa, anamjua mtoto yule tokea akiwa cheke chea, pengine na umri wake wa ki-ukweli...Mwalimu kula mwanafunzi wake ni KOSA KUBWA.... Wazazi wanajua mwanao anaenda fundishwa sanaa kumbe KULIWA......

Sikubaliani kabisa na wewe eti wazazi walijua anaenda kufundishwa, usiku wote ule??? kama ni mtoto mzuri si angeomba aongozane na mtu mkubwa maana ni usiku; mtoto alikwisha haribika na wazazi wanajua kama hawajui basi walizaa tu wakatosa kuhusu malezi; Wazazi wa matukio siku hakuna tukio kwa mtoto hawapo kabisa ktk maisha ya mtoto.
 
Huyu mzee amekurupuka sana , tena ana sisitiza kuwa mwanae ana miaka 16 ila on 17th April ndo atatimiza 17.

Yote haya ni matatizo ya kuwaachia kina mama walee watoto peke yao, mwenyewe amesema alizaa na mamake Lulu ila hawakuwahi kuishi pamoja. Kwani hata kama hawakuishi pamoja, si angekuwa namuongoza binti yake? mbona alisema Lulu alilikuwa akiwasiliana naye na kwanini hakuwa anamkanya mtoto wake?
Halafu anadai eti anataka kuonana na JK ili aweze kuongea naye ........na kama mwanae asingepata hilo tatizo lini angeeomba kuonana na JK?
 
atakuwa na temporal insanity si bure dah.......
rip kanumba.
 
Watanzania tuna tabia ya kuharalisha mambo inapotokea muhusika ni kipenzi chetu na amekumbwa na mauti....ki- ukweli Marehemu Kanumba alikuwa mbakaji (ni binti wa miaka 17)!!
Baba wa Lulu anasema anamfahamu marehemu Kanumba kama Mwalimu...kumbe alikuwa ana-mbaka bintie...lol

Nimesema sana kuwa Kanumba alikuwa shetani. Sijawahi angalia maigizo yake (sio filamu maana hakuwa na uwezo wa kutengeneza filamu!!) juzi nimeona maigizo yake almost yote ni ngono tu. Mijitu mitanzania sijui inamsifia nini.
 
581994_331091366945015_100001324640850_853926_731046323_n.jpg

Lakini kwa picha hii; inaonyesha kama Baba na Mwanaye.

MAREHEMU KANUMBA ALIKUWA ANAMBAKA HUYU BINTI. MAREHEMU ANASTAHILI KUFUNGULIWA KESI YA UBAKAJI. na AHUKUMIWE MIAKA 30 JELA.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Mmh!! Hakika huyo baba ni mwongo kabisa. Inamaana alikuwa hajui siku zote hizo kinachoendelea wakati mtoto wake amepamba magazeti kwa habari chafu nyingi!!! Si kweli tena wao (wazazi) ndio wamemlea mtoto wao vibaya. Kwanza mtoto mdogo kuanza kuigiza wakati anatakiwa aende shule si busara kabisa. Ndiyo maana mara nyingi wanaoigiza ni watu wazima. Mbona huyo Kanumba alimaliza shule ndio akaanza kuigiza!!!

Nguto kama wewe ni mzazi naomba utubu kwa matamshi hayo. Hakuna mzazi anayependa kuona mtoto wake akitumia muda vibaya kwa kupoteza hatma yake ila watt wenyewe hawasikii pamoja na kuambiwa ingawa siwajui wazazi wa lulu wala lulu mwenyewe, lakini kwa kumwangalia na kumsikiliza katika vipindi anavyohojiwa huyu ameathirika kwa kuiga tabia za watu fulani. Kuhusu mtt kushiriki sanaa si mbaya ni ktk kuinua kipawa alicho nacho lakini anakuwa chini ya uangalizi mkubwa wa wazazi akishirikiana na wahusika waliomkaribisha katika sanaa, huku zikifuatiliwa taarifa zake za shule mpaka hapo atakapokuwa mkubwa mwenye kuamua afanye nini na aishi vipi. Lkn si kwamba sanaa ya uigizaji mpaka uwe mkubwa hilo nalipinga, Na kwa sababu yako mpaka uwe mkubwa ndiyo unakuta wasanii wengi wa bongo hawafiki mbali.
 
Mzee wa Lulu aone aibu mtoto kamharibikia harafu anashangaa nini? ina maana hukujua mienendo ya binti yako? Saa sita usiku alikuwa anafundishwa nini na huyo Mwalimu? Mzee Lulu, eti ulidhani mwalimu?? aibu kubwa.

Wazazi mnawatenga watoto kiana harafu baadaye mnajifanya hamnazo, picha za ngono kwenye mtandao hujaziona za mwanao, hujui nini? Kwenu mtoto under 18 anapiga picha za uchi anaweka kwa mtandao, harafu unashangaa kuwa na mabwana?? acha kuzuga heri ukae kimya unaweza kuonekana unaakili kidogo, mtoto ni mchafu sana ndo maana yanamkuta machafu, amini usiami;

wewe watu kuonyesha mikanda ya NGONO, hizo picha ni za kutengeneza tu, kama ujui mambo ya IT njoo tukufundishe jinsi ya kubadilisha na kuunganisha picha kwa kutumia adobe photo au Autocad 2012 au AutoDesk, hata nyingi tu, watu wanaunganisha picha za wakuu fulani kwa kushikilia kichwa tu na kubadili kiwili wili, hivyo mtoto huyu huenda picha ni za kufoji aliwahi kulalamika, jambo hili limempata Jokati, Mengi, Asha Madinda, hivyo acha kushangaa na kutoa hukumu, tembelea web site desgner watakueleza mengi.
 
Watanzania tuna tabia ya kuharalisha mambo inapotokea muhusika ni kipenzi chetu na amekumbwa na mauti....ki- ukweli Marehemu Kanumba alikuwa mbakaji (ni binti wa miaka 17)!!
Baba wa Lulu anasema anamfahamu marehemu Kanumba kama Mwalimu...kumbe alikuwa ana-mbaka bintie...lol

Ur 100% right, she is underage,Kanumba alikuwa anatembea na minor hivyo alikuwa MBAKAJI,najua nawaudhi wengi lkn huo ndio ukweli ambao wengi wanaukwepa kwenye tuhuma hizi
 
Du jamaa alikaanza zamani nahisi hata kwa. Vidole na nina uhakika hakawezi kuua hata kuku hata km kametumwa
 
Naamini kati ya watanzania wenye matatizo ya akili huyu mzee anayejiita baba yake lulu ni kiongozi wao..kifupi mzee ni chizii.

1- alikuwa wapi wakati mwanae anadhalilisha familia yake kwenye magazeti kwa matukio ya aibu kiasi wengi tuliamini hana wazazi?

2- alikuwa wapi kumuachia mwane afanye tafrija kubwa ya kutimiza miaka 18 hapo mwaka jana ilihali akijua kuwa mwanae ana miaka 16 tu?

3- alikuwa wapi kuangalia mwanae anaendesha gari la kwake mwenyewe wakati anajua huyo ni mtoto na hajatimiza umri wa miaka 18 inayomruhusu kuajiriwa na kulipwa pesa aweze kununua gari kwa pesa yake?

4- alikuwa wapi anapomwona mwanaye kwenye tv akitangaza kuwa kafikisha miaka 18 na anajenga nyumba inayokaribia kuisha huko kimara?

5- alikuwa wapi anaposikia mwanae anaenda club na analewa pombe chakari plus scandal za ngono wakati yupo firm 2-4?

Nadhani haki ya kwanza anayotakiwa kuiona inatendeka ni yeye kuhukumiwa kwa poor parenting aliyomlea mwanae kiasi cha kuishia "kufunzwa na ulimwengu"...naomba haki itendeke na ianze na huyu mzee wa kichaga asiyejua kulea kazi kulewa...what a irresponsible stipidy n poor daddy he is???

Alikuwa safari, c unaona yeye yuko moshi vijijini, mtoto yuko dar, angewezaje kuja kumchunga wakati uku ni uswahihili hata geti hakuna,
Kama uwezi kuamini watoto wa shule kama Green Acre, Kentoni, wanatoroka kwenda disco nenda maisha club uone
 
Back
Top Bottom