Mpk miaka hiyo nitakuwa nimeshakufaKweli mkuu aliwahi kusema wazi kuwa ana kisukari na kudai kuwa moja ya dawa zake inatibu kisukari lakini yeye anataka ajifunze madhara ya kisukari hatajitibu.
Pia alijiita nabii kwa kutabiri mwisho wa dunia kimahesabu, hesabu zilizoangukia mwisho kuwa 2037 hivi..!
Kwa kweli, wanapenda mali pendo la kupindukia.Mke mchagga??????
Walai hata bure sioi
Umeutendea haki huu uzi.View attachment 1842420
View attachment 1842421
Mrejesho no 2
Maelezo ya Bi Riziki Buberwa yako wazi wakati akiongea na wawakilishi wa ndugu wa marehemu kwamba walianza kutafuta mali wote na walifunga ndoa na kupata watoto watatu .
Anasema kuwa hawakujua awali kama mumewe ana mtoto mkubwa.
Kwamba baada ya kutokea kutoelewana baina yao aliamua kwenda mahakamani kutafuta haki yake kisheria na mahakama iligawa mali sawa kwa sawa. Hata ofisi ya huduma za kitabibu iligawanywa kila mmoja akabaki na ya kwake.
Hivyo kila mmoja alianzisha maisha yake huku wote wakiwa na jukumu la kulea watoto
Anasema miaka kadhaa baadaye alikuja kugundua kuwa mumewe huyo amefilisika na hajui zile mali zake alipeleka wapi au kufanyia nini maana hata mtoto wake mkubwa alikosa mwelekeo. Aliamua kumchukua na kukaa naye.
Anasema maisha ya mumewe waliyetengana bila kuvunja ndoa yalikuwa hayaeleweki na kila mmoja aliishi kivyake hadi hapo mauti ilipomkuta akiwa dodoma.
Anasema taratibu za kumzika alizifanya yeye akishirikiana na badhi ya ndugu wa marehemu hasa mdogo wake wa kiume,watoto wake wote wanne na yeye.
'Dr Buberwa hakuwa na mama wala baba ,amezikwa na mkewe,baadhi ya ndugu zake na watoto wake wote hata mwanamke aliyezaa naye huyo mtoto alikuwepo' sasa mtasemaje familia yake haikuhusika?. alijibu wakati akihojiwa .
Kuhusu kutopeleka msiba bukoba Riziki anasema kuwa kulitokea sintofahamu iliyotokana na maziko ya mumewe lakini kwa sasa anajinga kupeleka msiba na watoto huko Bukoba.
Alipoulizwa alipo yule mtoto wa kiume kwa sasa amesema kuwa amepelekwa Morogoro kwa mamake.
Kuwajua vema wapendao hawa waliotikiza na kuvunja historia ya harusi za kifahari Jijijini Dar. unaweza kutazama hapa chini
The Wedding of Dr Joseph Buberwa and Riziki N. Onja kidogo Jinsi mambo yalivyojiri!
Hakika Dr Joseph B na Riziki walipendeza sana. Nice Swagga la chungulia chini! Swagga la Pingu za mais...grmproductiontz.blogspot.com
Husikose mrejesho no 3
Ubarikiwe sana mkuu, Darasa zuri sana hili.Wakisemwa jamii zingine hapa kwa tabia zao mbaya sio shida ila shida mkisemwa nyie si ndio ?!
Jifunze kurekebika. Tofautisha lawama na kuambiwa ukweli.
Mental illness inakusumbua wewe..kuna sehemu uliona nmesema ana DM..? Punguza makasiriko na chuki za kujinga dogo.Na wewe uliwapima kwamba wana Visukari na majibu unayo?
Mbuzi wewe
Mkadiriaji kama mimi,halafu upo hapa ku-lecture me niache ukadiriaji wakati na wewe kadiriaji
Kiazi wewe
Jf imengiliwa na vichaa ambao walistahili kuwa milembe..nahisi kakosa ajira huyu ndio mana kachanganyikiwa anahitaji masaada wa haraka anaweza jiua huyu.Una magonjwa ya akili wewe si bure!
Maana unafoka kila mahali!
Are you sure you are not crazy?
Hauokoti makopo kweli?
Kwenye ulimbo kunasa lazima[emoji23][emoji3][emoji3]na huyo mke wa buberwa alikuwa mzuri bana
DuuSamson alimuua simba kiumbe anayesemekana ni hatari..
Na mwanamke alimsagia kunguni Samson..
Sasa umeshajua kiumbe hatari ni kipi..
Muone kwanza, sisi wachaga hatuna hizo mambo jombaaAsante kwa mrejesho...wanawake wa kichaga sio wakuoa wale ni magaidi ukipata mali ur gone...lazima akuue na watoto anachukua.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo kwenu watu huwa hawafi kisa sio wachagga vitu vingine huwa ni akili ndogo huamini. Mimi na wewe kufa siku moja ni lazima
Wachaga ni hatari usithubutu ata siku moja, hawa ni wa kuchakata tu, waowane wenyewe, kuna jamaa angu ni Msukuma kaoa Mmachame aisee mapito anayopitia ni hatarii yani ni mateso~Mpaka na Mimi Naanza kuamini nakuogopa Kuhusu Wadada wa KCHAGA
*
Hahaha, ngoja nicheke mie kama mazuri vile,Babu mwitore ule mchepuko wako unaendeleaje mlisha settle Mambo yenu.
Hawa hapa baada ya kula ndafu
Nimefurahi michango yako katika hili suala. Aidha itakuwa vyema tukitafakari na kutafakuri hizi picha za harusi yao. Hapa hatuwezi jifunza kitu? Mfano katika picha hii, wewe unaona kuna usawa wa kijinsia ambao tumeuzoea? Au (the so called Dr) Buberwa alikuwa marioo?Huo upande wa pili uta justfy kitu gani?! Mume anataabika mwenyewe , anadhulumiwa, kuna cha justfy hapo?! &
Nimefurahi michango yako katika hili suala. Aidha itakuwa vyema tukitafakari na kutafakuri hizi picha za harusi yao. Hapa hatuwezi jifunza kitu? Mfano katika picha hii, wewe unaona kuna usawa wa kijinsia ambao tumeuzoea? Au (the so called Dr) Buberwa alikuwa marioo?View attachment 1842909
Wahaya tumekengeuka wapi? Machame na Bukoba kwelii?Mkuu nimeweka upande wa pili unaweza kusoma hapo juu au mwanzo wa post hii