Kifo cha Tabibu Dkt. Buberwa wa Herbal Products utata mtupu

🤣🤣
 
Ni tapeli tu huyo! Yaani awe na dawa ya kutibu kisukari halafu mwenyewe asijitibu abaki kuteseka na kupoteza nguvu za kiume
Mkuu mbona alisema kwamba kwa miaka yote hiyo 13 alikuwa anatumia dawa yake inayoitwa LIFE na ndio imefanya hakuwahi kulazwa kwa sukari kupanda na hakuwa akiicontrol sukari yake alikuwa akiendelea na shughuli zake kama kawaida.
 
Thats your problem and your rules not mine

Dont impose it on me,nimeweka response yangu hapo,haipo kwenye your frequencies then pita hivi

Mimi hivi,mimi that,nina allerge ya kelele,ninataka hivi mara vile,etc..thats on you my nigga!
Mkuu uko state gani ?!!

Mzee wa free world kama KIRANGA vile.....

Ninataka unifahamishe je ni experience zipi baadhi ya wadau hufuata mkondo wa free world wakiondoka bongo na kwenda kuishi "mbele" hususani US...kwani Kiranga alikuwa mtu wa dini sana kabla hajakuja huko.....

If you don't mind mkuu....

Peace
 
Fafanua Kuhusu Utata...
 
Mkuu hiyo dawa naweza kuipata wapi? Bi mkubwa anasumbuiwa sana na magoti
Mkuu tatizo la maumivu ya mgoti maranyingi husababishwa na upungufu wa madini ya calcium mwilini Sasa dawa yake Ni kula kula vyakula vyenye virutubidho hivyo na nakushauri mtafutie moja Kati ya -: Majani ya mlonge
Spinach (sio Chinese)
Bamia
 
Mrejesho no 1

Tukio lenyewe liko hivi.

Huyo Dr Buberwa aliingia msukosuko na mkewe huyo Riziki baada ya familia kuingilia kati juu ya mambo ya mali maana alikuwa na watoto 3 wa kike kwa huyo dada Riziki na mtoto mkubwa wa kiume mkubwa aliyekutwa wakati anaolewa.

Ilikuja kubainika kuwa huyo Dr buberwa mali zote ikiwemo maduka ya dawa, nyumba zote za Dar na huko kwao ukweni walikokuwa wamejenga zilkuwa kwa jina la mke huyo.

Tangu day one huyo mama anaolewa alikuwa na one mission ya mali na kumfilisi huyo dr.

Huyo mwanamke alikimbilia mahakamani kuonesha vielelezo baada ya ndugu kuchachamaa. Mahakama ilitoa hukumu na kuonesha Dr buberwa hakuwa na kitu chochote bali usajili wa kampuni ambaye naye huyo mama ana hisa ndani.

Hivyo Dr buberwa alifukuzwa hata kwa nyumba akaanza maisha mapya kupanga. Aliishi kwa msaada wa ndugu na akaanza kuzunguka mikoani kutoa huduma mbalimbali.

Alianza kubadili huduma ikiwemo kuuza bidhaa za ulinzi kama cctv camera nk pamoja na mambo ya unabii.

Baadaye alianza kuugua magonjwa mbalimbali hadi kukatwa mguu mmoja. sijui chanzo cha ugonjwa uliosababisha ukatwe ila inasemekana ni kansa.

Kutokana na kuangaika mikoa mbalimbali mauti yalimkuta akiwa guest dodoma ambapo haijulikani kama aliuawa,alijiua au alikufa kifo cha kawaida. wahudumu walikuja kushtukia mteja wao hafungui mwishowe ikabanika amekufa.

Sasa ndugu walipopata taarifa walimtafuta mkewe naye akasema anazo taarifa. Wakakubaliana kuwa kwa kuwa maiti iko dodoma basi wapitie maiti waipeleke Bukoba direct kuzika.

Dadake na marehemu aitwaye Jen na ndg wengine walianza safari kuelekea dodoma lakini walipofika wakaambiwa maiti imechukuliwa na mkewe kwenda Dar.

Mzozo ulianza lakini hawa ndg walipitiliza hadi Bukoba huku mke akisema ameipeleka kwake ili aagwe then watarudisha mwili bukoba.

Huyu dada alianza visa na visa na mwishowe akashirikiana na mdogo wake na marehemu wa kiume wakazika huko dar.

Kule Bukoba wakasubiri wapeleke udongo ( kulingana na taratibu za mila zao) pamoja na watoto lakini udongo ulitumwa lakini huyo mama na watoto hawakwenda.

Ilikuja kubainika kuwa hadi mauti yanamkuta marehemu alishakuwa maskini wa kutupwa na hata yule kijana mkubwa alikuwa anaishi kwa huyo riziki hana chochote kile kutoka kwa baba.

Hitimisho.
Tutumie tukio hili kuishi vema na wake zetu siyo kwa kuwa huyu alikuwa mchaga bali dunia ya tamaa za mali imeongezeka sana.

Asante
 
Asante kwa mrejesho...wanawake wa kichaga sio wakuoa wale ni magaidi ukipata mali ur gone...lazima akuue na watoto anachukua.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida sio wachagga mkuu
Shida ni iyo manzi uliokutana nayo
In fact wachagga wako makundi mbali mbali so usiongelee in general
Sasa ulivyo wa hovyo unataka ulete subgroups ndan ya wachaga ...akili za kijinga sana hz ....Nature itabaki kuwa nature.....lisemwalo lipo
 
Siyo suala la ukabila ila wanawake wengi siku hizi tamaa za mali zimeongezeka sana.

We mjinga sanaa. inawezekana harufu inatoka siyo?
Swala la harufu waachie watu wa karibu ndo walisemee ... unaweza hisi hunuki mdomo ..kumbe unawapa shida watu wa karibu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…