Kifo cha Tabibu Dkt. Buberwa wa Herbal Products utata mtupu

Siyo suala la ukabila ila wanawake wengi siku hizi tamaa za mali zimeongezeka sana.
Ndio nashangaa ku judge watu flani what I know watu sikuhizi hawana Upendo na Utu bila kujali kabila ni kuwa makini.
 
Huyo mbona alikuwa mgonjwa wa kisukari, acheni kusingizia makabila ya watu hata kwahyo picha inaonyesha mgonjwa
...Alikuwa Mganga akashindwa kujitibu...kuthibitisha kuwa Mganga hajigangi??
 
Andiko Jema, Mkuu [emoji120]
 
Anyone can talk anything about himself....

Nimuamini?Nooo

Maana ni muongo kupita maelezo kwenye TV,how can I trust this lousy motherfvcker?

Not me!
...mmm, inaelekea kuna mahali alikukwaza mkuu![emoji5] Mbona mkali na kumtukana hivyo? Weka 'mambo hazalani'!
 
Dental Formula Power(DFP) ys huyu mwamba aliniweka mbali na matatizo ya majino tangu 2002 hii legacy yake itadumu kwa muda mrefu
Hata mimi, maana meno yalikuwa yanalegea, fizi zinavimba...hapo nilishang'oa meno 3, baada ya kutumia hiyo dawa miaka 12 iliyopita sijawahi kusikia shida yeyote ya meno!
Ila baadae nilikuja kugundua ladha ya ile dawa inafanana na mti flani wa kienyeji wa huko Bukoba ipo siku nitakutafuta.
Pumzika kwa amani Dk. Buberwa! Watu wenye akili nyingi kwanini huwa hawana mbinu za kuishi na wanawake wajanja?
 
Wanawake siyo ndugu zetu tuishi nao kwa akili, na kadri ulimwengu unavyozidi kusonga wanakuwa wanyama kabisa,hata biblia inaagiza hivyo
 
Update nzuri ila kumbuka siku zote kuna upande wa pili wa story - kutoka upande wa kambi ya mjane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…