Kifo cha utata cha mwanafunzi wa KIUT akipambana kusomea udaktari

Mzee baba unamuacha aende kama humpendi, lakini kama unampenda ni ngumu sana kumuacha, mawazo yanakuja mengi na options kibao, moja wapo ndo hiyo ni heri Ufe wewe au Afe yeye
Uache kumpenda mama yako, umpende mtu mliekutana ukubwani. Ndio maana nimesema ni USHAMBA, kumpenda mwanamke kupitiliza, watoto wa mujini tuliozigusa hizo pisi kali huwezi kumpenda mtu kupitiliza kumshinda mama yako. Watu wanakaa na wake zaidi ya miaka 20 wanaachana na wanadunda tu itakua girlfriend. Alhamdulillah, sina mapenzi ya hivyo, eti niachwe hadi niumie nitake kuua mtu. Hio katika principles zangu haipo, sisi ndio wale tunaitwa ngoma ngumu.
 
Kijana mshenzi sana, amefanya mpaka Mafwele na polisi waonekana wana utu, adakwe, asiruhusiwe ajidhuru, apelekwe mahakamani, apigwe miaka.
 
Inaonekana wazi kuwa Dickson alimsomesha huyo manzi tokea huko baada ya kidato cha nne.

Yani mpaka anafikia chuo kikuu jamaa inaonekana alikuwa ndio anasimamia show zote karibu miaka kumi. Halafu manzi akaanza mizinguo.

Anyways kila mtu apate anachostahili.
 
Haya mambo mengine wanawake wanajitakia,unakuwaje na wanaume 2 kwa wakati moja mbona ni risk sana.Hakuna mwanaume anaweza kuvumilia akijua kuna mwanaume mwenzake wana share penzi.

Ushauri wangu kwa wanawake,malizana na mwanaume moja ndio uingie kwa mwingine.
 
Mshua aliniambia "ukimshindwa mwanamke ,mrudishe kwao.....usipige" kuna namna kama naanza kumuelewa.

mwamba tayari kayakanyaga ....keshaharibu maisha yake.
Kayaharibu kivipi??,si hajakamatwa.kuna watu wanaua watu kisha wanabadilisha mikoa-wanaendelea na shughuli zao miaka ikienda polisi na watu wamisha sahau.
Mbaya ni ukikamatwa.
 
Mkuu hayaingiliwagi hayo
 
Na je kama demu mwenyewe hataki muachane?
 
hivi inakuaje mwanamke anang'ang'ania kuwa kwenye mahusiano toxic?,....
sometimes tunasumbuana bure, wakati mwenye makosa mkuu ni marehemu,.....
Ye ndio alikua anajua anaepata nini pale huenda alikua anasukumiwa nyama ya kutosha
 
Mshua aliniambia "ukimshindwa mwanamke ,mrudishe kwao.....usipige" kuna namna kama naanza kumuelewa.

mwamba tayari kayakanyaga ....keshaharibu maisha yake.
Mtu mnapendana unamuuaje? Yes inatokea tu bahati mbaya na inge epukwa kwa kumrudisha kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…