Kifo cha utata cha mwanafunzi wa KIUT akipambana kusomea udaktari

Unasomesha binti yako hadi chuo kikuu ukitegemea, atumie elimu yake kujenga maisha yake, aolewe, ajenge familia upate wajukuu wakuite babu!

Halafu Bishoo mmoja waliyekutana chuo, hajamuoa wala hamujui anapotokea wamekutana tu kwa bahati mbaya anakatisha uhai wake.

Hiyo haki anaitoa wapi? Hakuna haki ya kuua lakini angekuwa mme wake tungesema labda hatujui yaluyokuwa yanaendelea. Sasa boyfriend tu unaua kisa usaliti?
 
Hakuna haja ya uchunguzi, Dikson akamatwe na abinywe korodani mpaka aseme ilivyokuwa. Kukatiza uhai wa binti mdogo ni unyama uliokubuhu. Dikson anyongwe mpaka kufa.
 
familia ya huyo bishoo haipo,..?
mapanga yaliyonolewa kabisa, hayapo,..?
kwani yeye huyo bishoo wanafamilia yake hawafi?,..
 
kwa mujibu wa mashaidi, ni kuwa kijitu kilikuwa kinapigwa mpaka kinahama getoni kwa msela, kesho tena kinarudi, si ajabu kilikuwa kinashauriwa kuachana na huyo msela, kikawa kinajibu shombo. ...leo kimekufa mnataka watu wakionee huruma,...haya maisha ni lazima watu wakubari uwajibikaji mapema,...maisha yako hayana mmbadala,...
 
Ushauri wangu kwa wanawake,malizana na mwanaume moja ndio uingie kwa mwingine.
Sasa unakuta anaempenda yeye hamtimizii mahitaji yake ya kingono au kiuchumi, wakati akiangalia kuna migodi kadhaa inayotembea inampigia misele 😊
 
Umeongea pont kabisa nimewaza kama mimi nilivyowaza inawezekana jamaa kamsomesha,bint ndo maana hadi kwao mchizi anajulikana kabisa,ila ndo ivyo demu kapata mchizi mwingine mwenye pesa,kaamua kuchepuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…