Kifo cha utata cha mwanafunzi wa KIUT akipambana kusomea udaktari

Huyu bishoo anapaswa anyongwe,yeye ndie anauchungu wa kusalitiwa kuliko wazazi waliomzaa huyo binti?,huyu ni mjinga kwelikweli kama alikuwa anaona ameshindwa kuvumilia usaliti wa huyo binti,si angeachana nae kuliko kuutoa uhai wa mwenzie??
 
Homicide...ipo wazi kabisa, issue sasa ni kutafuta motive
 
Umeongea pont kabisa nimewaza kama mimi nilivyowaza inawezekana jamaa kamsomesha,bint ndo maana hadi kwao mchizi anajulikana kabisa,ila ndo ivyo demu kapata mchizi mwingine mwenye pesa,kaamua kuchepuka
Ndio iko wazi hivyo. Hawatasema lakini picha halisi imejichora na iko wazi.

Kama ndugu wote na marafiki wanakiri kumfahamu jamaa na kuwa mahusiano ni ya muda mrefu na kuwa mama wa mwanamke aliekuwa anamsomesha alifariki basi majibu yapo wazi kuwa jamaa ndio alikuwa mlezi wa mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…