Kifo chenye utata cha mfanyakazi wa TRA, Shaba Ndoja chastua wengi, Polisi chunguzeni

wana walakini hao...
 
Umri wako tafadhali!
 
Ndio ilivo Wana ndoa hukutana tu mda wa tendo kila mtu anaenda kulala kwake
@ cariha, hili hutokea hasa kwenye polygamous marriages ambapo baba ana nyumba tofauti na wakeze. Ukiona mtu ana mke mmoja na wanalala tofauti jua kuna tatizo au wanapanga uzazi
 
@ cariha, hili hutokea hasa kwenye polygamous marriages ambapo baba ana nyumba tofauti na wakeze. Ukiona mtu ana mke mmoja na wanalala tofauti jua kuna tatizo au wanapanga uzazi
Mimi nimeshuhudia hyo Sana na hata wakiwa chumba kimoja kila mtu kitanda chake na hyo sio polygamous home mkuu. Mwenyewe binafsi I prefer to sleep alone kuliko na mtu na tukawa cool, let meet for a short time, Mambo ya kupumuliana na kujambiana sipendi kabisa.
 
Nimeponea chupuchupu kuuliwa na mpare hata sitaki kuwasikia,nimeishi nae 10yrs kumbe ananilia target nimalizie mjengo anirestishe in peace,mungu ni mkubwa na ahimidiwe kwa kweli.
Ilikuwaje ukaepuka kikombe usikinywe? Funguka Mkuu ili kusanua wengine.
 
Chumba kimoja vitanda viwili sawa ila si vyumba viwili! Hiyo hairuhusiwi katika tasnia ya ndoa. Kuna faida lukuki za wanandoa kulala pamoja na miili yao kugusana.
 
Chumba kimoja vitanda viwili sawa ila si vyumba viwili! Hiyo hairuhusiwi katika tasnia ya ndoa. Kuna faida lukuki za wanandoa kulala pamoja na miili yao kugusana.
Hata vyumba viwili ni sawa tu kwanini mlale kwa kubanana wakati kuna space ya kutosha
 
Vifo vya utata ni vingi sana. Hasa ambavyo wanaume tunauliwa na wanawake Ila vinakuwa havina ushaidi sababu vinatokea katika mazingira ya kishirikina. Wanawake ni wachawi sana hawa na magaidi na wauaji wakubwa. Usimwache mwanamke mchawi aishi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeponea chupuchupu kuuliwa na mpare hata sitaki kuwasikia,nimeishi nae 10yrs kumbe ananilia target nimalizie mjengo anirestishe in peace,mungu ni mkubwa na ahimidiwe kwa kweli.
Ingawaje si vizuri kuonyesha udhaifu wa kabila , lakini na mimi na rafiki yangu karibu turestishwe in peace na dada mmoja wa kipare.
Ilikuwa hivi.
Tulikuwa marafiki watatu ambao tulianzisha mradi kwa ubia na mradi uikuwa unaenda vizuri sana na unakaribia kukamilika kule Morogoro.
Mradi ulianza kuleta faida nzuri kabisa kabla hata ya kukamilika na ulitutoa familia zote tatu.

Kwa bahati mbaya yule mume wa dada wa kipare akakanyaga miwaya, na akaanza kuugua.
Ilipoonekana ni lazima atatangulia mbele za haki panic ikaingia kwa familia ya dada wa kipare.
Bahati nzuri tulijua kuwa yule dada wa kipare ana roho mbaya.
Lakini yaliyotokea ni funga kazi.

Kuna siku tumeenda kumjulia hali rafiki yetu ambaye sasa likuwa hoi bin taabani, tukatonywa na house girl wake ambaye tulimzoea maana tulikuwa kama marafiki tunaotembeleana sana.
Na yule house girl alikuwa wa kabila ya yule mwenzangu wa pili.
Yule house girl akatwambia tukiletewa juice tusinywe kwa hali yoyote.

Basi tumekaa sebule tunamsubiri mwezetu mgonjwa atoke toka chumbani , kweli tukaletewa juice .
Tukatazamana na mwenzangu na tukakaa kimya.
Mgonjwa alipotoka tukamjulia hali na tukaongea naye kwa muda kidogo.
Dakika kumi baadaye yule dada wa kipare kaja, kitu cha kwanza anatuuliza kwa nini hamywi juice?
Siye tukamwambia tumeshiba!!

Haraka akamwita house girl na akamwambia akaimwage!!
Asingeimwaga ile juice , kwa vile ana watoto alijua wanaweza kunywa
Tulishangaa na tukaondoka zetu.
Rafiki yetu aliaga dunia si muda mrefu.
Yule dada alijua mume angefariki, na ili apige bingo na hawa marafiki zake wakiondoka yeye angerithi mali zote.
Duniani kuna mambo!
(hii stori ni ya kweli, sio riwaya)
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wanaumme wasiku hizi waoga kweli
 
Kulala vyumba tofauti kwa wanandoa siyo kawaida, Uzuri wa ndoa ingia ndiyo utajua km unaweza kulala vyumba tofauti au lah.
 
Km hujui hilo la kunyakua maiti mwenyewe ndo halitamuacha salama huyo mama japo unaweza kuchukulia kitu cha kawaida. Duh watu wana roho ngumu aiseee.
Unajuaje kama alikuwa anamuahisha hospital apate tiba
 
Kumbe wewe ni dume, duh
 
Mkuu ukiingia kwa mpare hutoki, kuna Dada hapa mtaani wanaume wamepanga foleni kwake, wanaume wanapishana mlangoni Yan akitoka huyu anainngia mwingine muda huo huo, na hao wanaume wanajuana wote kuwa wanamla huyo Dada na wengi wao ni wanaume za watu, Yan ni balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…