vexozanzhu
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 503
- 615
sio kila homa ni marelia mkuuKumbe wewe ni dume, duh
wanawake wana tu fix sana mkuu hata takwim zinaonesha wanaume tunakufa sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wanaumme wasiku hizi waoga kweli
Kweli, na sio kila mvaa koti jeupe ni dokitari wengine wauza nyamasio kila homa ni marelia mkuu
HahahahahahahaahaHapa nikiwa kazini....
Mkuu hata kama ananizi kipato siwezi kurusu mwanamke awe chanzo cha kutokuwa na furaha maishani mwangu,kama mwanamke hatuendani ni bora kugawana kila na kuanza upya kwa kupata mwanamke mwingineDuh nyumba moja hlf wamegawana mapaa, mmoja juu mwingne chini!! duh haya mabati yanaficha mengi.
Ama kweli ukitaka ndoa njema hakikisha mkeo hakuzidi kipato hata kwa dakika 1.
Wanaume wengi huwa wanajisahau pale mwanzo wa mapenzi yanapokuwa moto moto, mwingine anakuwa na binti mzuri mwenye tabia nzuri, lakini anamtosa sasa huko cha motowanawake wana tu fix sana mkuu hata takwim zinaonesha wanaume tunakufa sana
Kutoka kulala kitanda kimoja kwenda vyumba tofauti ndiyo mwanzo wa kuwa wapangaji katika nyumba moja. Intimacy inayoyoma na michepuko ndipo inaingia katika yenuHata vyumba viwili ni sawa tu kwanini mlale kwa kubanana wakati kuna space ya kutosha
Hivi unajua maana ya ndoa? Nakumbuka wakati tulipopata mtoto wa kwanza, kitendo cha mtoto kulala katikati yetu kilizalisha hali ambayo nilimuona mke wangu kama dada yangu.Hakuna walakini wowote moto unapelekwa kama kawaida tena zaidi ya wanaolala pamoja.
Mabibi zetu waliishi hvo na wamezeeka pamoja kabisaKutoka kulala kitanda kimoja kwenda vyumba tofauti ndiyo mwanzo wa kuwa wapangaji katika nyumba moja. Intimacy inayoyoma na michepuko ndipo inaingia katika yenu
Okay ngoja uolewe halafu uanze hako katabia uone kama wajanja na viBen10 vitakavyochukua nafasiMabibi zetu waliishi hvo na wamezeeka pamoja kabisa
Naijua mkuu na moja ya vitu vinavyoimarisha ndoa mojawapo ni hiyo ya kila mtu kuwa na chumba chake so ina create desire ya kupiga moto,sasa una mtoto mdogo mnalala naye wote kitanda kimoja r u serious? Mke ana mimba unalala naye kitanda kimoja ,really?Hivi unajua maana ya ndoa? Nakumbuka wakati tulipopata mtoto wa kwanza, kitendo cha mtoto kulala katikati yetu kilizalisha hali ambayo nilimuona mke wangu kama dada yangu.
Kweli, na sio kila mvaa koti jeupe ni dokitari wengine wauza nyama
Kama ww n Mwanaume (Male) Basi Dunia Inaelekea Ukingoni,, inakuwaje Wadau.wanawake wana tu fix sana mkuu hata takwim zinaonesha wanaume tunakufa sana
sio kila homa ni marelia mkuuKama ww n Mwanaume (Male) Basi Dunia Inaelekea Ukingoni,, inakuwaje Wadau.
Uwe na adabu mxxxxxuuuMkuu tulia unyooshe maelezo.
Je marehemu alikuwa na ukwasi wwote?
Je huyo mjane ni wa maeneo ya kule mbelembele ya Tanga au?
Ukute hajafanya kitu chochote huyo mama , Baba kafariki kwa wakati wake aliopangiwa na muumba wake, lakini daa jamani mfiwa ndiye anakuwa muuaji Mungu awasaidiye wanawake!Wajane wanapitia mengi sana, chukulia kama hizo tuhuma hajazifanya halafu amepoteza mme na maneno makali kutoka kwa jamii kama haya. Unaweza ukatamani dunia itoboke uzame upotelee humo