Kifo chenye utata cha mfanyakazi wa TRA, Shaba Ndoja chastua wengi, Polisi chunguzeni

Kifo chenye utata cha mfanyakazi wa TRA, Shaba Ndoja chastua wengi, Polisi chunguzeni

Tukiacha stori zoooooote..!
1. Tuendelee kunawa kwa sabuni na vitakasa mikono kila mara
2. Tupige malimau na Tengawizi
3. Kumbukua kusukutua koo kwa chumvi
4. Tumia detto za maji na spray ikiwezekana kupunguza vijidudu na virusi mahala unapoishi
5. Mara moja moja kumbuka kula machungwa kwa wingi au Vitamin c suppliments kusaidia kinga
Tuendelee kuchukua tahadhari nchi za wenzetu wanasoma idadi sisi sio tuna bahati kivilee tusijisahau sana......................
 
Umesema mpaka sasa wanawake wameususia msiba au sijakuelewa vuzuri
 
Duh nyumba moja hlf wamegawana mapaa, mmoja juu mwingne chini!! duh haya mabati yanaficha mengi.

Ama kweli ukitaka ndoa njema hakikisha mkeo hakuzidi kipato hata kwa dakika 1.
Mkuu hata kama ananizi kipato siwezi kurusu mwanamke awe chanzo cha kutokuwa na furaha maishani mwangu,kama mwanamke hatuendani ni bora kugawana kila na kuanza upya kwa kupata mwanamke mwingine

Mwanamke sio mama yangu,ni kama koti tu nikiona linanipwaya au halinifai naweka pembeni

Maisha ya duniani ni mafupi sana sasa ukitaka uyaishi kwa shida just because of woman ni hatari sana
 
wanawake wana tu fix sana mkuu hata takwim zinaonesha wanaume tunakufa sana
Wanaume wengi huwa wanajisahau pale mwanzo wa mapenzi yanapokuwa moto moto, mwingine anakuwa na binti mzuri mwenye tabia nzuri, lakini anamtosa sasa huko cha moto
 
Wajane wanapitia mengi sana, chukulia kama hizo tuhuma hajazifanya halafu amepoteza mme na maneno makali kutoka kwa jamii kama haya. Unaweza ukatamani dunia itoboke uzame upotelee humo
 
Hata vyumba viwili ni sawa tu kwanini mlale kwa kubanana wakati kuna space ya kutosha
Kutoka kulala kitanda kimoja kwenda vyumba tofauti ndiyo mwanzo wa kuwa wapangaji katika nyumba moja. Intimacy inayoyoma na michepuko ndipo inaingia katika yenu
 
Hakuna walakini wowote moto unapelekwa kama kawaida tena zaidi ya wanaolala pamoja.
Hivi unajua maana ya ndoa? Nakumbuka wakati tulipopata mtoto wa kwanza, kitendo cha mtoto kulala katikati yetu kilizalisha hali ambayo nilimuona mke wangu kama dada yangu.
 
Kutoka kulala kitanda kimoja kwenda vyumba tofauti ndiyo mwanzo wa kuwa wapangaji katika nyumba moja. Intimacy inayoyoma na michepuko ndipo inaingia katika yenu
Mabibi zetu waliishi hvo na wamezeeka pamoja kabisa
 
Huo ndio mwisho, hakuna uchunguzi ulio wahi kumrudishia mtu uhai.
 
Hivi unajua maana ya ndoa? Nakumbuka wakati tulipopata mtoto wa kwanza, kitendo cha mtoto kulala katikati yetu kilizalisha hali ambayo nilimuona mke wangu kama dada yangu.
Naijua mkuu na moja ya vitu vinavyoimarisha ndoa mojawapo ni hiyo ya kila mtu kuwa na chumba chake so ina create desire ya kupiga moto,sasa una mtoto mdogo mnalala naye wote kitanda kimoja r u serious? Mke ana mimba unalala naye kitanda kimoja ,really?

Familia zilizoendelea wana zaidi ya sitting room/living room moja ,wengi wanazo mbili , mbona kipindi cha uchumba anakuja tu unampa moto kisha anarudi kwao sasa ina tofauti gani na wakati mkiwa kwenye ndoa?
 
Wajane wanapitia mengi sana, chukulia kama hizo tuhuma hajazifanya halafu amepoteza mme na maneno makali kutoka kwa jamii kama haya. Unaweza ukatamani dunia itoboke uzame upotelee humo
Ukute hajafanya kitu chochote huyo mama , Baba kafariki kwa wakati wake aliopangiwa na muumba wake, lakini daa jamani mfiwa ndiye anakuwa muuaji Mungu awasaidiye wanawake!
 
Back
Top Bottom