Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
πππππ Nacheka balaa hapa .dah...umenichosha sanaWanawake ni zaidi...wanaunafiki...majivuno...kiburi....wanaume hasa ubahiri na majivuno..Ila ndumba wanashare wote wako vizuri
Stereotyp tu hizi jamani..Duh nyumba moja hlf wamegawana mapaa, mmoja juu mwingne chini!! duh haya mabati yanaficha mengi.
Ama kweli ukitaka ndoa njema hakikisha mkeo hakuzidi kipato hata kwa dakika 1.
daaaah kwa comments na kelele hizi zote bado utakuta mtu anaoa mpare au mchaga
Yes mkuu kama mtihani umepata100%.Sawa mkuu, mi nimeokota haya kwene maelezo yako;
Β»Mama ni mjamzito anahitaji utulivu, hataki usmbufu (kutoka kwa baba[emoji26]!?).
Β»Mzee yy kaamua kujitenga,analal chin pekeake, ili afanye kaz kwa utuliv ila akipata ham anapanda juu, anapeana fasta na kurudi chin kuendelea na kaz([emoji56]).
Β»Marehem na mkew walikuwa "wanawezana" (bila shaka ukimaanisha wanapendana)[emoji848]
Wanawake ni zaidi...wanaunafiki...majivuno...kiburi....wanaume hasa ubahiri na majivuno..Ila ndumba wanashare wote wako vizuri
Kakutana na vigagula basi anaona wote wako hivyo! Atakua CCM huyoElli Mshana kumbe ni mzee wa ndumba???
Kama una ndumba share na wenzako basiKakutana na vigagula basi anaona wote wako hivyo! Atakua CCM huyo
Hapa nikiwa kazini....Kama una ndumba share na wenzako basi
Umeshalanduka na pombe eh! Muone π£Hapa nikiwa kazini....
Nawatafuta wale CCM kiherehere Niko na meeting nao! Wamekimbia jukwaa kila mahali wammekua wapole utadhani wamefumaniwaUmeshalanduka na pombe eh! Muone π£
ππUna shida nao gani? Kuna mwingine hapa Ana hangover balaa anatapika tu...sema neno moja nimwambie!Nawatafuta wale CCM kiherehere Niko na meeting nao! Wamekimbia jukwaa kila mahali wammekua wapole utadhani wamefumaniwa
Hahahaha dah ila wewe! Basi tu, huyo mwana CCM was kudumu mwambie salary imeongezwa, wamepandishwa madaraja, wamelipwa malimbikizo yao including likizo, mwambie asisahau kupiga kura tena watapewa zile 50m na laptop kila mtu.ππUna shida nao gani? Kuna mwingine hapa Ana hangover balaa anatapika tu...sema neno moja nimwambie!
Marehemu amebakiza mwaka mmoja kustaafu, alikuwa anafanya kazi mwenge TRA wakamrudisha makao makuu kusubiri kustaafu
mambo gani fafanua tuyajueWafanyakazi wa TRA wengi wana mambo mengi mengi sana
Na alibakiza aiku chache kufariki!Sasa utata wa hicho kifo upo wapi?
Kama mtu amebakiza mwaka kustaafu inamana huyo ni mzee, basi uenda alikuwa na maradhi yake kama presha, kisukari au moyo ndo yamemchukua uhai wake
Yaan alishaexpire. Kwaiyo lazma atangulie.Na alibakiza aiku chache kufariki!
Sasa kumbe tatizo liko wapi hapo!?Yes ndiyo mara ya kwanza kabisa jamaa alikua hajawahi kufa.
mambo gani fafanua tuyajue
Kwakweli. Na kifo ni lazimaNi kujitahidi kuwa tayari tu wakati wote kwani hatujui siku wala saa.