Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Tutake radhi wachaga[emoji1787][emoji1787][emoji28]kuna mwanamke nilikua naishi naye ni mrembo haswa ila kila siku nikawa naumwa tumbo yani afya haikuwa stable kabisa baada ya kugombana alivyoondoka afya yangu ikalejea na magonjwa ya tumbo nimepona sasa sijui alikua ananilisha takataka gani mchaga yule
Wana nini mkuu?Binafsi nikipewa mpare na fungu la nyanya ntachagua fungu la nyanya nikapikie! Wapare ni nyoko!
Naona angekuwa mchagga huyo mjane hili lilikuwa jumba bovu lishamwangukia.Weeee sio mchaga ni mgogo mwenzake, kila MTU yuko kivyake mpaka anakufa mama analala ghrofani baba analala chini, wangekuwa wanalala wrote kama nibheart attacks bangemsaidia
Acha uswahili:Leo in siku ya tatu tukiwa tumegubikwa na sintomfahamu juu ya kifo hiki.
Marehemu alikuwa bukheri wa afya na alionekana Mara mwisho saa tatu na nusu alipoamua kwenda kulala alipita dukani akanunua mahitaji, asubuhi tunaambiwa Shaba Ndoja hatuko naye, ujasiri wa mke wake kumbeba yeye na mfanyakazi wa ndani bila hata kuwaita majirani wa karibu.
Mbaya zaidi hakujulisha majirani yaliyotokea. Hata mjane huyu anayefanya kazi Amref huwa hajumuiki na watu tangia alipoingia Bunju beach. Mpaka hapa wakina mama wameususia msiba kwa kuwa mwanamke aendagi kwenye misiba.
Maiti imesafirishwa leo kuelekea Dodoma kwao
Twin mbona mi sijatanguliza hela?Mungu anisamehe ila wadada wa Kichaga hapana jamani wametanguliza hela mbele mnoo huwa hawana utu.
Una kwepesha mada na kuhalalisha matukio yanayoongelewa hapa.Swala la kulala mke na mme vyumba tofauti ina mambo mengi not only kuwa wamegombana wakuu.
Utakuta watu wana nyumba ina vyumba zaidi ya vitano na wana watoto wawili au watatu ,kuna kipindi mama anakuwa mjamzito au amejifungua ,lazima awe na chumba chake alale kwa kujirelax.
Vyumba masters vinakuwa full equipped na TV ndani , Mshua anakuwa awe free kufanya kazi zake za kiofisi ,kuongea kuhusu bizness ,kufanya meeting online lazima awe free kwake akitulia , ushawahi kufanya kazi halafu mtu unamuona kitandani amelala hauoni concentration itapungua?
Kulala vyumba tofauti haimaanishi kwamba "Hamuwezani" ,mnaweza kulala kitanda kimoja na "Msiwezane" ,Kuna watu wametenga kabisa chumba cha "kuwezana only" wakimaliza "kuwezana" kila mtu anaenda kulala chumba chake au Mme au mke anaweza kwenda chumba cha mwenzake "akampea" wakishamaliza anaenda chumba chake kulala.
Nimeponea chupuchupu kuuliwa na mpare hata sitaki kuwasikia,nimeishi nae 10yrs kumbe ananilia target nimalizie mjengo anirestishe in peace,mungu ni mkubwa na ahimidiwe kwa kweli.Wana nini mkuu?
Huo ni utapeli mtu na ujanja wa kiini macho.Hapa nikiwa kazini....
Mzee ulifaidi kwenye hilo churaHapa nikiwa kazini....
Mteja wangu huyo alikua anakwenda kwenye Kura za Maoni za CCMMzee ulifaidi kwenye hilo chura
Dah sjui mke wa nani huyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Profession za watu hizi duh kuna watu skillful....jamaa kamwaga "maneno asali" hadi jinzi imetii sheria bila shuruti [emoji23][emoji23][emoji23] mamaeee....wait wait......hizi sio jinzi zetu zile?Huo ni utapeli mtu na ujanja wa kiini macho.
Mganga huyo nyumba nyoka wanaingia usiku bila hodi, halafu binti kapigwa maneno matamu hadi anachojoa suruali kuonyesha kalio.
Mganga huyo atapiga rear kwa hiari ya binti.
Hao machoko wengine lazima na ww utakuwemo,hakuna mwenye chuki ni matukio yaliyonitokea mm mwenyewe,kama mnaficha ushirikina wenu kwa kuuwa maume zenu ili mmiliki mali huo ni uchoko plus.Wewe n choko kama machoko wengine tu wa buza kwa mpalange huu ujinga wenu wa kuleta chuki ya kimakabila utawacost alafu Mod ntawashangaa sana msipofuta coment km hizi za kinnya nnya zinazowagawa watu km mtu huna cha kucoment bora ukawange.[emoji57][emoji57]
Wee najiheshimu...Niko tayari kujiunga chama Cha kina mama Tanzania Ila sio kujiunga ccmKakutana na vigagula basi anaona wote wako hivyo! Atakua CCM huyo
Hahahahahaaah Dah ! Kweli nimekukosea Mpwa, naomba msamaha wako wa dhati!! Usijiunge chama cha akina Mama pleaseWee najiheshimu...Niko tayari kujiunga chama Cha kina mama Tanzania Ila sio kujiunga ccm
Dah!...dunia hii...?Hapa nikiwa kazini....
Mpwa unataka kuniharibia soko??Dah!...dunia hii...?
Sasa kuua kisa mali wakati kazi yeye ndo kamuunganishiaWanaume tuoe tu lakini hawa wenzetu sio kabisa. Kukuua kwa ajili ya mali ,kwao ni jambo la kawaida sana.
Waoe kwao wapi? Kimkoa au binamu binamu?Mnaambiwa kila siku oeni kwenu mnarusha rusha matako around...
Haya sasa,unaenda kuoa watu who do not look like you kumbe culture na DNA ndio kila kitu,leo limetokea la kutokea mnaanza kulia lia...
Mtajijua bwana!
Duh dunia ina mengi wallahNdio Mana kabeba maiti peke yake,atawajulisha vipi nyie majirani wanoko wakati anajua fika mmtamsusia?
Ona Sasa mmeshindwa hata kwenda msibani kisa mke wa marehemu hajumuiki,hapo mmemsusa marehemu sio mke,mngesubiri mke afe ndio msuse