Swali la unajuaje, kama kweli mungu yupo, na wewe una mjua kikweli, halikosi jibu muafaka.Mkuu kiranga naamini hata nikijibu maswali yako in details bado swali lako litabaki kuwa pale pale unajuaje! na haitaishia hapo. kila jibu litakuwa na swali hivyo tunaweza tusimalize leo. Mimi naona tukubaliane au kutokubaliana kuwa Mungu yupo. Kama wewe unalojibu la unajuaje nijuze ningependa kujua.
Mi naona ingekuwa rahisi kama ungekuja na sababu ambazo zilikuwa zinakufanya uamini mungu wakati huo ili uzichambuwe hapa kwa kuonesha kuwa hizo sababu hazifanyi kuwe na uwepo wa mungu.Mungu hapangi kifo kwa sababu hayupo.
Kama yupo naomba kuthibitishiwa.
Waulize hao wanaosema mungu yupo.
Kiranga unapenda sana ligi na believers kwanza mnamtafisiri Mungu yupi apa? Au tuelezane kwanza nini maana ya Mungu yani God
Kuwepo kwa mungu hakujaweza kupita mtihani wa logical consistency.Mi naona ingekuwa rahisi kama ungekuja na sababu ambazo zilikuwa zinakufanya uamini mungu wakati huo ili uzichambuwe hapa kwa kuonesha kuwa hizo sababu hazifanyi kuwe na uwepo wa mungu.
Maana hiyo njia yako ya siku zote ya kudai uthibitisho tu huishia kupata sifa kwa atheists wenzio kwa kuonekana mbishi bora,lakini bado njia yako hiyo haimfanyi mtu aseme nae hakuna mungu,maana haujaweza kupangua yenye kumfanya aamini kuwa kuna uwepo wa mungu.
Hii inaitwa free will ndio system Mungu aliyoitumia kuumba ulimwengu!Naunga mkono 100%, me naamini MUNGU alisema tu kila chenye uhai lazima kife au kila nafsi itaonja umauti, full stop, vingine ziada ni kama ambavyo kuna utajiri na umasikini, pepo na moto na akatuelekeza jinsi ya kuvipata kisha akatuacha tuchague
Swali la unajuaje, kama kweli mungu yupo, na wewe una mjua kikweli, halikosi jibu muafaka.
Ukweli kwamba umeshindwa kulijibu unaonyesha ama hayupo, au humjui.
Inawezekana kabisa humjui kwa sababu hayupo.
Kwa nini unasumbuka kutafuta logical consistency ya "kitu" ambacho hakipo.Kuwepo kwa mungu hakujaweza kupita mtihani wa logical consistency.
Ukiwa mtoto, ni rahisi kuamini mungu, father Christmas, Santa Claus na vinyamkera vingine vingi. Kwa sababu akili inakuwa bado haijakua.
Ukikua, unatakiwa kuanza kuhoji habari za uwepo wa mungu kwa kuziweka katika mitihani ya logical consiatency.
Na mungu wenu anashindwa logical consistency.
Hayupo consistent. Anajipinga mwenyewe, kwa namna ambayo inaonyesha ni hadithi tu, hayupo kiukweli.
Natafuta logical consistency ya huyo mungu kwa sababu unasema yupo wakati mimi naona hayupo.Kwa nini unasumbuka kutafuta logical consistency ya "kitu" ambacho hakipo.
Wewe abudu tu katika ambavyo vina logical consistency, kama nature ina logical consistency abudu nature au kama laws zinazoongoza nature yenyewe zina consistency ziabudu hizo, kama wewe mwenyewe una logical consistency jiabudu mwenyewe, au wewe mwenyewe pia hupo au huajiamini kuwa upo?
Akili yako imekuwa sasa?
Kama ulipokuwa mtoto uliamini Mungu au Santa na sasa akili yako imekuwa na umebaini hakuna Mungu wala Santa, kuna/upo wewe, udongo, maji, miti, gari, pc, tv,kioo mbege na kitimoto jichagulie mungu wako katika hivyo na malizia muda wako kwa salama, amani na utulivu kama Watanzania. Karibuni utarudi huko ulikotoka, au umesahau kuwa miaka michache nyuma haukuwa ukijitambua,baadae ukaja(ukaletwa),ukakua kidogo kidogo mpaka umejitambua na utaondoka ukiwa unajitambua na story itakuwa imekwisha. Au story itaendelea?
Nature na laws zinazoongoza nature utaziacha au zitakuacha huku zikiendelea na consistency yake.
Kula maraha ndugu, muda wako unamalizika kwa kasi.
Link The Noble Qur'an - القرآن الكريم
Unaona?Natafuta logical consistency ya huyo mungu kwa sababu unasema yupo wakati mimi naona hayupo.
Umeweza kuthibitisha kwamba yupo?
Sijaomba mahubiri, nimeomba uthibitisho.
Logically speaking.Unaona?
Kwani Mungu anaonekana?
Nimekuzoea bandugu...kiswahili kimekupiga chenga baada ya kujishitukia.Logically speaking.
But you wouldn't know anything about that.
Hujathibitisha kwamba mungu yupo.
Hata wewe unaabudu logiv, kama usingeabudu logic usingenipa hizo link.Nimekuzoea bandugu...kiswahili kimekupiga chenga baada ya kujishitukia.
Usitafute "kitu " ambacho una uhakika hakipo.Utajipunguzia furaha.
Kama huna uhakika endelea kukitafuta "kitu" hiko/hicho
Ulikuja peke na utaondoka peke.
Link Embryology and human creation between Quran and science
Link Miracles of the Qur'an - Modern Science Reveals New Miracles of the Qur'an
Ukipenda abudu logic yako. au abudu "speaking" yako.
Logically speaking.
But you wouldn't know anything about that.
Hujathibitisha kwamba mungu yupo.
Kama mungu angekuwepo, asingeruhusu vitabu vinavyosemwa kuwa ni vyake vyake viwe na inconsistencies.
Heee!Hata wewe unaabudu logiv, kama usingeabudu logic usingenipa hizo link.
Ambazo hazijathibitisha uwepo wa mungu.
Swali ulilouliza logically linathibitisha kuwa hukuisikiliza na kuiangalia.Kama mungu angekuwepo, asingeruhusu vitabu vinavyosemwa kuwa ni vyake vyake viwe na inconsistencies.
Hizo video wapi zinathibitisha uwepo wa mungu?
Una hakika na hayo ukiyoandika au unaamini tu kama unavyoamini kuwapo kwa mungu?Heee!
Kiswahili kimerudi.
Tokea lini link inathibitisha uwepo wa Mungu?
Ni Yaliyomo kwenye link kama utayasoma, kuzingatia na kutafakari ndio utajithibitishia mwenyewe uwepo wa Mungu.
Link PROVING THE EXISTENCE OF ALLAH TO AN ATHEIST
Kwa nini suala la uwepo wa Mungu au kutokuwepo linakusumbua? Unakosa furaha katika maisha yako?
Uzee umepiga hodi na kubaini huna muda wa kutosha wa kuvinjari? Nini unakikosa ndugu katika maisha yako?
Au maisha yako na uwepo wako vimekosa logical consistency?
Kaa nini swali nililouliza logically linathibitisha sikusikiliza au kuangalia?Swali ulilouliza logically linathibitisha kuwa hukuisikiliza na kuiangalia.
Wewe upo na una inconsistencies kibao, je kwa inconsistencies unazozionesha(zinaonekana kwako) zinathibithisha kuwa wewe hupo?
Kiranga ,mungu ya kinyarwanda unaleta utani au?
Kwako wewe mungu ni nini?..
Unajua kanuni za kufananisha? Itafananishaje binadamu na mungu?
Siwezi kushangaa kwa kutumia akili hizi unaamini kuwapo kwa mungu asiyekuwapo.
Mungu kwenye vitabu vyenu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.Kwako wewe mungu ni nini?
Kwa nini huwezi kufananisha binadamu na mungu?
mungu yupi asiyekuwepo?