kiranga! sasa tufanye hivi niruhusu nikuombee upate matatizo makubwa wewe na familia yako, Hapo utathibitisha mwenyewe kuwa Mungu yupo au hayupo. Je unaniruhusu?
[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji38]kiranga! sasa tufanye hivi niruhusu nikuombee upate matatizo makubwa wewe na familia yako, Hapo utathibitisha mwenyewe kuwa Mungu yupo au hayupo. Je unaniruhusu?
Yafanyayo watu kuamini uwepo wa mungu kama yapi?
Mie nikijibu hilo swali tutaanza kubishana na lengo langu siyo hilo,maadamu kwamba wewe uliweza kuhoji hili suala la mungu pindi ulipokuwa basi ni wazi hata hayo mambo yenyewe kufanya watu waamini kuwepo kwa mungu ulikutana nayo na ukaona kuwa hayana uhusiano na kuwepo kwa mungu.Yafanyayo watu kuamini uwepo wa mungu kama yapi?
kiranga! sasa tufanye hivi niruhusu nikuombee upate matatizo makubwa wewe na familia yako, Hapo utathibitisha mwenyewe kuwa Mungu yupo au hayupo. Je unaniruhusu?
Go ahead.
Even better. Niombeee nife kesho. Nisije JF kujibu hii thread. Ili kuwepo na uwezo wa wote kuthibitisha.
Unaweza kufanya hivyo ili kuthibitisha uwepo wa mungu?
Hii mpya
Kuna mdau anaitwa Nyani Ngabu alihaidiwa kulogwa kwasababu haamini uchawi
Lakini mpaka leo yupo
SIFA ZA MUNGU WENU.kiranga! sasa tufanye hivi niruhusu nikuombee upate matatizo makubwa wewe na familia yako, Hapo utathibitisha mwenyewe kuwa Mungu yupo au hayupo. Je unaniruhusu?
Mkuu mimi naomba uniombee kwa huyo mungu nikute kiasi cha sh millions 100 kwenye chumba changu kesho asubuhi ili niamini yupo.Sawa nitakuombea ili wewe mwenyewe uthibitishe uwepo wa Mungu katika maisha yako.
SIFA ZA MUNGU WENU.
1) ni muumbaji wa kila kitu.
2) ni muweza wa kila kitu.
3) ana upendo mkuu /yaani ana upendo kupita chochote ukijuacho na usichokijua.
4) yeye huujua mwisho kabla ya mwanzo na mwanzo kabla ya mwisho.
5) hujua njia zetu zote hata kabla ya kutuumba, au kabla ya kuzaliwa
6) yeye ni mungu mpangaji wa kila kitu!
7) ametupa uhuru wa kuchagua ilihali alitujua pamoja na njia zetu hata kabla ya kuwepo kwetu, na bado ataenda kutuhukumu kwa haya tuyatendayo ambayo yeye ndio alieyaweka ndani yetu [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Yapo mengi yasiyoeleweka kuhusu huyu mungu wenu wa kufikirika.
Je! Sifa za huyo mungu wako zunaruhusu umuombee kiranga mabaya? Bila shaka wewe na huyo mungu wako mnajitekenya alafu mnacheka [emoji4]
Mungu mwenye uwezo wote, upendo wote, aliyejua mambo yote kumhusu kiranga kabla hata ya kiranga kuzaliwa, pia kisabanishi cha kiranga kuwepo, haimpasi kutenda hayo unayosema wewe.
Ukimuombea apatwe na matatizo hapo ni kuudhihirisha udhaifu wa mungu.Sio kama unavyofikiria wewe, Maombi yangu apeta kuthibitisha kuwa Mungu yupo, kwa hivyo Mungu atajithihilisha kwake kwa njia ya ajabu isiyo ya kawaida kwake na familia yake. Hapo atathibitisha kuwa Mungu yupo.
Mkuu mimi naomba uniombee kwa huyo mungu nikute kiasi cha sh millions 100 kwenye chumba changu kesho asubuhi ili niamini yupo.
Mkuu mimi naomba uniombee kwa huyo mungu nikute kiasi cha sh millions 100 kwenye chumba changu kesho asubuhi ili niamini yupo.
Kama yupo, akinipiga pia ni dhihaka kubwa.dhihaka kabisa hii, MUNGU na akupige ili umwamini
Mungu hashindwi na chochote ndio maana nikaomba hilo.πππππ
Ukimuombea apatwe na matatizo hapo ni kuudhihirisha udhaifu wa mungu.
Mungu hashindwi na chochote ndio maana nikaomba hilo.
Kwani kuna mtu kwenu mwanae akimuomba samaki atampa nyoka? Au kuna mtu kwenu mwanae akimuomba mkate atampa jiwe? Basi na mungu anipe sawasawa na niliyoomba.
Kama yupo, akinipiga pia ni dhihaka kubwa.
Maana nimeomba fedha na wala sio kupigwa
Kwa sababu mungu wenu ni mungu wa upendo, mimi ningeomba ajidhihirishe kwake kama alivyijidhihirisha kwa mussa kama maandiko yasemavyo.Mungu anauwezo wowote! wewe ungependa ajithihilishe kwake kwa jinsi gani?