Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Komment ya kibabe sanaNashauri:: ni muhimu na lazima kila binadamu apumzike, Ila tatizo binadamu ving'ang'anizi hawataki kupumzika wako macho!!! Ila watapumzika tu
Asante [emoji15][emoji15][emoji15]
Shida za kule ni nyepesi sana kama ulijiwekea amana hapa duniani. Amana yenyewe ni kuwajali mayatima na wahitaki wengine. Sio kwenda kwenye nyumba za ibada tu lakini unaonea wengineBora shida za hapa ukiwa na pesa kuliko shida za kule
Ukiwa na. Upendo wa kwel unapata uhuru wa kweli , ubinafsi umeleta shida nyingi sna dunia ,ukiona umeshindwa vyote jaribu upendo.Kifo ndio uhuru wa kweli,utanishangaza kama utapinga kuwa duniani hakuna uhuru...uhuru wa kweli upo kaburini
Yes,. God is love.Ukiwa na. Upendo wa kwel unapata uhuru wa kweli , ubinafsi umeleta shida nyingi sna dunia ,ukiona umeshindwa vyote jaribu upendo.
The two are not mutually exclusive.Not at all, this thread has exposed a brutal truth that we need to accept to be stronger and wiser...
Unaweza kuthibitisha kuna mbingu watu wanaenda baada ya kifo?Kupumzika ni ili kukusanya nguvu tu, uendwlee kuchapa kazi (kuwajibika).
Kama una wazo la kivivu la kupumzika jumla tu, bila kufanyia kazi nguvu ulizokusanya unajidanganya. Na kama unahisi hiyo ndio furaha unakosea sana. Huo ni uvivu. Wavivu hawatapata hilo pumziko popote iwe duniani au mbinguni.
Wakifa hatutasema wamepumzika maana watakuwa ndo wamepotea. Sasa hapo ni hamna kitu.
Ili ufaidi maisha duniani na mbinguni ni lazima ukubali kuwa muwajibikaji.
Muwajibikaji anakula raha pote duniani na mbinguni. Anapumzika kidogo, anakusanya nguvu anaendelea na majukumu ya duniani au ya peponi whatever.
Kazi ni pote, duniani na peponi. Chochote kisichofanya kazi kabisa kimekufa kimechomwa na kimepotea, mfano wa hakijawahi kuwepo abadan.
Yesu ni Neno. Watu waamini Neno.YESU NI BWANA NA MWOKOZI
Waabuduo halisi wataabudu katika roho na kweli si kanisani. Kukusanyika kanisani ni utaratibu wa watu kushirikiana tu na wala si lazima.Na kanisa ni moja
KATORIKI, TAKATIFU LA MITUME
😊😊😊Unaweza kuthibitisha kuna mbingu watu wanaenda baada ya kifo?
Ikiwa tunaishiwa chaji na kuzima data zote huko hatuna kujielewa tena baada ya kifo.Mimi binafsi sidhani kama Kuna kupumzika huko tunakomaanisha, binadamu hana kupumzika hata akifa...inawezekana ni jambo la kimtazamo!, au kupumzika maana yake Nini?.
Kwa nini huwezi?[emoji4][emoji4][emoji4]
Siwezi.
HaiwezekaniKwa nini huwezi?
Naona kupumzika huku alikomaanisha mtoa mada ni kuondoka Kwa masaibu,changamoto za Dunia baada ya kufariki, kitakachotokea huko ulipokwenda baada ya kufa naona ni jambo la mtazamo...maana ukifa changamoto za uso wa Dunia nazo huondoka kama ni hivyo basi huko ni kupumzika pia.Ikiwa tunaishiwa chaji na kuzima data zote huko hatuna kujielewa tena baada ya kifo.
Hakuna kodi ya nyumba, school fees, hakuna njaa, hakuna ugonjwa, hakuna purukushani za kutafuta hela, hakuna kuogopa lawama wala kutaka sifa, hakuna kuumia kwa aina yoyote, hapo napo utasema kifo si kupumzika?
Hujafikiria kwamba huwezi kuthibitisha uwepo wa hiyo mbingu kwa sababu haipo kiuhalisia, ni ya kwenye hadithi za kuungwaungwa na watu tu?Haiwezekani
Uthibitisho utataka niubebe nikuletee haiwezekani.
Nikisema nilete wa kimantiki haiwezekani pia kwa sababu tuna misingi (premise) tofaut ya uhalisia.
Lakini pia hata kama nitafanikiwaa, ni kazi bure kwa sababu uthibitisho utahitaji tuwe na imani kwa nyenzo tutakazotumia.
Kwangu mm kuwa na imani sio tatizo, nnaweza. Shida itakuja kwako mwenye imani haba (or lack thereof).
Lakini hata nikipiga picha tumeweza na tukaziamini nyenzo na tukathibitisha. Bado kutakuwa na kitu kitabaki, gap ambalo hatutaweza litolea maelezo kwa nyenzo hizo. Tutaendelea kuhitaji kuwa na imani kwa hako ka kitu kasikokamilishika!!. Godels incompletenes.
Kwanza, tunakujua wewe hata concept ya 'uthibitisho' kwako haipo. Sasa unataka tufanye mambo yasiyokuwapo bro!!?[emoji848]
Haitowezekana[emoji2284]
Kupumzika kuna maana kwa yule atakayeamka tena na kutumia nguvu alizojichaji wakati wa mapumziko.Ikiwa tunaishiwa chaji na kuzima data zote huko hatuna kujielewa tena baada ya kifo.
Hakuna kodi ya nyumba, school fees, hakuna njaa, hakuna ugonjwa, hakuna purukushani za kutafuta hela, hakuna kuogopa lawama wala kutaka sifa, hakuna kuumia kwa aina yoyote, hapo napo utasema kifo si kupumzika?