Kifo ndiyo mapumziko

Kifo ndiyo mapumziko

Kifo ni ukumbusho kwetu ya kuwa Dunia Sio milele,bali ni makao tu ya muda mfupi ya Mwanadamu.
Makao yake ya milele ni Paradiso au Jehanamu
 
Kifo ndio uhuru wa kweli,utanishangaza kama utapinga kuwa duniani hakuna uhuru...uhuru wa kweli upo kaburini
Ukiwa na. Upendo wa kwel unapata uhuru wa kweli , ubinafsi umeleta shida nyingi sna dunia ,ukiona umeshindwa vyote jaribu upendo.
 
Not at all, this thread has exposed a brutal truth that we need to accept to be stronger and wiser...
The two are not mutually exclusive.

Different people have different strenghts, weaknesses, tolerance levels, trigger points.

The same weights that can be good for you to exercise with as part of building your muscles, could be deadly to a person with a heart condition who is not supposed to lift weights.
 
Kupumzika ni ili kukusanya nguvu tu, uendwlee kuchapa kazi (kuwajibika).

Kama una wazo la kivivu la kupumzika jumla tu, bila kufanyia kazi nguvu ulizokusanya unajidanganya. Na kama unahisi hiyo ndio furaha unakosea sana. Huo ni uvivu. Wavivu hawatapata hilo pumziko popote iwe duniani au mbinguni.

Wakifa hatutasema wamepumzika maana watakuwa ndo wamepotea. Sasa hapo ni hamna kitu.

Ili ufaidi maisha duniani na mbinguni ni lazima ukubali kuwa muwajibikaji.

Muwajibikaji anakula raha pote duniani na mbinguni. Anapumzika kidogo, anakusanya nguvu anaendelea na majukumu ya duniani au ya peponi whatever.

Kazi ni pote, duniani na peponi. Chochote kisichofanya kazi kabisa kimekufa kimechomwa na kimepotea, mfano wa hakijawahi kuwepo abadan.
 
Unaweza kuthibitisha kuna mbingu watu wanaenda baada ya kifo?
 
Mimi binafsi sidhani kama Kuna kupumzika huko tunakomaanisha, binadamu hana kupumzika hata akifa...inawezekana ni jambo la kimtazamo!, au kupumzika maana yake Nini?.
 
Ikiwa tunaishiwa chaji na kuzima data zote huko hatuna kujielewa tena baada ya kifo.

Hakuna kodi ya nyumba, school fees, hakuna njaa, hakuna ugonjwa, hakuna purukushani za kutafuta hela, hakuna kuogopa lawama wala kutaka sifa, hakuna kuumia kwa aina yoyote, hapo napo utasema kifo si kupumzika?
 
Pumziko nililomaanisha ni kuziepuka changamoto za duniani
 
Kwa nini huwezi?
Haiwezekani

Uthibitisho utataka niubebe nikuletee haiwezekani.

Nikisema nilete wa kimantiki haiwezekani pia kwa sababu tuna misingi (premise) tofaut ya uhalisia.

Lakini pia hata kama nitafanikiwaa, ni kazi bure kwa sababu uthibitisho utahitaji tuwe na imani kwa nyenzo tutakazotumia.

Kwangu mm kuwa na imani sio tatizo, nnaweza. Shida itakuja kwako mwenye imani haba (or lack thereof).

Lakini hata nikipiga picha tumeweza na tukaziamini nyenzo na tukathibitisha. Bado kutakuwa na kitu kitabaki, gap ambalo hatutaweza litolea maelezo kwa nyenzo hizo. Tutaendelea kuhitaji kuwa na imani kwa hako ka kitu kasikokamilishika!!. Godels incompletenes.

Kwanza, tunakujua wewe hata concept ya 'uthibitisho' kwako haipo. Sasa unataka tufanye mambo yasiyokuwapo bro!!?🤔

Haitowezekana🙅‍♀️
 
Ikiwa tunaishiwa chaji na kuzima data zote huko hatuna kujielewa tena baada ya kifo.

Hakuna kodi ya nyumba, school fees, hakuna njaa, hakuna ugonjwa, hakuna purukushani za kutafuta hela, hakuna kuogopa lawama wala kutaka sifa, hakuna kuumia kwa aina yoyote, hapo napo utasema kifo si kupumzika?
Naona kupumzika huku alikomaanisha mtoa mada ni kuondoka Kwa masaibu,changamoto za Dunia baada ya kufariki, kitakachotokea huko ulipokwenda baada ya kufa naona ni jambo la mtazamo...maana ukifa changamoto za uso wa Dunia nazo huondoka kama ni hivyo basi huko ni kupumzika pia.
 
Haiwezekani

Uthibitisho utataka niubebe nikuletee haiwezekani.

Nikisema nilete wa kimantiki haiwezekani pia kwa sababu tuna misingi (premise) tofaut ya uhalisia.

Lakini pia hata kama nitafanikiwaa, ni kazi bure kwa sababu uthibitisho utahitaji tuwe na imani kwa nyenzo tutakazotumia.

Kwangu mm kuwa na imani sio tatizo, nnaweza. Shida itakuja kwako mwenye imani haba (or lack thereof).

Lakini hata nikipiga picha tumeweza na tukaziamini nyenzo na tukathibitisha. Bado kutakuwa na kitu kitabaki, gap ambalo hatutaweza litolea maelezo kwa nyenzo hizo. Tutaendelea kuhitaji kuwa na imani kwa hako ka kitu kasikokamilishika!!. Godels incompletenes.

Kwanza, tunakujua wewe hata concept ya 'uthibitisho' kwako haipo. Sasa unataka tufanye mambo yasiyokuwapo bro!!?[emoji848]

Haitowezekana[emoji2284]
Hujafikiria kwamba huwezi kuthibitisha uwepo wa hiyo mbingu kwa sababu haipo kiuhalisia, ni ya kwenye hadithi za kuungwaungwa na watu tu?
 
Ikiwa tunaishiwa chaji na kuzima data zote huko hatuna kujielewa tena baada ya kifo.

Hakuna kodi ya nyumba, school fees, hakuna njaa, hakuna ugonjwa, hakuna purukushani za kutafuta hela, hakuna kuogopa lawama wala kutaka sifa, hakuna kuumia kwa aina yoyote, hapo napo utasema kifo si kupumzika?
Kupumzika kuna maana kwa yule atakayeamka tena na kutumia nguvu alizojichaji wakati wa mapumziko.

Kupumzika jumla hakupo. Hicho kinaitwa kifo.

Anayepumzika ni yule ambaye bado ataendelea kuwa na majukumu na wajibu wa kutimiza. Mifano ndo hayo mambo umeorodhesha.
 
Back
Top Bottom