Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Misingi ya uhalisia wangu ni tofauti na misingi ya uhalisia wako.Hujafikiria kwamba huwezi kuthibitisha uwepo wa hiyo mbingu kwa sababu haipo kiuhalisia, ni ya kwenye hadithi za kuungwaungwa na watu tu?
Hapana, huhitaji kuamka tena ili uweze kupumzika.Kupumzika kuna maana kwa yule atakayeamka tena na kutumia nguvu alizojichaji wakati wa mapumziko.
Kupumzika jumla hakupo. Hicho kinaitwa kifo.
Anayepumzika ni yule ambaye bado ataendelea kuwa na majukumu na wajibu wa kutimiza. Mifano ndo hayo mambo umeorodhesha.
Umeupiga mwingiNaona kupumzika huku alikomaanisha mtoa mada ni kuondoka Kwa masaibu,changamoto za Dunia baada ya kufariki, kitakachotokea huko ulipokwenda baada ya kufa naona ni jambo la mtazamo...maana ukifa changamoto za uso wa Dunia nazo huondoka kama ni hivyo basi huko ni kupumzika pia.
Kupumzika kuna maana kwa atakayeamka.Hapana, huhitaji kuamka tena ili uweze kupumzika.
Kwa sababu, hata mtu aliyelala usingizi masaa 10, akafariki katikati ya usingizi wake kabla hajaamka, yale masaa 10 aliyokuwa kalala alikuwa kapumzika pia.
Hatuhitaji aamke asubuhi ili tuseme kuwa alipumzika usingizini kwa masaa 10 kabla ya kufariki.
Mkuu,Kupumzika kuna maana kwa atakayeamka.
Asipoamka kupumzika kwake hakuna maana hata.
Ndio maana nikasema hata kwenye kifo. Mtu akipumzika hiyo mazima asije kuamka abadani. Atarealize vipi hata kama amepumzika? Ila akiamka ndio atajua kuwa alipumzika.
Kwa hiyo baada ya maisha haya kuna mawili tu 1. Kupumzika mwanzo mwisho(Kifo) 2. Kupumzika kwa muda.
Matokeo baada ya kifo ni zzzz, nada, none, zero.
Matokeo baada ya kupumzika ni kuamka na kuanza kutekeleza majukumu mengine.
Sawa, lakini uhalisia wako hauna mantiki, umetokana na hadithi za kuungwaungwa na watu tu, na imani ya Mungu asiyekuwapo, ambaye tukimchambua kimantiki ataonekana kuwa na contradictions nyingi tu.Misingi ya uhalisia wangu ni tofauti na misingi ya uhalisia wako.
Katika uhalisia wako ndio hakuna mbingu, kifo kinakuwa mwisho wa yote. Kifo. Baada ya hapa inakuwa ni kama vile hukuwahi tu hata kuwepo.
Katika uhalisia wangu mbingu ipo na kifo ni hatua. Hivyo kifo ni pumziko la muda. Baada ya hapo nitakuwa na kazi ya kufanya na changamoto mpya za kutatua.
Suala la kufafanua kupumzika ni nini tukilifafanua mwisho wa siku inabidi lilete maana kwa fulani mwenye uwezo wa kun'gamua maana yenyewe (some conscious being).Mbona unaacha kuongelea "kupumzika ni nini" unakwenda kwenye swali tofauti la "kupumzika kuna maana kwa nani"?
Chief, tungeweza kuendelea zaidi na majadiliano humu. Hatutamaliza. Lakini haitapendeza hii thread itrend sana. Wakati ingefaa kinyume chake; usiendelee kuwepo.uhalisia wako hauna mantiki, umetokana na hadithi za kuungwaungwa na watu tu, na imani ya Mungu asiyekuwapo, ambaye tukimchambua kimantiki ataonekana kuwa na contradictions nyingi tu.
Uhalisia wangu hauna tatizo hilo la contradictions za kimantiki.
Sababu hazitoshi kuufuta Uzi huu! Hizo unazoziona kama sababu za kuufuta Uzi huu zitahalalisha kuwa mafundisho mengi ya kidini ni batili kwa sababu yanaeleza uwepo wa maisha baada ya duniani.Suala la kufafanua kupumzika ni nini tukilifafanua mwisho wa siku inabidi lilete maana kwa fulani mwenye uwezo wa kun'gamua maana yenyewe (some conscious being).
Mimi nimeenda mojakwa moja kwa subject mwenyewe maana mwisho wa siku yeye ndiye atakayeexperience maana hiyo. Na jambo jenyewe ni subjective ni personal. Huwezi ukapumzika kwa niaba ya fulani, huwezi kuelewa kwa niaba ya fulani na ikawa na maana kwake.
Chief, tungeweza kuendelea zaidi na majadiliano humu. Hatutamaliza. Lakini haitapendeza hii thread itrend sana. Wakati ingefaa kinyume chake; usiendelee kuwepo.
Sababu ni ulizotoa mwanzo kwamba inatrigger suicidal ideation kwa wanyonge walio-vulnarable. Nakubaliana nazo asilimia zote. Tafiti zinaonesha ikitokea mtu mmoja kajitoa uhai kuna mtindo wa kutrend 'fasheni' ya watu kujidedisha wanaiga.
Moderator Mhariri ingefaa huu uzi ufutwe ili kulinda afya za walaji.
Uhuru unadhibitiwa, na linapokuja suala la kuilinda jamii na vifo na majanga. Mna sababu zilizojitosheleza kuufunga huu uzi.
Dah,Sababu hazitoshi kuufuta Uzi huu! Hizo unazoziona kama sababu za kuufuta Uzi huu zitahalalisha kuwa mafundisho mengi ya kidini ni batili kwa sababu yanaeleza uwepo wa maisha baada ya duniani.
Hiyo biblia katika muhubiri haisemi wafu hawajui neno lolote?Husomagi neno la Mungu?
"Yesu akamwambia, Amin nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi" LUKA 23:43.
huyu ni mtu mmoja mhalifu aliyekuwa ameuawa msalabani pamoja na Yesu akawa amemwomba Yesu amkumbuke katika Ufalme wake. Bwana Yesu hakumkatalia maombi yake. Huu ni uthibitisho kuwa kuna maisha baada ya haya ya duniani.
YESU NI MWOKOZI
WAFU, Hawajui neno lolote kwa kinachoendelea duniani. Yaani hawana tena connection na dunia. Wanayajua ya hukohuko waliko. Ndio maana ni upuzi kuwaomba ama kuwaombea wafu. Na ni machukizo mbele za Bwana.Hiyo biblia katika muhubiri haisemi wafu hawajui neno lolote?
Bro!upo sawa sawa?umekata tamaa kiasi hiki?hakuna anayejua "uhuru wa huko"kaburini.Kifo ndio uhuru wa kweli,utanishangaza kama utapinga kuwa duniani hakuna uhuru...uhuru wa kweli upo kaburini
Nipo sawa mkuu...Bro!upo sawa sawa?umekata tamaa kiasi hiki?
Mkuu usikate tamaaHapo awali nilidhani ukiwa na hali fulani ya maisha unaweza kuwa na furaha muda mwingi wa maisha yako. Ukweli mchungu!
Ili binadamu apate pumziko halisi kimwili na kiakili basi aishi sehemu tofauti na hii Dunia.
Haijalishi ni mtu wa hali ipi kimaisha wote tunadondokea kwenye mtumbwi mmoja.
Njia pekee ya kuepuka ni kifo tu na hapo ndipo unaweza tengana na vurugu za duniani.