Kifo ni kifo tu isitumike kuwakebehi Machawa wa Mama na CCM tumuachie Mungu

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Nina uhakika hao machawa wa CCM wao mtu kupotezwa au kuuwawa kama mzee Ali Kibao sio ishu kubwa kwao maana chawa anajali tumbo lake kuliko uhai wa Mtanganyika.

Tumuachie Mungu. Tuache kuwakebehi wanapofiwa.

Ipo siku Mungu ataikomboa Tanganyika
 
DAH SA MKE WA mpoto ana kosa GANI dada WA WATU ALIKUA mbali na mitandao isitoshe WATU NDO wamemjua SAHIHI unaanza toa MANENO yasio faa imeniuma SANA SIO POA dilini na HAO maadui zenu mambo ya kuua watoro MPAKA KUKU haipendezi kabisa
 
Kwa hiyo ndugu ina maana huyu huyu Mungu unayemwamini wewe ndiye alipanga Mzee Kibao afe vile?
Mungu huyo pia alipanga Alphonce Mawazo auwawe vile .
Mungu huyohuyo ndiye anaamua kituma watu kama hawa wapoteze watu?

Mimi binafsi siamini hivyo Mungu ninayemwamini mimi hawezi panga vitu kama hivyo,
Kwangu mimi naamini hiyo ni mipango ya shetani na wote wanoshabikia na kuunga mkono mipango ya kishetani lazima wakemewe ,wasutwe na waambiwe ukweli katika mazingira yeyote Yale ikiwemo kwenye misiba yao .
Haiwezekani watu washabikie mambo yakishetani halafu wao wanyenyekewe au wahusudiwe
 
DAH SA MKE WA mpoto ana kosa GANI dada WA WATU ALIKUA mbali na mitandao isitoshe WATU NDO wamemjua SAHIHI unaanza toa MANENO yasio faa imeniuma SANA SIO POA dilini na HAO maadui zenu mambo ya kuua watoro MPAKA KUKU haipendezi kabisa
Hata Mzee Kibao alikuwa mbali na mitandao isitoshe wengi wetu tulimjua baada ya kuuliwa vile kikatili.
 
Nina uhakika hao machawa wa CCM wao mtu kupotezwa au kuuwawa kama mzee Ali Kibao sio ishu kubwa kwao maana chawa anajali tumbo lake kuliko uhai wa Mtanganyika.

Tumuachie Mungu. Tuache kuwakebehi wanapofiwa.

Ipo siku Mungu ataikomboa Tanganyika
Mungu akipenda hilo nalo litapita.
 
Kwa hiyo ndugu ina maana huyu huyu Mungu unayemwamini wewe ndiye alipanga Mzee Kibao are vile?
Mungu huyo pia alipanga Alphonce Mawazo auwawe vile .
Mungu huyohuyo ndiye anaamua kituma watu kama hawa wapoteze watu?

Mimi binafsi siamini hivyo Mungu ninayemwamini mimi hawezi panga vitu kama hivyo,
Kwangu mimi naamini hiyo ni mipango ya shetani na wote wanoshabikia na kuunga mkono mipango ya kishetani lazima wakemewe ,wasutwe na waambiwe ukweli katika mazingira yeyote Yale ikiwemo kwenye misiba yao .
Haiwezekani watu washabikie mambo yakishetani halafu wao wanyenyekewe au wahusudiwe
Sijasema hivyo. Usinisingizie
 
Nina uhakika hao machawa wa CCM wao mtu kupotezwa au kuuwawa kama mzee Ali Kibao sio ishu kubwa kwao maana chawa anajali tumbo lake kuliko uhai wa Mtanganyika.

Tumuachie Mungu. Tuache kuwakebehi wanapofiwa.

Ipo siku Mungu ataikomboa Tanganyika
Ama unataka tuseme kuteka ni kuteka.
 
Back
Top Bottom