Kifo ni kifo tu isitumike kuwakebehi Machawa wa Mama na CCM tumuachie Mungu

Kifo ni kifo tu isitumike kuwakebehi Machawa wa Mama na CCM tumuachie Mungu

Tumia akili sijamshambulia mtu. Nimetoa ushauri
Hujathibitisha bado.

Umefanya ad hominem logical fallacy.

Ila inawezekana hujui, halafu hutaki kujifunza, na unapenda kubisha.
 
We nae umetokea wapi asee... Kufa na wewe au wakute afu ndugu zako waambiwe kifo ni kifo.
 
Back
Top Bottom