Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
- Thread starter
- #21
Uko sahihi.Umesema anajali tumbo lake kuliko uhai wa mtanganyika, unadhani kama yeye hajali uhai wa wengine nani atajali uhai wa watu wake wa karibu?
NB:Hii ni Picha halisi kwa Viongozi wetu kuona ni namna gani jamii yetu wameigawanya