Uko sahihi.Umesema anajali tumbo lake kuliko uhai wa mtanganyika, unadhani kama yeye hajali uhai wa wengine nani atajali uhai wa watu wake wa karibu?
NB:Hii ni Picha halisi kwa Viongozi wetu kuona ni namna gani jamii yetu wameigawanya
Kabisa mkuu taharuki haitakiwi kifo ni kifoDAH SA MKE WA mpoto ana kosa GANI dada WA WATU ALIKUA mbali na mitandao isitoshe WATU NDO wamemjua SAHIHI unaanza toa MANENO yasio faa imeniuma SANA SIO POA dilini na HAO maadui zenu mambo ya kuua watoro MPAKA KUKU haipendezi kabisa
We kama nani kusema isitumike? Kama mama Yao alitumia na sisi tunatumia.
_Kifo ni kifo tu hata marekani wanakufa, amekufa mtu mmoja tu msilete taharuki mitandaoni _
Kauli pendwa hiyo na tutaidumisha
Nina uhakika hao machawa wa CCM wao mtu kupotezwa au kuuwawa kama mzee Ali Kibao sio ishu kubwa kwao maana chawa anajali tumbo lake kuliko uhai wa Mtanganyika.
Tumuachie Mungu. Tuache kuwakebehi wanapofiwa.
Ipo siku Mungu ataikomboa Tanganyika
https://www.facebook.com/Nina uhakika hao machawa wa CCM wao mtu kupotezwa au kuuwawa kama mzee Ali Kibao sio ishu kubwa kwao maana chawa anajali tumbo lake kuliko uhai wa Mtanganyika.
Tumuachie Mungu. Tuache kuwakebehi wanapofiwa.
Ipo siku Mungu ataikomboa Tanganyika
Swali hili muulize hangaya kwanza maana yeye ndo mwanzilishi wa msemo unaotaka tusiutumie.Are you insane?
Kwan All kibao alikuwa karibu na mtanda?DAH SA MKE WA mpoto ana kosa GANI dada WA WATU ALIKUA mbali na mitandao isitoshe WATU NDO wamemjua SAHIHI unaanza toa MANENO yasio faa imeniuma SANA SIO POA dilini na HAO maadui zenu mambo ya kuua watoro MPAKA KUKU haipendezi kabisa
Mimi nafikiri wale wataalamu wakuandika Mabango kwenye Miamba waandike kila mahali huu msemo Kifo ni kifo tu .Ili watu wasiogope maswala kifoNina uhakika hao machawa wa CCM wao mtu kupotezwa au kuuwawa kama mzee Ali Kibao sio ishu kubwa kwao maana chawa anajali tumbo lake kuliko uhai wa Mtanganyika.
Tumuachie Mungu. Tuache kuwakebehi wanapofiwa.
Ipo siku Mungu ataikomboa Tanganyika
Tumuavhie mungu sawa! Mungu yupi huyo?Nina uhakika hao machawa wa CCM wao mtu kupotezwa au kuuwawa kama mzee Ali Kibao sio ishu kubwa kwao maana chawa anajali tumbo lake kuliko uhai wa Mtanganyika.
Tumuachie Mungu. Tuache kuwakebehi wanapofiwa.
Ipo siku Mungu ataikomboa Tanganyika
Kama mwanzilishi alivyoshindwq kumuachia Mungu akaropoka, ndio wengine wanavyoshindwa hivyohivyo. Kwa hiyo utulie!Nina uhakika hao machawa wa CCM wao mtu kupotezwa au kuuwawa kama mzee Ali Kibao sio ishu kubwa kwao maana chawa anajali tumbo lake kuliko uhai wa Mtanganyika.
Tumuachie Mungu. Tuache kuwakebehi wanapofiwa.
Ipo siku Mungu ataikomboa Tanganyika
Mungu hafanyiii kazi wajinga, lazima tujikomboe wenyewe .Nina uhakika hao machawa wa CCM wao mtu kupotezwa au kuuwawa kama mzee Ali Kibao sio ishu kubwa kwao maana chawa anajali tumbo lake kuliko uhai wa Mtanganyika.
Tumuachie Mungu. Tuache kuwakebehi wanapofiwa.
Ipo siku Mungu ataikomboa Tanganyika