ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
umejiuliza swali ka kifalsafa sanaKifo ni nini hasa? Na kimeumbwa na nani?
Mara nyingi tunasikia wakisema “kifo ni haki ya kila mtu , lakini je, hilo lina maana gani kwa uhalisia?
Kwa mfano, mtu akijaribu kujiua na akanusurika, huchukuliwa hatua kali hata kufungwa.
Why? Wakati inaonekana kama alikuwa anafuata hiyo “
haki ya kifo.
Pia kuna swali lingine linanitatiza…
Je, mtu akifa anajua kinachoendelea duniani?
Kwa mujibu wa Qur'an, inaelezwa kuwa mtu akifa, mwili hufa lakini roho inaendelea kuwepo na inaweza kupata malipo au adhabu.
Wakati huo huo, Bible nayo inasema “heri wafao katika Kristo ikimaanisha kuna aina fulani ya faraja au ahueni baada ya kifo.
Sasa hapa ndipo napata mkanganyiko kidogo
Kama kifo ni haki ya kila mtu, kwa nini kuna katazo kali la kujiua?
Why is suicide considered wrong, wakati mtu hajadhuru mwingine bali yeye mwenyewe?
Na kwa nini watu huumia sana mtu anapokufa, kama kifo ni jambo la kawaida na haki ya kila mmoja?
Is death something natural we accept… au ni kitu ambacho bado hatukielewi kwa undani?
Karibuni tujadili 🤝
My name ShesRise_1 🔥
Asante Wewe hutachangia mkuu au mada imekuzidi uzito?umejiuliza swali ka kifalsafa sana
Una hoja sanaKifo ni upgrade, ili kitu kipya kizaliwe lazima cha zamani kife, mfano mti huota baada ya mbegu kufa na nyumba ikibomoka ujue itajengwa mpya kali zaidi na daraja likikatika linajengwa jingine imara zaidi hivyo kifo ni faida
mimi nina IQ kubwa ShesRise_1 unanichukuliajeAsante Wewe hutachangia mkuu au mada imekuzidi uzito?
Thibitisha hapamimi nina IQ kubwa ShesRise_1 unanichukuliaje
Maisha ni zawadi , na kifo ndio huleta maana ya thamani ya maisha. 👍Mfumo wa maisha.. tunazaliwa tunaishi na tunakufa ili kuvipa nafasi viumbe vipya kuendelea
Maisha ni zawadi, na kifo ndyo huleta maana ya thamani ya maisha.
kila chenye mwanzo hakikosi kua na mwisho, ndio asili ya kila kitu.Thibitisha hapa
Maneno kidogo let's go 🚶♂️
Fine girl 😁 story za kifo za nini teinaKifo ni nini hasa? Na kimeumbwa na nani?
Mara nyingi tunasikia wakisema “kifo ni haki ya kila mtu , lakini je, hilo lina maana gani kwa uhalisia?
Kwa mfano, mtu akijaribu kujiua na akanusurika, huchukuliwa hatua kali hata kufungwa.
Why? Wakati inaonekana kama alikuwa anafuata hiyo “
haki ya kifo.
Pia kuna swali lingine linanitatiza…
Je, mtu akifa anajua kinachoendelea duniani?
Kwa mujibu wa Qur'an, inaelezwa kuwa mtu akifa, mwili hufa lakini roho inaendelea kuwepo na inaweza kupata malipo au adhabu.
Wakati huo huo, Bible nayo inasema “heri wafao katika Kristo ikimaanisha kuna aina fulani ya faraja au ahueni baada ya kifo.
Sasa hapa ndipo napata mkanganyiko kidogo
Kama kifo ni haki ya kila mtu, kwa nini kuna katazo kali la kujiua?
Why is suicide considered wrong, wakati mtu hajadhuru mwingine bali yeye mwenyewe?
Na kwa nini watu huumia sana mtu anapokufa, kama kifo ni jambo la kawaida na haki ya kila mmoja?
Is death something natural we accept… au ni kitu ambacho bado hatukielewi kwa undani?
Karibuni tujadili 🤝
My name ShesRise_1 🔥
Ukifa duniani unakuwa umezaliwa kwingine na ukifa huko kwingine unakuwa umezaliwa dunianiUna hoja sana
Umesema kifo ni upgrade
Umesema kifo ni faida je ni faida kwenye msingi upi ni faida kwa mtu mwingine ili azaliwe ?
Au nifaida kwa dunia yenyewe kupata mkaazi mpya
Kwanini hua ni jinai mtu kujiua mwenyewe?
Vipi ukiambiwa upewe hiyo faida muda huu utakubali mkuu?Kifo ni upgrade, ili kitu kipya kizaliwe lazima cha zamani kife, mfano mti huota baada ya mbegu kufa na nyumba ikibomoka ujue itajengwa mpya kali zaidi na daraja likikatika linajengwa jingine imara zaidi hivyo kifo ni faida
Unapozaliwa unaingia kweny database ya nchi, na nchi ina sheria zake ambazo wewe kama raia utazifuata… ukitaka usifungwe ukijiua nenda uzaliwe kwa kina hadzabe 😂😂😂Maisha ni zawadi , na kifo ndio huleta maana ya thamani ya maisha. 👍
Swali langu kwanini huyo mtu akipewa hiyo zawadi na akaamua kuikataa hua nongwa yaan mtu akifanya jaribio la kujiua na akawahiwa hua anapewa adhabu na hata kufungwa !!
Kwani lazima kila zawadi ipokelewe??
Sawa sehemu kubwa umeeleza vizuri sanakila chenye mwanzo hakikosi kua na mwisho, ndio asili ya kila kitu.
kifo kinatokea pale ambapo mwili umeshindwa kufanya shuguli zake za kawaida ili kumaintain uhai kuna law inasema everything when left alone will go fom oder to disoder
lakini sheria inakataza kukatisha uhai kwabababu inalinda rasilimali watu kama inavyolina rasilimali nyingine
watu wanaogipa kifo kwabababu maranyingi kifo huambatana na maumivu, pia ki saikolojia hawajui wanapokwenda wanakua uncertain, lakini pia wanawaachaje wapendwa wao.
watu wengine huumia mtu akifa kwabababu ameondoka kati yao na hawana uwezo wa kuwa naye tena hivyo ni natural kuumia kihisia
Unaogopa kufa 😀Fine girl 😁 story za kifo za nini teina