Kifo ni nini hasa? Is death really a right or a mystery we don’t understand?

Hivyo vitu unavyotaja kuwa vinasababisha kifo(magonjwa,ajali) wapo watu huvipitia na hawafi wanapona, lakini bado watu wanaona kifo ni lazima tu.
 
Naona kifo kimeshindwa kuzuilika aisee
Wana sayansi huenda wangefanya kitu hua naona wanatoa miongozo ya namna yakuzuia kifo cha mapema ikiwemo kuepuka mtindo mbaya wa maisha
Lakini si kuzuia kifo kabisa
Kwa sababu wenyewe wanaamini kifo ni lazima tu.
 
Kwa kifupi ni kuwa
1. Makazi ya Asili ya binadam yalikuwa Mbinguni
2. Baada ya Binadam kumkosea Mungu, aka amua kuwaleta kwenye Chumba cha mtiihani (Duniani)
3. Kwa hiyo maisha yatu yote hapa duniani tupo kwenye chumba cha mtihani (tunayoyatenda sirini na hadharani yote yanarekodiwa)
4. Mtu atakapo kamilisha mtihani wake hufa (hurudishwa kwa aliyetoa mtihani kwa ajili ya matokeo).
5. Ukijiua/ukia mtu maana yake umemnyima haki ya kukamilisha mtihani na matokeo yake yaweza kuwa maovu na kupelekea kupata adhabu kali sana
6. Watu wanaogopa kufa kwa sababu ya matendo yao hapa duniani ambayo kwa namna moja au nyingine wanaona kabisa sio ya kuridhisha hivyo wamefeli mtihani....(Fikiria makosa makubwa kama, kupindisha sheria, kuchukua mali ya yatima, kuchukua mali ya masikini na kujilimbikizia, Ushirikina/Kologa au kutumia fedha kudhuru wengine kwa namna yoyote ile, nk nk nk
7. Mungu yupo na anasubiri kuwapa haki yao wale walionyimwa hapa Duniani na kuteswa bila sababu......
 
Wewe huogopi
Kifo kizuri sana , kwa umri wangu nimezunguka sana ila sijaona kipya ..Mimi sio wale washangaa maghorofa huku dubai au kushangaa maroboti ya AI ..Nimefanya utafiti ila sijaona kipya duniani kama vyote nimeliza .

Conclusion : Dunia ni mfumo wa kitumwa kati ya matajiri na maskini , duniani hakuna usawa . Kufa ni kupumzika baada ya heka heka za duniani .
 
Shukran
 
Conclusion : Dunia ni mfumo wa kitumwa kati ya matajiri na maskini , duniani hakuna usawa . Kufa ni kupumzika baada ya heka heka za duniani .
Kufa ni kupmzika 👍
Wewe unaamini katika dini?
 
Kama kifo ni haki ya kila mtu, kwa nini kuna katazo kali la kujiua? Jiuwe halafu ukiingia Kaburini ndio utajua hujuw maana ya Katazo kwa Vitendo😀😀😛
 
Una hoja sana
Umesema kifo ni upgrade
Umesema kifo ni faida je ni faida kwenye msingi upi ni faida kwa mtu mwingine ili azaliwe ?

Au nifaida kwa dunia yenyewe kupata mkaazi mpya
Kwanini hua ni jinai mtu kujiua mwenyewe?
Ili kudhibiti rate ya vifo isizidi rate ya kuzaliwa
 
Kama kifo ni haki ya kila mtu, kwa nini kuna katazo kali la kujiua? Jiuwe halafu ukiingia Kaburini ndio utajua hujuw maana ya Katazo kwa Vitendo😀😀😛
Hakunaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…