Kifuani nina mzigo wa hasira na kisasi, mgoni wangu kuwa makini

Nimekuelewa!
 
Hii ni shule super kabisa
 
WAtoto wako watateseka wewe ukiwa gerezani, mke kaburini na Mgoni wako!

Acha ubinafsi, Lengo lako kwa sasa liwe kukuza na kuwafanikisha watoto.
 
Sending you hugs.
Relax
Omba Mungu akupitishe salama, sisemi ni swala dogo.
Ila linavukika!!
Tizama watoto wako kwa makini sana, utaona vile Mungu alikupa zawadi nzuri sana ya maisha ya kuyalinda,kuyatunza,kuyaongoza na kuishi kwa ajili yao.
Hizi zinatosha sana kuwa sababu za KUONA THAMANI YA MAISHA YAKO NA YAO.

Na ukayaishi.

Nimekuelewa!
 
Kinachonisumbua Ni hi Hali ya uchungu moyoni mi natafuta hata dawa ninywe niwe na amani naambiwa hamna sijui Nani wakinisaidia
 
Kinachonisumbua Ni hi Hali ya uchungu moyoni mi natafuta hata dawa ninywe niwe na amani naambiwa hamna sijui Nani wakinisaidia
Nakuelewa.
Inaumiza yes, ruhusu kuumia ili upone.
Life fucks sometimes.
Sio nyakati zote mambo huenda vile tunapanga.
Kuumia sio udhaifu!
Ni ubinadamu,it is being human!
So uko sahihi kuumia but usiruhusu kuumia kwa leo kuondoka kicheko cha kesho.

Wanawake wazuri wako kibao.
Watamu kama saga la asali.
Kujifunza tu kuchukulia hatua za maisha na changamoto zake.
Baaas!
Yani usiruhusu starehe za mtu siharibu maisha yako.
 
I love you Sis.
 
Kinachonisumbua Ni hi Hali ya uchungu moyoni mi natafuta hata dawa ninywe niwe na amani naambiwa hamna sijui Nani wakinisaidia
Mama amekupigania sana mpaka hapo ulipofika. Amatokwa na jasho, akamwaga chozi na damu kwa ajili yako halafu uje ujitoe uhai kiboya tu kisa mwanamke asiejielewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…