Kifuatacho baada ya Job Ndugai kujiuzulu, tukae mkao wa kula

Mpuuzi wewe.
Kwani tunapopigania katiba mpya wewe huelewi tu?
 
Na Judicial na Legislature wasiwe na political party affiliations. Ndo hapo kutakuwa na fairplay. Kwa katiba yetu wako at the mercy of the Executive. Na hata katiba yetu ilivyo mbovu, ajabu bado Executive anavunja vipengele kibao. Sad....
 
Sielewi kwa nini huelewi. Spika ana Mamlaka ya kuhoji masuala ya serikali Ila kulingana na kiapo chake hayo mamlaka atayatekeleza akiwa bungeni sio sokoni mitaani apite aanze kuhoji kama vile yeye sio sehemu ya hiyo serikali.

Unajua Kuna mambo yaliwekwa kama guidance tu, imagine unaposema separation of powers unadhani itakuja kutokea iwepo total separation??????

Mwisho wa siku spikaanakuwa na nguvu awapo bungeni tu akitoka na akivua like joho Hana mamlaka hayo na anabaki kuwa mbunge anayetoka CCM na anabaki kuwa mwana CCM.

Sasa hapo ndio anaweza kusulubiwa zaidi maana mwana CCM hapaswi kuendana tofauti na Mwenyekiti wake.

So mwisho wa siku Ndugai hajaongea akiwa bungeni amehoji akiwa kwenye mikutano na watu wa Dodoma sasa hapo sio bungeni.

Tusichangaye spika na uspika.spika ni mtu, uspika ni kazi, na inafanywa wapi na wakati gani???

Hatuwezi kuwa na spika anaongea bungeni na hata kwenye Vila u vya pombe bado aendelee kuonekana anafanya uspika??
 
CCM ni chama changu, lakini hakiwezi kuwa juu ya nchi kama kweli kuna raia wenye vyama na wale wasioamini katika vyama less ni kuvuga tu kwamba kile kifungu cha party supremacy kiliondolewa na kama ndivyo basi katiba hii bado inakuwa reinforced na ile perspective ya mwanzo ...We should face the truth tuache ubabaishaji...Hii partisan ideology kulinda maslahi binafasi na kuyaacha nyuma yale ya taifa, excuse me!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…