Mawematatu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 468
- 608
Amekosea nnFrankly speaking, PM ni wa kuondoka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekosea nnFrankly speaking, PM ni wa kuondoka!
Yupo GAMBOSHI KWA AKINA ZABRONIAtakuwa Yuko kwenye ulimwengu wa misukule network iko shida kidogo huko[emoji3]
Mpuuzi wewe.Natumai sote tuko poa na salama, hakika Mungu ashukuriwe Kwa rehema na neema zake.
Japo nchi na raia wengi wamepokea taarifa za kujiuzulu Kwa speaker wa Bunge Kwa taharuki na mshangao. Lakini swali la kujuiliza hapa, je, nini kutafuta/nini maana ya hii move Kwa maana ya mihimili ya nchi (Serikali, Bunge na Mahakama).
Hakika wengi wanaweza muona Ndugai kama amefeli hivi, Ila ukifanya analysis ya kiuongozi na kisiasa ni kama jamaa ama make a political trap Kwa serikali iliyopo.
Ni kama amatega mtego wa kufungua hoja za kuanzishwa Kwa vuguvugu na Katiba mpya.Kwa nini nasema hivi.Ukitizama Kwa umakini na Kwa kina ni dhahiri na wazi kuwa Ndugai hakufanya kosa kama muwakilishi wa mhimili huru wa BUNGE....japo wengi wanaweza sema namna aliyotumia kuwasilisha hoja yake haikuwa sahihi,lakini swali linakuja,je kuwasilisha huko kulimuondolea ukweli kuwa yeye ni spika wa Bunge....yaani mhimili huru wa nchi.
Move hii ni dhahiri ina inaibua hoja ya je NI kweli nchi yetu ina mihimili mitatu huru yenye Uhuru wa kuhoji na kushauri mhimili mwingine bila uwoga wala kificho.
Jibu ni hapana Kwa kurejelea kujiuzulu Kwa ndugu Ndugai.Hii ni wazi kuwa mhimili mmoja Una nguvu kubwa kuliko mihimili mingine.
Hivyo basi,kifuatacho hapa ni nchi kuingia kwenye mtego wa kuhoji utendaji wa mihimili hii mitatu inayounda taifa la Tanzania.
Swali ni je,nchi itanasa kwenye huu mtego au itajinasua.
Nawasilisha.
Na Judicial na Legislature wasiwe na political party affiliations. Ndo hapo kutakuwa na fairplay. Kwa katiba yetu wako at the mercy of the Executive. Na hata katiba yetu ilivyo mbovu, ajabu bado Executive anavunja vipengele kibao. Sad....Watu hawajui tatizo lililopo...Je kwa bahati mbaya kukitokea state capture nani ataleta balance of power? Judge Mkuu naye atathubutuje kuhukumu iwapo na yeye ni mteuliwa?
What happened is bad kwa nchi yetu kila mwenye sense of integrity hawezi kubali hili kwa hiari au kwa shari....naamini katiba mpya itakayoleta mazuio ya individuals kutumia institution power zao kuvuruga mihimili ambayo inatakiwa iwe independent and complementing each other ili kuleta unity, peace and harmony ndani ya nchi, ndiyo suluhisho ya haya mambo kutotokea tena; hakuna ziada wala pungufu...Hao wenye mihimili wame cross red line kwa usalama wa nchi yetu na tukiwa fair ni personalities zao ndiyo zimekuwa tatizo kubwa kwakua wameshindwa kujizuia kuvuruga mihimili.
Sielewi kwa nini huelewi. Spika ana Mamlaka ya kuhoji masuala ya serikali Ila kulingana na kiapo chake hayo mamlaka atayatekeleza akiwa bungeni sio sokoni mitaani apite aanze kuhoji kama vile yeye sio sehemu ya hiyo serikali.Hapa ume underline the fact kuwa hii mihimili haipo sawa wala huru na unathibitisha assertion kuwa katiba hii haikidhi haja...Kwani Head of State yeye anatakiwa kuja public kuubagaza muhimili ulio huru?
Simkubali Ndugai kwa tabia zake za huko nyuma lakini kwa hili no it was not right! Nani atasimama tena kuuhoji muhimili wa executive?
CCM ni chama changu, lakini hakiwezi kuwa juu ya nchi kama kweli kuna raia wenye vyama na wale wasioamini katika vyama less ni kuvuga tu kwamba kile kifungu cha party supremacy kiliondolewa na kama ndivyo basi katiba hii bado inakuwa reinforced na ile perspective ya mwanzo ...We should face the truth tuache ubabaishaji...Hii partisan ideology kulinda maslahi binafasi na kuyaacha nyuma yale ya taifa, excuse me!Sielewi kwa nini huelewi. Spika ana Mamlaka ya kuhoji masuala ya serikali Ila kulingana na kiapo chake hayo mamlaka atayatekeleza akiwa bungeni sio sokoni mitaani apite aanze kuhoji kama vile yeye sio sehemu ya hiyo serikali.
Unajua Kuna mambo yaliwekwa kama guidance tu, imagine unaposema separation of powers unadhani itakuja kutokea iwepo total separation??????
Mwisho wa siku spikaanakuwa na nguvu awapo bungeni tu akitoka na akivua like joho Hana mamlaka hayo na anabaki kuwa mbunge anayetoka CCM na anabaki kuwa mwana CCM.
Sasa hapo ndio anaweza kusulubiwa zaidi maana mwana CCM hapaswi kuendana tofauti na Mwenyekiti wake.
So mwisho wa siku Ndugai hajaongea akiwa bungeni amehoji akiwa kwenye mikutano na watu wa Dodoma sasa hapo sio bungeni.
Tusichangaye spika na uspika.spika ni mtu, uspika ni kazi, na inafanywa wapi na wakati gani???
Hatuwezi kuwa na spika anaongea bungeni na hata kwenye Vila u vya pombe bado aendelee kuonekana anafanya uspika??
Nashukuru ndugu.....barikiwa,maana hakuna mahala popote nimekutukana.Mpuuzi wewe.
Kwani tunapopigania katiba mpya wewe huelewi tu?