Kifungo cha maisha kwa wabakaji waliotumwa na afande siyo habari njema

Tuna frahi hapa wahuni wanaenda kutoka kwenye Appeal.afu nikurekebishe hawaendi ku Appeal moja kwa moja court of appeal ..hapa wata anzia ku Appeal HIGH COURT kwa sababu case ilikua Resident Magistrate court
 
Mkuu jamii tumefurahi kwa kuepushwa na watu washenzi kama hawa ,labda nikuulize sheria ya nchi gani ambayo ukifungwa maisha unaachiwa baada ya miaka 20????
Apart from appeal watakufa wakiwa jela hakuna mbadala wala msamaha wa raisi kwa wabakaji
 
Siku watakayomrekodi mama yako mzazi anabakwa kwa mfumo ule utajua ni hisia au sio hisia mpumbavu wewe
Hii hapana tumtoe mzazi ambaye hahusiki kabisa hapa
Swali dogo tu kwako Mkuu, umewah fungiwa walau lock up masaa 6. Hakuna kitu kibaya kama kukosa uhuru, pia hawa watKUwa wanawaza tumefungwa maisha (forever) disturbance na mtikisiko wa akili wake sio wa kitoto
Hii ni post ya Matarra wa Twitter X sio mtazamo wangu mimi nimeweka hapa kama mjadala
Check jela za ulaya zilivyo super lakini mtu akihukumiwa ni kilio. Unajua ni kwanini? Hakuna kitu kibaya kama kukosa uhuru wa kujiamulia mambo yako
 
Wamefanya makosa mungu kawapa nafasi ya pili ya kujututia makosa na kuyakili sio ishu yetu bro
 
Siku watakayomrekodi mama yako mzazi anabakwa kwa mfumo ule utajua ni hisia au sio hisia mpumbavu wewe
Hii hapana tumtoe mzazi ambaye hahusiki kabisa hapa
Swali dogo tu kwako Mkuu, umewah fungiwa walau lock up masaa 6. Hakuna kitu kibaya kama kukosa uhuru, pia hawa watKUwa wanawaza tumefungwa maisha (forever) disturbance na mtikisiko wa akili wake sio wa kitoto
Hii ni post ya Matarra wa Twitter X sio mtazamo wangu mimi nimeweka hapa kama mjadala
Check jela za ulaya zilivyo super lakini mtu akihukumiwa ni kilio. Unajua ni kwanini? Hakuna kitu kibaya kama kukosa uhuru wa kujiamulia mambo yako
Wewe hujawahi kukaa jela hata siku Moja usingeandika utumbo huu hivi unaijua jela vizuri
Kabla ya kuchangia mada jifunze kuisoma mpaka mwisho na kuelewa muktadha wake
Matumizi mabaya ya simu ndio imekuwa kichocheo kikubwa zaidi kilichowasababishia janga hili kubwa vijana hawa.📌🔨
 
Siku watakayomrekodi mama yako mzazi anabakwa kwa mfumo ule utajua ni hisia au sio hisia mpumbavu wewe
Hii hapana tumtoe mzazi ambaye hahusiki kabisa hapa
Swali dogo tu kwako Mkuu, umewah fungiwa walau lock up masaa 6. Hakuna kitu kibaya kama kukosa uhuru, pia hawa watKUwa wanawaza tumefungwa maisha (forever) disturbance na mtikisiko wa akili wake sio wa kitoto
Hii ni post ya Matarra wa Twitter X sio mtazamo wangu mimi nimeweka hapa kama mjadala
Check jela za ulaya zilivyo super lakini mtu akihukumiwa ni kilio. Unajua ni kwanini? Hakuna kitu kibaya kama kukosa uhuru wa kujiamulia mambo yako
Wewe hujawahi kukaa jela hata siku Moja usingeandika utumbo huu hivi unaijua jela vizuri
Kabla ya kuchangia mada jifunze kuisoma mpaka mwisho na kuelewa muktadha wake
Matumizi mabaya ya simu ndio imekuwa kichocheo kikubwa zaidi kilichowasababishia janga hili kubwa vijana hawa.
Mkuu jamii tumefurahi kwa kuepushwa na watu washenzi kama hawa ,labda nikuulize sheria ya nchi gani ambayo ukifungwa maisha unaachiwa baada ya miaka 20????
Apart from appeal watakufa wakiwa jela hakuna mnadala wala msamaha wa raisi kwa wabqkaji
Sina ujuzi sana wa sheria mkuu ila kwa nchi hii lolote linawezekana
 
Hao wamefungwa haraka haraka ili raia tutulie au tupunguze kelele afande aweze kupita kilaini.

Afande akishapita hiviii hao vijana watatoka kwa rufaa.

Hao vijana naamini hata hawakupewa muda wa kumtaja aliyewatuma.
 
UKishinda rufaa ni unatoka hupunguziwi adhabu maana adhabu ya kosa lao ni kifungo cha maisha, halafu parole hqiwahusu wabakaji
 
Kuna uwezakano hao mkubwa katika kukata rufaa hao jamaa wakaachiwa au kupunguziwa adhabu .

Nilichokiona hapo ni swala la kuifurahisha jamii na sio weredi.

Mfano huyo Afande aliyewatuma wameshindwa vipi kumkamata na kumuunganisha katika hiyo kesi.

Then kumlipa muathirika mil 4 ni hela ndogo Sana.
 
Mkuu wa Magerez Ukonga apandishwa mahakamani kwa kesi ya rushwa na ya kufoji ma docuemt.

Aliandika addendum ( nyongeza) ya listi ya majina ya msamaha wa wafungwa. Ikasoma inatoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani.

Wachina watatu walitoa milioni 45 ili wanyopolewe kwenye kifungo Ukonga. Baada ya kuona hawatoki lawyet wao akafuatilia. Afande akataka waongeze milioni 18. Wakagoma. Kikasanuka!

Vyombo vya Ulinzi wakafuatilia wakakuta hakuna barua ya msamaha kutoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani kusamehe wachina watatu. Mkuu wa Megereza pamoja na wenzake wawili wako Lupango.

My first ever compliment to the goverment on fighting public service corruption at high places.
 
UKishinda rufaa ni unatoka hupunguziwi adhabu maana adhabu ya kosa lao ni kifungo cha maisha, halafu parole hqiwahusu wabakaji

Inategemea mfano katika rufaa kuna MTU alihukumiwa kunyongwa Ila rufaa ilipotoka akahukumiwa miaka miwili.
 
Hizo sehemu za ulizozitaja mara nyingi hela ikiwepo kufungwa ni ngumu Sana tena Sana.

Hii nimeiona na ukiona MTU kafungwa ujue hela imeliwa Ila haijamfikia muhusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…