Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Wahukumiwe hapa hapa kwanza...Mambo ya Sheria hayo
Ila kikubwa tu tumeona wamefungwa maisha,na wasirudi wabaki hukohuko.
Hukumu nyingine ni mbinguni,kama wasipotubu unyama walioufanya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahukumiwe hapa hapa kwanza...Mambo ya Sheria hayo
Ila kikubwa tu tumeona wamefungwa maisha,na wasirudi wabaki hukohuko.
Hukumu nyingine ni mbinguni,kama wasipotubu unyama walioufanya.
Hukumu ya kifo au Kunyongwa ndio inaweza ku disturb medulla.Watajifunza kitu Life Sentence ina disturb brain pia.
Wanawanyongaga kimya kimya Dodoma ila naonaga kama haitoshi inabidi mtu achinjwe na bisu ndio adhabu inakua nzuri Kwa mtu wa aina hiyo kufa kifo Cha starehe kama kumnyonga ni uzembe sanaHivi Tz adhabu za kifo huwa zinatelelezwa kweli?
😂😂😂😂Wanawanyongaga kimya kimya Dodoma ila naonaga kama haitoshi inabidi mtu achinjwe na bisu ndio adhabu inakua nzuri Kwa mtu wa aina hiyo kufa kifo Cha starehe kama kumnyonga ni uzembe sana
Wahukumiwe hapa hapa kwanza...I
Wale bado vijana watatoka wakiwa vijana kabisa........Aiseee
Wasitoke ,hawa ni zaidi ya wanyama..
Japo kama ni kweli ulivyosema, nayo miaka 16 si haba.
Ground moja ambayo nina uhakika wakili wa utetezi hakuisema na anaenda kuitumia ni kuwa utaratibu wa kumshtaki askari mahakama ya kijeshi ili akihukumiwa huko anapelekwa mahakama ya kiraia.Hii sio good news ever.
Labda huelewi.
Kifungo cha maisha/Life sentence (L.S) haitawafundisha kitu hawa vijana. Kwanini nasema hivi.
1. L.S hawafanyi adhabu nje ya ngome ambazo ndio ngumu kumrekebisha mhalifu. Wao ni watu wa ndani tu kula na kulala. Wanaohukumiwa adhabu chini ya kifungo cha maisha, mfano niliyopata hupokea adhabu kali za nje ya ngome.
2. L.S hawalalii virago vibovu, wao magodoro na blanket ni nzuri na hawalali mabweni (Cells) zilizochakaa wao ni second high class baada ya #condemned.
- Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela
3. Kulingana na sheria zetu hawa wakikaa miaka 20 wanaachiwa like hawakufanya lolote vile, sawa wanakuwa wamepoteza lkn hiyo 4m anayopewa victim haitamsaidia kitu, nikwambie na wakitoka huyo victim atakuwa 40'yrs old na hilo kwake halitakuwa limesahaulika.
4. Mind you huku uraiani ukiwa Public servant ukafanya kosa unachukiwa na kuzomewa ILA ukiingia JELA wewe ni Top Boss siku si chache atapewa mkanda na ataheshimiwa maana kule hakuna anayedeal na ulichofanya uraiani.
Huyu anaenda kustarehe...
ISITOSHE ana rufaa huyu akienda COURT OF APPEAL tutamuona uraiani nimesoma ground za kushinda ni nyingi kwasbb ya ubovu wa sheria zetu.
Mtakuja kuniambia.
Nilitegemea wafungwe miaka 30
Ambayo hii ukiappeal kwenda Court of Appeal kulingana na makosa yao wangekaa gerezani km miaka 5 hivi ndio waitwe Mahakamani.
Kwahiyo km wangepewa sentence ya 30's wangefanya adhabu za nje zote ngumu pia wangekuwa na vigezo vya kupelekwa magereza ya adhabu km kule Songea, mpk wanakuja kuitwa Mahakama wamenyooka.
PILI, ikitokea rufaa imegoma inawapandisha kifungo cha maisha ambapo napo kutoka ni mtihani
Credit: Eng_Matarra X
Miaka 20 kifungoni.Wale bado vijana watatoka wakiwa vijana kabisa........
Nadhani watakata rufaa alafu watapambania walau walimwe miaka 30.....
Miaka 30 watatumikia pengine miaka 20 au chini ya hapo...... hivyo watatoka wakiwa kwenye 40's hivi hivyo angali vijana wenye nguvu na uwezo wa kuanzisha familia.....
Bongo uraiani tu huna uhakika wa kutobowa hiyo miaka ndio sembuse jela?Wale bado vijana watatoka wakiwa vijana kabisa........
Nadhani watakata rufaa alafu watapambania walau walimwe miaka 30.....
Miaka 30 watatumikia pengine miaka 20 au chini ya hapo...... hivyo watatoka wakiwa kwenye 40's hivi hivyo angali vijana wenye nguvu na uwezo wa kuanzisha familia.....
Ulishawahi kukaa jela hata siku 1Wale bado vijana watatoka wakiwa vijana kabisa........
Nadhani watakata rufaa alafu watapambania walau walimwe miaka 30.....
Miaka 30 watatumikia pengine miaka 20 au chini ya hapo...... hivyo watatoka wakiwa kwenye 40's hivi hivyo angali vijana wenye nguvu na uwezo wa kuanzisha familia.....
Sidhani kama zimerasimishwa labda kama sina taarifa za kutosha kuhusu mambo ya vifungo na jela......Miaka 20 kifungoni.
Hatari sana.
Hivi jela huwa wanaruhusu matumizi ya simu?
Angalau wapoteze muda kuperuz mitandaoni
Ni hakimu mkazi wa nyumbani kwangu.....nikitoa hukumu kutokea sebuleni kwangu......Wewe ni hakimu mkazi wa wapi
Mkuu sisi tumepiga hesabu za kibinadamu tu masuala ya uhai tumemuachia muumba......mkuu.......Bongo uraiani tu huna uhakika wa kutobowa hiyo miaka ndio sembuse jela?
Hebu sikilizeni nyimbo ya Ndanda Kosovo jela ni mateso maana mnachukulia powa jela za Kibongo.
Basi watakuja uwafunge hiyo miaka uliyosema chumbani kwako wakusaidie mkeoNi hakimu mkazi wa nyumbani kwangu.....nikitoa hukumu kutokea sebuleni kwangu......
Hapa unanichanganya maana unataka hukumu mbili wakati Duniani tuna hukumu zetu kwanza hiyo ingine watakutana nayo huko mbele maana tukiwaacha tukiamini hiyo ya mbele wanaweza kupeta tu..Wameshahukumiwa
Ila bado Mungu ndiye mwenye kipimo cha haki cha hukumu
watu wanajiandikia tu kama wamehara.Swali dogo tu kwako Mkuu, umewah fungiwa walau lock up masaa 6. Hakuna kitu kibaya kama kukosa uhuru, pia hawa watKUwa wanawaza tumefungwa maisha (forever) disturbance na mtikisiko wa akili wake sio wa kitoto
ni kwa baba yako kule?Miaka 20 kifungoni.
Hatari sana.
Hivi jela huwa wanaruhusu matumizi ya simu?
Angalau wapoteze muda kuperuz mitandaoni
Kimsingi adhabu waliyohukumiwa hao Watu siyo kitu kizuri na Wala siyo habari njema hata kidogo. Lakini sisi wote tujiulize, Je, Nini hasa kiini au chanzo cha janga kubwa lote hili lililowakumba hawa Watu??? Nafikiri chanzo cha janga hili ni kutokana na tamaduni, mila, desturi, mtindo wa maisha na mfumo wa malezi ya watoto au vijana ambayo ipo katika jamii zetu za kiafrika kwa nyakati za Sasa. Kuna ULAZIMA kwa wazazi wa sasa (hususani wazazi/walezi wa kiume) kuwa karibu zaidi na vijana wao wa kiume ili kuelezana bila aibu katika kuwapa miongozo sahihi kuhusiana na masuala haya ya mahusiano, pamoja na matumizi sahihi ya mitandao ya simu.Hii sio good news ever.
Labda huelewi.
Kifungo cha maisha/Life sentence (L.S) haitawafundisha kitu hawa vijana. Kwanini nasema hivi.
1. L.S hawafanyi adhabu nje ya ngome ambazo ndio ngumu kumrekebisha mhalifu. Wao ni watu wa ndani tu kula na kulala. Wanaohukumiwa adhabu chini ya kifungo cha maisha, mfano niliyopata hupokea adhabu kali za nje ya ngome.
2. L.S hawalalii virago vibovu, wao magodoro na blanket ni nzuri na hawalali mabweni (Cells) zilizochakaa wao ni second high class baada ya #condemned.
- Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela
3. Kulingana na sheria zetu hawa wakikaa miaka 20 wanaachiwa like hawakufanya lolote vile, sawa wanakuwa wamepoteza lkn hiyo 4m anayopewa victim haitamsaidia kitu, nikwambie na wakitoka huyo victim atakuwa 40'yrs old na hilo kwake halitakuwa limesahaulika.
4. Mind you huku uraiani ukiwa Public servant ukafanya kosa unachukiwa na kuzomewa ILA ukiingia JELA wewe ni Top Boss siku si chache atapewa mkanda na ataheshimiwa maana kule hakuna anayedeal na ulichofanya uraiani.
Huyu anaenda kustarehe...
ISITOSHE ana rufaa huyu akienda COURT OF APPEAL tutamuona uraiani nimesoma ground za kushinda ni nyingi kwasbb ya ubovu wa sheria zetu.
Mtakuja kuniambia.
Nilitegemea wafungwe miaka 30
Ambayo hii ukiappeal kwenda Court of Appeal kulingana na makosa yao wangekaa gerezani km miaka 5 hivi ndio waitwe Mahakamani.
Kwahiyo km wangepewa sentence ya 30's wangefanya adhabu za nje zote ngumu pia wangekuwa na vigezo vya kupelekwa magereza ya adhabu km kule Songea, mpk wanakuja kuitwa Mahakama wamenyooka.
PILI, ikitokea rufaa imegoma inawapandisha kifungo cha maisha ambapo napo kutoka ni mtihani
Credit: Eng_Matarra X
Sawa ndugu hakimu......Basi watakuja uxafunge hiyo miaka uliyosema chumbani kwako wakusaidie mkeo
Kwahiyo siyo kweli kwamba hawatateseka sana kama alivyochambua Mshana pale juuBongo uraiani tu huna uhakika wa kutobowa hiyo miaka ndio sembuse jela?
Hebu sikilizeni nyimbo ya Ndanda Kosovo jela ni mateso maana mnachukulia powa jela za Kibongo.