Hapana hapo imetoka murder imekuwa manslaughterInategemea mfano katika rufaa kuna MTU alihukumiwa kunyongwa Ila rufaa ilipotoka akahukumiwa miaka miwili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana hapo imetoka murder imekuwa manslaughterInategemea mfano katika rufaa kuna MTU alihukumiwa kunyongwa Ila rufaa ilipotoka akahukumiwa miaka miwili.
Mkuu wa Magerez Ukonga apandishwa mahakamani kwa kesi ya rushwa na ya kufoji ma docuemt.
Aliandika addendum ( nyongeza) ya listi ya majina ya msamaha wa wafungwa. Ikasoma inatoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani.
Wachina watatu walitoa milioni 45 ili wanyopolewe kwenye kifungo Ukonga. Baada ya kuona hawatoki lawyet wao akafuatilia. Afande akataka waongeze milioni 18. Wakagoma. Kikasanuka!
Vyombo vya Ulinzi wakafuatilia wakakuta hakuna barua ya msamaha kutoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani kusamehe wachina watatu. Mkuu wa Megereza pamoja na wenzake wawili wako Lupango.
My first ever compliment to the goverment on fighting public service corruption at high places.
Kesi za ubakaji huwa ni ngumu sana kuchomoa. Hii mawakili na mashirika makubwa wanaifuatilia kwa karibu.Hizo sehemu za ulizozitaja mara nyingi hela ikiwepo kufungwa ni ngumu Sana tena Sana.
Hii nimeiona na ukiona MTU kafungwa ujue hela imeliwa Ila haijamfikia muhusika.
Kwa hiyo unataka kusema hadi sasa Jeshi halina taarifa za kushitakiwa kwa askari wake!? Wwe hadi unaona askari kaletwa Mahakama ya kiraia ujuwe kua Jeshi tayari lishamalizana nae!!Ground moja ambayo nina uhakika wakili wa utetezi hakuisema na anaenda kuitumia ni kuwa utaratibu wa kumshtaki askari mahakama ya kijeshi ili akihukumiwa huko anapelekwa mahakama ya kiraia.
Kama utaratibu huo haukufuatwa nahisi hawa jamaa wameandaliwa kurejea uraiani
Achana na fundi yuleeeee.🤣🤣Hii adhabu kwa upande wangu inafaa kabisa maana kitendo walichokifanya ingekua wewe huyo aliyefanyiwa ni mwanao sidhani kama ungekubaliana na huo ujinga. Hili liwe fundisho kwa vijana wa hovyo wa aina hii. Kundi la watu wa nne si walitaka kumuua huyo Binti kwa walichofanya imekula bahati tu amepona.
Hakuna adhabu mbaya kama ya kunyongwa hadi kufaaaa.Swali dogo tu kwako Mkuu, umewah fungiwa walau lock up masaa 6. Hakuna kitu kibaya kama kukosa uhuru, pia hawa watKUwa wanawaza tumefungwa maisha (forever) disturbance na mtikisiko wa akili wake sio wa kitoto
Hivi ukitumwa ukaibe aliyekutuma ndio mwizi au wewe uliyeenda kuiba ndio mwizi? Tafsiri ya kisheria pleaseJe hawawezi kukata rufaa? Maana mtuhumiwa mkuu hajaunganishwa
Hawatoki hao wabakaji na walawiti hicho kitendo walichokifanya ni cha kishenzi na cha kipuuzi kabisa. Adhabu za namna hii ziwe nyingi ili kuwalinda mabinti zetu.Mahakimu hawana Uhuru mpana kama Majaji. So Hakimu alijua tu akihukumu tofauti na wanasiasa wanavyotaka, watamla kichwa.
Hawa wakenda court of Appeal, wanaachiwa.
Mkuu mshana, kosa walilofanya adhabu yake ni kifungo cha maisha. Hivyo ikiwa sheria imeainisha kosa fulani hukumu yake ni hii hakimu/judge hawezi kubadili.
N.b. kifungo cha maisha haina kutoka labda wapate msamaha.
Asante sana kwa elimu ndugu yanguUKishinda rufaa ni unatoka hupunguziwi adhabu maana adhabu ya kosa lao ni kifungo cha maisha, halafu parole hqiwahusu wabakaji
Siyo kweli hata kidogo, mfungwa yoyote yule wa makosa yoyote Yale anaweza akapewa msamaha wa Rais na akatoka gerezani. Rejea kusoma Ibara ya 45 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977.UKishinda rufaa ni unatoka hupunguziwi adhabu maana adhabu ya kosa lao ni kifungo cha maisha, halafu parole hqiwahusu wabakaji
Mkuu wa Magerez Ukonga apandishwa mahakamani kwa kesi ya rushwa na ya kufoji ma docuemt.Kuna uwezakano hao mkubwa katika kukata rufaa hao jamaa wakaachiwa au kupunguziwa adhabu .
Nilichokiona hapo ni swala la kuifurahisha jamii na sio weredi.
Mfano huyo Afande aliyewatuma wameshindwa vipi kumkamata na kumuunganisha katika hiyo kesi.
Then kumlipa muathirika mil 4 ni hela ndogo Sana.
Inategemea na mazingjra na umahiri wa wanasheria na sometimes maslahi ya kisiasa kwa bongoHivi ukitumwa ukaibe aliyekutuma ndio mwizi au wewe uliyeenda kuiba ndio mwizi? Tafsiri ya kisheria please
Nakumbuka waziri wa ulinzi alisema kosa la ubakaji linaenda moja kwa moja polisi.Kwa hiyo unataka kusema hadi sasa Jeshi halina taarifa za kushitakiwa kwa askari wake!? Wwe hadi unaona askari kaletwa Mahakama ya kiraia ujuwe kua Jeshi tayari lishamalizana nae!!
Kwa hiyo unataka kusema hadi sasa Jeshi halina taarifa za kushitakiwa kwa askari wake!? Wwe hadi unaona askari kaletwa Mahakama ya kiraia ujuwe kua Jeshi tayari lishamalizana nae!!
kule ni kuzimuTaarifa muhimu wanazipata wapi sasa
Aisee !
HApana haipo hivyo kwa sheria zetu makosa ya ubakaaji, na ujambazi wa kutumia silaha hayamo kwenye msamaha kwa sheria zetuSiyo kweli hata kidogo, mfungwa yoyote yule wa makosa yoyote Yale anaweza akapewa msamaha wa Rais na akatoka gerezani
Hii kesi ilipelekwa haraka sababu kuna mashirika makubwa ya haki za binadamu na mawakili walikuwa wanaifuatilia kwa ukaribu. Pia ilivuta hisia za watu wengi. Wakikata rufaa hawatashinda hawa.Hisia zangu zinaniambia kuwa hapa tumepigwa kamba na cheti kimoja cha maana. Kimsingi kesi imekwenda haraka haraka huku ikiwa na magepu eneo la mashitaka, meaning utaratibu wa kisheria haukufuatwa ipasavyo.
Hawa vijana hawakufanya hilo tukio kwa kutaka wenyewe kuna ambaye aliwatuma,why amefichwa sana na haujaona yeye akipelekwa kwenye vyombo vya sheria kwa ushiriki wake kwenye hili tukio?
Hii kesi inatumika kisiasa kufuta taharuki iliyopo sasa juu ya vyombo vya sheria especially jeshi la polisi kuonekana kama linakwenda kinyume na wajibu na majukumu yake.
Hili tukio limekaa kimkakati sana. Watu waliopo kwenye meza za maamuzi wameamua kufanya kazi na shetani na kumtetea maslahi yake.
Hii haijakaa sawa na ni lazima kama raia tukazie kweli kweli hawa wahuni wasituzoee vibaya. Kodi ni zetu na sisi ndio wenye maamuzi ya mwisho inapokuja swala la maamuzi ys kitaifa.