Kigaila adai Magufuli amekuwa mwaka 2021 tukiwa na miaka 60 ya uhuru ameacha tunadaiwa deni la Taifa Triolioni 59, sawa na wastani kwa Mwaka Trilioni Moja moja.
Samia yuko Madarakani mwaka wa tatu tangu 2021 amepandisha deni la taifa kutoka trilioni 59 mpaka Trilioni 98 kwa wastani wa kukopa kila mwaka Trilioni 13, Anauliza mradi wake alioanzisha kwa wakati wake ni Upi? Anadai hakuna mtu anayejua mradi wa Samia alionzisha kwa mikopo hiyo katika wakati wake wa Utawala
Amesema, pamoja na kuongeza deni hilo kutokana na ukopaji wa Samia hakuna mradi wowote ambao Samia ameanzisha katika kipindi chake, Isipokuwa mradi wa Mabango ya Mama anaupiga mwingi