Pre GE2025 Kigaila: Rais Samia hajaanzisha mradi wowote tangu awe Rais isipokuwa mradi wa mabango ya Mama anaupiga Mwingi!

Pre GE2025 Kigaila: Rais Samia hajaanzisha mradi wowote tangu awe Rais isipokuwa mradi wa mabango ya Mama anaupiga Mwingi!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kifupi huwezi kunipangia namna bya kufanya argument, kama wewe ambavyo ulikuja na argument ya kijinga kuwaita CHADEMA wasanii.
unao
Kaka kuandika bila kuweka paragraphs no KELELE, jifunze kuweka paragraphs!!
Jaribu kujifunza kufanya vitu vikubwa na vya maana, ushabiki wako wa vitu vidogovigo visivyo na maana unakuweka kwenye kundi fulani ambalo sitolitaja.
 
Mwenyekiti wa mioyo yetu
 
Attachments

  • LISSU2.jpg
    LISSU2.jpg
    574.1 KB · Views: 2
unao

Jaribu kujifunza kufanya vitu vikubwa na vya maana, ushabiki wako wa vitu vidogovigo visivyo na maana unakuweka kwenye kundi fulani ambalo sitolitaja.
Huna argument, in short wewe ni mweupe bare headed unaendekeza uchawa kwa sababu ya njaa,unatafuta attention uteuliwe.
Nakuhakikishia huwezi Kupata uteuzi mpaka CHAWA LA MACHAWA apate LUKASI MWASHAMBWA ambaye atateuliwa 2042🤣🤣😀😃

Utasugua sana gaga!!:fanya kazi hamna shortcut kwenye maisha!!

🤔🤔 Shame on you
 
Ndio ukweli huo...ukibishana basi taja miradi mitatu aliyoanzisha huyu mother wenu
 
Back
Top Bottom