Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa machadema ndio waanzilishi na waimbaji wa mwanzo wà slogan ya mama anaupiga mwingi. Baada ya Mbowe kuswekwa lupango na mama kwa kesi ya ugaidi wakageuka kama kawaida yao sasa wanakana kwamba ndio waanzilishi wa mama anaupiga mwingi.Kigaila adai Magufuli amekuwa mwaka 2021 tukiwa na miaka 60 ya uhuru ameacha tunadaiwa deni la Taifa Triolioni 59, sawa na wastani kwa Mwaka Trilioni Moja moja.
Samia yuko Madarakani mwaka wa tatu tangu 2021 amepandisha deni la taifa kutoka trilioni 59 mpaka Trilioni 98 kwa wastani wa kukopa kila mwaka Trilioni 13, Anauliza mradi wake alioanzisha kwa wakati wake ni Upi? Anadai hakuna mtu anayejua mradi wa Samia alionzisha kwa mikopo hiyo katika wakati wake wa Utawala
Amesema, pamoja na kuongeza deni hilo kutokana na ukopaji wa Samia hakuna mradi wowote ambao Samia ameanzisha katika kipindi chake, Isipokuwa mradi wa Mabango ya Mama anaupiga mwingi
Kulinganisha na Polepole.Mzee kulinganisha na nani?
Tanga mradi alioanzisha zaidi ya chawa na mabangoKigaila anaweweseka tu
Mradi wa chawa ndiyo unamlipaUngekuwa na akili ungempinga kwa hoja.
Awamu hii pesa ya wananchi inatumika hovyo sana!!Na ni kipindi hiki tozo zimekua nyingi na kubwa kupita awamu zote bila kusahau hiyo mikopo ya kausha damu alafu unashangaa pamoja na kukopa kiasi hicho bado wanafanya matumizi ya hovyo mfano mzuri wiki iliyopita walifanya sherehe kigoma kule za kusaini Mkataba wa ujenzi wa soko mkataba ambao wangesaini ofisini tuu lakini wakaamua kuchoma pesa kipumbavu tuu
Kifupi huwezi kunipangia namna bya kufanya argument, kama wewe ambavyo ulikuja na argument ya kijinga kuwaita CHADEMA wasanii.Jikite kwenye mada husika, usirukikie vitu. mada iliyopo mezani inayojadiliwa ni kauli ya kigaila kusema hakuna mradi wowote ulianzishwa na Rais Samia na Comment yangu ilijikita kwenye mada husika kama ulitaka kuzungumzia habari za ofisi ya msajili ungeanzishia uzi wako na ningekuja kuujadili kivingine. Tujikite kwenye mada vinginevyo tutaonekana vituko.
tuweke ushabiki pembeni tujadili uhalisia ulivyo na nitakuuliza swali: Je ni kweli hakuna mradi hata mmoja ulianzishwa na Rais Samia?
Mradi wa BBT
Mradi wa DMDP II
Mradi wa Royal Tour
Mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo
Mradi wa DP World
ni mifano ya miradi iliyoanzishwa na Samia
Au unadhani miradi ni lazima iwe 'tangible'?
Malizia mradi mmoja wa KUUZA RASILIMALI ZA NCHI, ikiwemo Benchmark yetu BandariJikite kwenye mada husika, usirukikie vitu. mada iliyopo mezani inayojadiliwa ni kauli ya kigaila kusema hakuna mradi wowote ulianzishwa na Rais Samia na Comment yangu ilijikita kwenye mada husika kama ulitaka kuzungumzia habari za ofisi ya msajili ungeanzishia uzi wako na ningekuja kuujadili kivingine. Tujikite kwenye mada vinginevyo tutaonekana vituko.
tuweke ushabiki pembeni tujadili uhalisia ulivyo na nitakuuliza swali: Je ni kweli hakuna mradi hata mmoja ulianzishwa na Rais Samia?
Mradi wa BBT
Mradi wa DMDP II
Mradi wa Royal Tour
Mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo
Mradi wa DP World
ni mifano ya miradi iliyoanzishwa na Samia
Au unadhani miradi ni lazima iwe 'tangible'?
Si kweli kuna miradi mipya imeanza chini ya Rais Samia Suluhu Hassan na pia amejitahidi kukamilisha miradi muhimu ya mwanzo. Huwezi kupinga kila kitu, ukweli kuna mazuri yaliyotendeka chini yake.Kigaila adai Magufuli amekuwa mwaka 2021 tukiwa na miaka 60 ya uhuru ameacha tunadaiwa deni la Taifa Triolioni 59, sawa na wastani kwa Mwaka Trilioni Moja moja.
Samia yuko Madarakani mwaka wa tatu tangu 2021 amepandisha deni la taifa kutoka trilioni 59 mpaka Trilioni 98 kwa wastani wa kukopa kila mwaka Trilioni 13, Anauliza mradi wake alioanzisha kwa wakati wake ni Upi? Anadai hakuna mtu anayejua mradi wa Samia alionzisha kwa mikopo hiyo katika wakati wake wa Utawala
Amesema, pamoja na kuongeza deni hilo kutokana na ukopaji wa Samia hakuna mradi wowote ambao Samia ameanzisha katika kipindi chake, Isipokuwa mradi wa Mabango ya Mama anaupiga mwingi
Pamoja na huo ujinga alio nao bado CCM tuna imani na Kigaila.Yaani upinzani ukiwa na viongozi vilaza wa dizaini ya kigaila kushika dola ni ngumu sana yaani haoni anachofanya mama wakati mbowe anasifia juhudi za mama yeye ni nani mpaka ashangae? huyu hafai kuwa kiongozi wanapoteza muda tu
Polepole mwenyewe hana hakika kama ni mzee au kijana.Kulinganisha na Polepole.
Kaka kuandika bila kuweka paragraphs no KELELE, jifunze kuweka paragraphs!!Nakusikitikia maana unakokotwa kama mkokoteni, kesho kigaila akikana kauli yake basi aibu itakushukia wewe ila shukuru una ID fake maana familia yako ingekudharau pia. Natamani kuona upinzani imara na wenye hoja nzito lakini si huu wa kigaila na wenzake. Miradi inatekelezwa na inakamilika, wananchi wanapongeza na mpaka hizo pongezi zinawakera, lakini anatokea mtu mmoja anasema hakuna mradi na kundi la watu linashangilia ni kweli bila kujua anayesema hivyo anawaona wajinga kiasi gani
Na mke wake Covid 19 KUNTI MAJALA, anaongea Chiriku kasingiziwaPamoja na huo ujinga alio nao bado CCM tuna imani na Kigaila.