KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,789
- 4,951
unaoKifupi huwezi kunipangia namna bya kufanya argument, kama wewe ambavyo ulikuja na argument ya kijinga kuwaita CHADEMA wasanii.
Jaribu kujifunza kufanya vitu vikubwa na vya maana, ushabiki wako wa vitu vidogovigo visivyo na maana unakuweka kwenye kundi fulani ambalo sitolitaja.Kaka kuandika bila kuweka paragraphs no KELELE, jifunze kuweka paragraphs!!