Kigamboni New City Master Plan

Kigamboni New City Master Plan

i think this thing is for real as ukienda pale office za ardhi utakuta bango kubwa la picha au plan ikielezea hili. May be .... let me be optimistic.
 
Ni kheri enzi za ukoloni mnajua wzi kuwa nchi inaongozwa wa foreigners kuliko nchi ikiongozwa na wenzenu ambao ni puppets.
 
Wakuu hii nimeona kwa macho yangu,ule Mradi wa Kigamboni new city,pamoja umekuwa ukiendelea chini chini kumezuka mradi mwingine mpyaaa!wa kuuza CD ambazo zinaonyesha jinsi mradi utakavyo kuwa na zinauzwa shs. 5000/- hapo Ferry (ng'ambo ya kigamboni)kwenye duka la samsung.
Cd hizi zilitoka nyuma kidogo wakati mambo yapo hot hot kwa wenyebahati tulizipata,cha ajabu bwana huyo mwenye duka ameipata hiyo CD na anatoa nakara na kuwauzia watu kwa gharama hiyo.
Nina maswali nataka kuuliza hapa.
1.HIVI SISI WATANZANIA TUMEROGWA???..yaani pamoja ya kuwa mustakabari wetu uko hatari na hatujui nini kitaamuliwa na hii serikali yetu,eti tunanunua hizi CD,kwa lipi hasa??

2.WIZARA YA ARDHI,NYINYI SI NDIO MNAPASWA KUJU KUFANYA PRESENTATION YA NINI KITAKUA KWENYE MRADI??....sasa mbona mmewamua kutufanyia hivi mmempa huyo bwana cd ili aje atuuzie???sasa nyie kazi yenu nini?
 
Picha za mradi huo niliziona humuhumu JF, nenda jamiiphoto utazikuta. Hao wanaonunua tuwaelimishe kuwa wanaweza wakachangia JF kidogo tu na wakafaidika sana tena zaidi ya picha, na elimu pia
 
Karibuni kigamboni maendeleo yawakuteni

He, yani umeshrudi toka London... we wekiboko

Hiyo ya Kigamboni mimi nadhani ni changa tu la macho... hilo daraja lilishawekewa hadi pesa na NSSF were ready four/five year ago na mpaka leo ni hekaya tu

Serikali yetu ina bahati mbaya ya kuugua ugonjwa wa domodomo unaoambatana na homa kali za kupotezea hasa nyakati za bajeti
 
Mutual Developers (majority kama sio wote ni wazawa) wamejenga nyumba South Beach na Kisota na wanawauzia watanzania-tena walijiwekea sera kuwa hawamuuzi mgeni yeyote au hata "mwenyeji wa kufikia-yaani watanzania wenye asili zenye mashaka mashaka. Mradi wa South beach ulikuwa ni wa nyumba za gharama za juu na ule wa Kisota ni wa gharama nafuu. South Beach alifungua Dr Shein. Bahati mbaya kwa kuwa watu hawakujua developers ni nani akili ya wengi imekuwa wakisema ni mradi wa Bush na ndio hizo fikra zinazopelekea watu kusema kigamboni ni mradi wa CIA na bla bla zingine. UDoM palikuwa pori ambalo halikuwa na hata master plan. Mardi ulipobuniwa kila kitu kikafanyiwa kazi leo tuna bonge la chuo plae, ni ka -mji kazuri tu na bado kuna extension ya shopping malls na makazi. Haya yote ni mawazo ya watanzania na kazi kusimamiwa na wa-Tanzania !!! Lazima tubadilike jamani-hata kama historia inaonyesha kulikuwa na ubabaishaji hko nyuma, sasa hivi kuna maeneo ambayo sisi wa TZ tunafanya vyema !!!
 
Kama kweli Kigamboni itakuwa hivyo hapo baadaye;nitajitahidi nikakae hapo/huko angalau kwa mwaka mmoja au hata maisha yangu yote yaliyobakia hapa duniani.
 
The Kigamboni new city master plan is designed to build a core for accommodating new land demand such as residential, commercial, trade and business, industrial, educational and recreational facilities in Dar Es Salaam.<!--?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com😱ffice😱ffice" /--><o😛></o😛>

The first purpose is to create well-organized connection between old urban centers and the new city.<o😛></o😛>

The second purpose is to build future-oriented new model city with ICT base and excellent living environment.<o😛></o😛>
The third purpose is to develop urban economic competitiveness through supplying new opportunities in advanced industry fields.<o😛></o😛>

Through the Kigamboni new city project, Tanzania can reinforce the leading position in the African Continent.
<o😛></o😛>
<o😛></o😛>
Nina Video ya hii master plan toka wizara ya Ardhi si mchezo, pateni picha za hiyo video kwa ufupi. Invinsible nifahamishe namna ya kuupload video ni kubwa sana kama 600MB nishee na Watanzania.
Mkuu ntaipataje video ya hii plan nasikia ni baakubwa
 
hakuna kinachouzwa ni kuwa Wamerekani wanatoa msaada wa kujenga new Dubai pale kigamboni
</abiziani>

Yeah, let them come. Dubai inaendelea fasta kwa sasa sababu ya wazungu na si waarabu wenyewe.
 
hakuna kinachouzwa ni kuwa Wamerekani wanatoa msaada wa kujenga new Dubai pale kigamboni
</abiziani>

Hivi toka lini USA unaowasema watake kujetz ambapo kwao huko Mississipi wakuache?wenyewe hawapendi Dubai iwe kwao?acheni ushamba amkeni
 
He, yani umeshrudi toka London... we wekiboko

Hiyo ya Kigamboni mimi nadhani ni changa tu la macho... hilo daraja lilishawekewa hadi pesa na NSSF were ready four/five year ago na mpaka leo ni hekaya tu

Serikali yetu ina bahati mbaya ya kuugua ugonjwa wa domodomo unaoambatana na homa kali za kupotezea hasa nyakati za bajeti
Mkuu asante sana,tena ni la macho kweli mzee...toka lini nchi ikujengee mji bomba na yenyewe miji yake sio hivyo?huko chicaco si wajenge dubai ya pili?wizi tu wa kikwete huo...thanks mzee kwa kuona hilo
 
Asante Rais Jk kwa kuleta maendeleo bila wewe tungendelea kuishi makorokoroni umeleta mengi mazuri kwa wa TANZANIA wako ,Unazo kura zetu utuongozi tena kwa miaka 5 Bila ya Uongozi wako ndani ya CCM na serekali ingekuwa ni ndoto kuona mabadiliko ya kimaendeleo .
 
Wazungu wanaanza kurudi tena Africa
 
hakuna kinachouzwa ni kuwa Wamerekani wanatoa msaada wa kujenga new Dubai pale kigamboni
</ABIZIANI>

Maneno mazito haya. Lakini unajua Mkuu hali ya Dubai sasa? Kama mnadhani kuwa na shopping malls ndio maendeleo basi nchi imekwisha. Kigamboni kunajengwa gated communities na nyie mnachekelea! Iko kazi.

Amandla........
 
Wabongo bwana kwa mawazo na fikra mgando hatujambo!
 
Kwanini watu wanadata sana na Hizi issue!? Nchi hata isipouzwa we unafaidika na nini? Wacha wauze kwa sababu ndo wenye nafasi ya kufanya hivyo, kama tunashindwa kupiga kura nakubadili uongozi ili tupate mtazamo mpya wacha iuzwe na sisi watuuze pia.

Tena wauze hata kwa mkopo au hata wagawe Bure!
 
Ulishauzwa siku nyingi unaona hatari Kigamboni kuuzwa?
 
Back
Top Bottom