Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
- Thread starter
- #61
Karibuni kigamboni maendeleo yawakuteni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna kinachouzwa ni kuwa Wamerekani wanatoa msaada wa kujenga new Dubai pale kigamboniKama vipi iuzwe ila sisi tusiuzwe
Karibuni kigamboni maendeleo yawakuteni
Mkuu ntaipataje video ya hii plan nasikia ni baakubwaThe Kigamboni new city master plan is designed to build a core for accommodating new land demand such as residential, commercial, trade and business, industrial, educational and recreational facilities in Dar Es Salaam.<!--?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com😱ffice😱ffice" /--><o😛></o😛>
The first purpose is to create well-organized connection between old urban centers and the new city.<o😛></o😛>
The second purpose is to build future-oriented new model city with ICT base and excellent living environment.<o😛></o😛>
The third purpose is to develop urban economic competitiveness through supplying new opportunities in advanced industry fields.<o😛></o😛>
Through the Kigamboni new city project, Tanzania can reinforce the leading position in the African Continent.
<o😛></o😛>
<o😛></o😛>
Nina Video ya hii master plan toka wizara ya Ardhi si mchezo, pateni picha za hiyo video kwa ufupi. Invinsible nifahamishe namna ya kuupload video ni kubwa sana kama 600MB nishee na Watanzania.
hakuna kinachouzwa ni kuwa Wamerekani wanatoa msaada wa kujenga new Dubai pale kigamboni
</abiziani>
hakuna kinachouzwa ni kuwa Wamerekani wanatoa msaada wa kujenga new Dubai pale kigamboni
</abiziani>
Mkuu asante sana,tena ni la macho kweli mzee...toka lini nchi ikujengee mji bomba na yenyewe miji yake sio hivyo?huko chicaco si wajenge dubai ya pili?wizi tu wa kikwete huo...thanks mzee kwa kuona hiloHe, yani umeshrudi toka London... we wekiboko
Hiyo ya Kigamboni mimi nadhani ni changa tu la macho... hilo daraja lilishawekewa hadi pesa na NSSF were ready four/five year ago na mpaka leo ni hekaya tu
Serikali yetu ina bahati mbaya ya kuugua ugonjwa wa domodomo unaoambatana na homa kali za kupotezea hasa nyakati za bajeti
hakuna kinachouzwa ni kuwa Wamerekani wanatoa msaada wa kujenga new Dubai pale kigamboni
</ABIZIANI>
Maneno mazito haya. Lakini unajua Mkuu hali ya Dubai sasa? Kama mnadhani kuwa na shopping malls ndio maendeleo basi nchi imekwisha. Kigamboni kunajengwa gated communities na nyie mnachekelea! Iko kazi.
Amandla........
Kwanini watu wanadata sana na Hizi issue!? Nchi hata isipouzwa we unafaidika na nini? Wacha wauze kwa sababu ndo wenye nafasi ya kufanya hivyo, kama tunashindwa kupiga kura nakubadili uongozi ili tupate mtazamo mpya wacha iuzwe na sisi watuuze pia.
Tena wauze hata kwa mkopo au hata wagawe Bure!