Kigezo cha kuwa Sheikh (Shehe) ni nini?

Hawa watu sijui wanawapataje unakuta reasoning ya kawaida tu ni shida.......ila hawana mifumo mizuri kuwapata masheikh, na hata kama wanae bas hawawafanyii recruitment nzuri!
Onyesha mfano wa reasoning ya kawaida ambayo masheikh hawana au wanashindwa, na Mimi nikuonyeshe toka kwa viongozi wenu. Mfano hilo suala la Bandari limeonyesha ni kwa namna gani viongozi wenu hawana akili.

Kitendo tu Cha kujiona wewe ni bora na kutokuwa muadilifu ni ishara ya uzwa zwa na uzandiki na ujinga ulio pea.

Wakristo kusoma Falsafa mnaona akili ? Huwa mnachekesha sana, watu ambao hamjui kuchamba Wala kula bali hata ustaarabu ni nini ? Utasema nini mbele ya watu wenye akili timamu ?

Kwetu sisi Waislamu hakuna kusoma Usheikh, Usheikh unakuja tu kwa kile ulichokisomea na ukakifanyia kazi, ndio maana hakuna matabaka katika dini yetu, lakini kwenu nyinyi mavazi anayo vaa Padri wewe muumini huvai Wala anayo vaa papa. Sasa mna akili gani mnayojivunia nyinyi ?

Kutetea maslahi yenu kwa mgongo wa Bandari ? Sasa msifikiri waislamu hawana akili timamu kama nyinyi kwa kutumia vipimo dhalili vya degree kujua uwezo wa kufikiri wa mtu.
 
Kila muislam ni kiongozi WA nani Sasa ,maana wote hawezi kuwa viongozi watakasa WA kuwaongoza
Kiongozi anayetangaza mwezi unataka awe na elimu gani?

Anayeswalisha unataka awe na elimu gani?

Baraza la maulamaa unataka liwe na elimu gani ?


Kila unayemuona kweny nafasi yake ana elimu husika.

Pia Kumbuka uislamu haufungamani na demokrasia ndo maana wanataka mahakama ya kadhi ... Uislamu pekee upo complete so usilete habari mpya hapa.!
 
Darasa bora kutoka kwa ndugu yangu katika imani
 
Chuki hizi kaa kimya kama huna jibu
 
Ukishaweza tu kufafanua alama zilizopo kwenye logo ya taasisi kubwa ulimwenguni we ni sheikh namaanisha mfano akiangalia ile nembo ya arsenal akishaweza kuona ila gun ukifafanua we ni sheikh mkubwa tu.
Sasa kama wewe mkristo unaa andika ujinga wa namna hii, hao viongozi wako unao wafata si ndio maziwa zwa.

Nani alikwambia haya ? Au unaandika tu ilimradi umeandika ? Andika yaliyo ya kweli.

Sisi tunasema hivi hakuna watu makini katika suala la elimu, kuwazidi Waislamu, sababu Waislamu wanaangalia maslahi na mafsada.

Mfano nilisema tumjadili Sheikh Mmoja katika masheikh zetu kwa elimu, kisha tukamjadili hata papa wenu, hafui dafu miaka yote achilia mbali Hawa viongozi wenu wa chini.

Wakristo viongozi wenu wakishasoma degree fulani wakasoma falsafa basi mnawaita Wana akili kubwa ? Falsafa nayo fani ya kujifaragua ? Huwa Wana nawaona hamna akili hapo.
 
Kwenye Uislamu hakuna kusomea Usheikh. Bali watu wanasoma dini, kwa maana ya elimu ya dini.

Usheikh hausomewi. Leo hii Kuna usomaji wa nidhamia yaani wa miataala mpaka uzamili, uzamivu na mfano wa huo na kuna Ile elimu au usomaji wa asili wa madarasa duara yaani misikitini, wewe unaweza kusoma vyuoni ukimaliza lazima tena usome misikitini kwa wanazuoni au masheikh wakubwa wenye elimu, hapa unaonyeshwa ya kuwa elimu ya mitaala bado haikodhi haja.

Sasa nyinyi Wakristo hii elimu ya mitaala ndio mmeiona kuuubwaaa.
 
Ndo uzuri wa elimu unafuat maandiko😅😅yaani hupelekwi kama mzogo ,kila mtu anasoma na dalili anazo hakuna wa kumshikia mtu akili...Kumbuka Mwinyi alipigwa kibao .
Kwahiyo kumpiga kibao Mzee kama Mwinyi ndio akili?
 
Mimi huwa nasikia ukiwa na wake wanne unakuwa shehe.mfano shehe kipozeo
Shida yenu Wakristo sio wasomi mnapenda kusikia sikia, ndio maana mmekuwa wajinga kupindukia.

Wapo masheikh wamekufa hawajaoa na wengine wakiwa chini ya miaka arobaini, walikuwa na elimu kuwazidi wakiona Paulo, na hao mapadri wenu. Siku mkijua maana ya elimu sijui Kuna Mkristo atakubali kuwa Mkristo.
 
Kwahiyo kumpiga kibao Mzee kama Mwinyi ndio akili?
Yaani namaanisha huku ukileta ujinga kila mtu mnaijua dini unapigwa hata uwe Raisi uislamu hautambui cheo chako... Tupo independent hatuendeshwi na matamko ya watu wachache.


Wewe Phd unaenda kutubu dhambi kwa mwenzio ambaye kesho unasikia kalawiti mara kaangalia porno tena kwa computer xa kanisa .
 
Ofcourse ni wasomi kweli. Record zinaonyesha na isitoshe muundo wa dini huwez kuwa kiongozi kama hujasoma kweli kweli
Usomi gani unao iongelea hapa ? Usomi wa falsafa ?

Wakristo mlitakiwa kwanza mjifunze maana ya elimu.

Muundo wa dini yenu na elimu wapi na wapi ? Hivi mngekuwa na elimu kweli mngeruhusu kuvaa misalaba ? Au mngeshindwa kuwajua waandishi wa Biblia na zile Injili zenu ni kina nani ?

Danganyaneni wenyewe huko, kwa falsafa lakini ukweli ni kuwa mnasoma lakini mnasomea ujinga.
 
Wakristo mara nyingi wamekuwa wakijifanya wasomi.

Wanaenda mbali zaidi kwa kuwadharau waislamu kwamba ni 'wazee wa mdarasa' hawana elimu.

Cha ajabu usomi wao upo mdomoni tu huku nchi ikizidi kufubaa na wao wasomi wakiangalia tu.

Hii nchi inafubaa kwa sababa ya viongozi wahovyo walafi wenye kuweka maslahi yao mbele. Wasomi wameamua kutembea na mfumo uliopo ilo waishi.
 

Hivi unafahamu hata shinikizo la kuvunja bunge la katiba ilitoka tec baada ya ccm kupuuzia maoni ya wananchi kupitia rasimu ya waroba??

Hayo mengine yamechangizwa na ulafi,wizi na tamaa za wanasiasa ulitaka kila jambo kanisa liingilie kati?kanisa lina mengi sana ya kufanya.
 

Kama umeshindwa kuiona tofauti katika hata hili la mjadara wa mkataba wa dpw na tz basi utakua na mtindio wa ubongo.
 

Unazungumzia elimu gani mana naona huelewi hata unachokizungumizia,kama ni elimu ya majini na kukariri kurwani na hadithi hapo upo sawa,ila nje na hapo ile kauli ya bokoharamu ina chukua nafasi watu wa namna hii hawana exposure yoyote tofauti na nje ya wigo walionao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…