Kigezo cha kuwa Sheikh (Shehe) ni nini?

Kama umeshindwa kuiona tofauti katika hata hili la mjadara wa mkataba wa dpw na tz basi utakua na mtindio wa ubongo.
Mbona bwana mtoa mada ameuliza vigezo vya kua sheikh na sio habari za DP World
Msomi ,mbona unachanganya Mambo
 
Ofcourse ni wasomi kweli. Record zinaonyesha na isitoshe muundo wa dini huwez kuwa kiongozi kama hujasoma kweli kweli
Mimi ni mpagani ila sijawahi kuona umuhimu wa wasomi nchi hii, sio kwenye siasa, makanisani wala misikitini...

Mtu mweusi anaendeshwa na tumbo, ukiona mtu anaongea ujue maslahi yake yameguswa. Sasa hivi hatuwasikii Bakwata sababu imani yao inawafunza mwislamu yeyote duniani ni ndugu yake kwahiyo hawawezi kuwapinga DP.

TEC nao wanahaha sababu waislamu wakishika bandari maslahi yao yataguswa.

Pande zote tatu, TEC, BAKWATA na WANASIASA nawaona mandezi tu.

Huu upepo unatakiwa utazame kwa mtazamo binafsi, mimi naukataa mkataba sababu ni mbovu, ila ukifuata misimamo ya makundi utapotea. Watu wako kimaslahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekua upo complete basi somalia, Afghanistan, Sudan, Yemen pangekua sehemu za kutamanika sana , kinyume chake waislam wanakbilia nchi zenye majority Christians kusaka ustaarabu na maisha bora
 
Ingekua upo complete basi somalia, Afghanistan, Sudan, Yemen pangekua sehemu za kutamanika sana , kinyume chake waislam wanakbilia nchi zenye majority Christians kusaka ustaarabu na maisha bora
Kaangalie sheria zao usiwe mfuata mkumbo ?

Sipendi kubishana na mtu hajui kitu.!
 

Umuhim wa wasomi utaonekana pale tu kama mfumo ina support. Ww ni mpagani yes no offence, but mm si mpagani.
Mfumo wa nchi unalazim wasomi washuke chini sana ili wapate chochote, ukihoji tu unaonekana huna adabu, umekosa heshima.
Kwa kanisa una support maana sili upande ngazi za juu lazima usome. Na hii imewapa mafanikio kwenye taasis zao za kijamii na misimamo.
 
Nyie si ndio mmeanza yaani unaacha kuangalia ndugu zako unakimbilia kuangalia sisi au uonyeshwe kejele?

Mngekuwa na akili timamu msambaza chuki kwa waraka wenu wa mchongo.

Kumbe kichwa kikubwa kweny avatar ila akili hauna.
Sisi ndio tumeanza kufanyaje? Wewe akili unazo ila udini unakutoa akili.

Mungu wako anakwambia utukane watu? Tumeanza? Waraka umeuongelea uislam kwa namna yoyote?? Taja mahali waraka umeuongelea uislam!!

Jibuni hoja acheni vioja. Uislam ni dini nzuri sana, sharia zake ni makini ila bahati mbaya baadhi ya watu wake (kama wewe) ni wapumbavu kupindukia.

Elimu ya dini inaonekana unayo, ya dunia nayo si haba inakuaje unashindwa kujibu hoja badala yake unakimbilia matusi na dhihaka.?

Umepewa akili na Allah itumie kwa uzuri sio kwa ubaya.
 
Siku wakianza kuwaza na kutenda kisomi ndipo ntarudisha imani yangu.

Na hii ngumu kutokea kwa sababu ya utegemezi. DPW wasingeleta kitu cha namna hii katika taifa imara kiuchumi.

Wamekutana na watu wenye njaa wanawaendesha tu. Ukweli mkataba tunautaka ila urekebishwe kidogo na huu ndio ukweli ambao hata wanaoukubali hawapingi ila hawasemi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeacha kuwajibu wanaokejeli dini umenifuata mimi.

Nina hakima zaidi yako ila umeleta bangi na adabu mbaya labda ukawafanyie unawalisha sio mimi ...

Tena usijaribu kabisa sina tatizo na mtu.Sas sema hoja zipi?
 

Yaani unawahoji wakristo wajifunze elimu? Seriously wkt wenyewe ndio wanahimiza tokea kwenye biblia.

Maswali yako ni so random kiasi kwamba huna point au facts
 
Kafanye utafiti tena, halafu usiende mbali, hapa hapa JF nyuzi ipo.
 
Si mnajisifia nyie mmesoma na serikalini mmejazana au huko serikalini wapo waislamu ambao hawajasoma?

Na kama wapo waislamu ambao hawajasoma nyinyi usomi wenu una maana gani?

“Mna” hii kauli ya kijinga sana. Judging a person over a comment wkt hujui alieko nyuma ya id ana imani gani?
 
Safi umejua kulijibu jinafiq hilo, hajapata jibu alilokuwa akilitaka, safi sana

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Poa.

Ukiwa na hoja nistue nije tujadili.
 
Yaani unawahoji wakristo wajifunze elimu? Seriously wkt wenyewe ndio wanahimiza tokea kwenye biblia.

Maswali yako ni so random kiasi kwamba huna point au facts
Naam nawahoji Wakristo kuhusu elimu. Kuhimiza kuhusu ni jambo Moja, na kuisoma elimu ni jambo lingine, bali kuipata elimu sahihi ndio kipengele.

Nimekuuliza swali, Wakristo elimu mnayo iongelea ni elimu ipi ? Kama falsafa basi una tatizo la akili. Kama "Secular" kadhalika una shida bali kama elimu ya dini, ndio hamna kabisa sababu dini yenu imejengeka katika misingi mikusu miwili matamanio ya nafsi (humu utakuta uzandiki, dhulma na mfano wa hayo), na falsafa. Sasa kama mnajivunia falsafa ndio elimu ? Aisee kwenye elimu bado sana.

Maswali yangu Yana msingi sana, sababu nyinyi mnajifaragua na elimu za falsafa na usecular.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…