Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Shehe maana yake ni "Mzee"
Ukizeeka unaitwa SHEHE.
Ukizeeka unaitwa SHEHE.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona bwana mtoa mada ameuliza vigezo vya kua sheikh na sio habari za DP WorldKama umeshindwa kuiona tofauti katika hata hili la mjadara wa mkataba wa dpw na tz basi utakua na mtindio wa ubongo.
Una majini wengi kiasi gani?Wakuu ni katika kujifunza bila ukomo.
Mimi na wenzangu wasiojua, tunaomba kujuzwa vigezo vya mtu kuwa shehe. Nyongeza; kunakuwa na kiwango cha elimu yeyote ya kidunia au ni elimu ya dini tu?
Mimi ni mpagani ila sijawahi kuona umuhimu wa wasomi nchi hii, sio kwenye siasa, makanisani wala misikitini...Ofcourse ni wasomi kweli. Record zinaonyesha na isitoshe muundo wa dini huwez kuwa kiongozi kama hujasoma kweli kweli
Ingekua upo complete basi somalia, Afghanistan, Sudan, Yemen pangekua sehemu za kutamanika sana , kinyume chake waislam wanakbilia nchi zenye majority Christians kusaka ustaarabu na maisha boraKiongozi anayetangaza mwezi unataka awe na elimu gani?
Anayeswalisha unataka awe na elimu gani?
Baraza la maulamaa unataka liwe na elimu gani ?
Kila unayemuona kweny nafasi yake ana elimu husika.
Pia Kumbuka uislamu haufungamani na demokrasia ndo maana wanataka mahakama ya kadhi ... Uislamu pekee upo complete so usilete habari mpya hapa.!
Hili neno "ndugu yangu katika imani" ndio linafanya baadhi ya wapumbavu waukubali mkataba kwa sababu hiyo tuDarasa bora kutoka kwa ndugu yangu katika imani
Kaangalie sheria zao usiwe mfuata mkumbo ?Ingekua upo complete basi somalia, Afghanistan, Sudan, Yemen pangekua sehemu za kutamanika sana , kinyume chake waislam wanakbilia nchi zenye majority Christians kusaka ustaarabu na maisha bora
Mimi ni mpagani ila sijawahi kuona umuhimu wa wasomi nchi hii, sio kwenye siasa, makanisani wala misikitini...
Mtu mweusi anaendeshwa na tumbo, ukiona mtu anaongea ujue maslahi yake yameguswa. Sasa hivi hatuwasikii Bakwata sababu imani yao inawafunza mwislamu yeyote duniani ni ndugu yake kwahiyo hawawezi kuwapinga DP.
TEC nao wanahaha sababu waislamu wakishika bandari maslahi yao yataguswa.
Pande zote tatu, TEC, BAKWATA na WANASIASA nawaona mandezi tu.
Huu upepo unatakiwa utazame kwa mtazamo binafsi, mimi naukataa mkataba sababu ni mbovu, ila ukifuata misimamo ya makundi utapotea. Watu wako kimaslahi
Sent using Jamii Forums mobile app
NI kweli haya mambo nasikia mulikuwa mnafundishwa kanisani kabisa kuchukua waislamNa ukisoma sana unakuwa mchawi
Sisi ndio tumeanza kufanyaje? Wewe akili unazo ila udini unakutoa akili.Nyie si ndio mmeanza yaani unaacha kuangalia ndugu zako unakimbilia kuangalia sisi au uonyeshwe kejele?
Mngekuwa na akili timamu msambaza chuki kwa waraka wenu wa mchongo.
Kumbe kichwa kikubwa kweny avatar ila akili hauna.
Siku wakianza kuwaza na kutenda kisomi ndipo ntarudisha imani yangu.Umuhim wa wasomi utaonekana pale tu kama mfumo ina support. Ww ni mpagani yes no offence, but mm si mpagani.
Mfumo wa nchi unalazim wasomi washuke chini sana ili wapate chochote, ukihoji tu unaonekana huna adabu, umekosa heshima.
Kwa kanisa una support maana sili upande ngazi za juu lazima usome. Na hii imewapa mafanikio kwenye taasis zao za kijamii na misimamo.
Umeacha kuwajibu wanaokejeli dini umenifuata mimi.Sisi ndio tumeanza kufanyaje? Wewe akili unazo ila udini unakutoa akili.
Mungu wako anakwambia utukane watu? Tumeanza? Waraka umeuongelea uislam kwa namna yoyote?? Taja mahali waraka umeuongelea uislam!!
Jibuni hoja acheni vioja. Uislam ni dini nzuri sana, sharia zake ni makini ila bahati mbaya baadhi ya watu wake (kama wewe) ni wapumbavu kupindukia.
Elimu ya dini inaonekana unayo, ya dunia nayo si haba inakuaje unashindwa kujibu hoja badala yake unakimbilia matusi na dhihaka.?
Umepewa akili na Allah itumie kwa uzuri sio kwa ubaya.
Usomi gani unao iongelea hapa ? Usomi wa falsafa ?
Wakristo mlitakiwa kwanza mjifunze maana ya elimu.
Muundo wa dini yenu na elimu wapi na wapi ? Hivi mngekuwa na elimu kweli mngeruhusu kuvaa misalaba ? Au mngeshindwa kuwajua waandishi wa Biblia na zile Injili zenu ni kina nani ?
Danganyaneni wenyewe huko, kwa falsafa lakini ukweli ni kuwa mnasoma lakini mnasomea ujinga.
Kafanye utafiti tena, halafu usiende mbali, hapa hapa JF nyuzi ipo.Hawa watu sijui wanawapataje unakuta reasoning ya kawaida tu ni shida.......ila hawana mifumo mizuri kuwapata masheikh, na hata kama wanae bas hawawafanyii recruitment nzuri!
Ukishaweza tu kufafanua alama zilizopo kwenye logo ya taasisi kubwa ulimwenguni we ni sheikh namaanisha mfano akiangalia ile nembo ya arsenal akishaweza kuona ila gun ukifafanua we ni sheikh mkubwa tu.
Ukiweza kushawishi waumini kwamba IMF ukiisoma from end to start ni freemason international, ukiweza kufafanua shangilia ya Cristiano Ronaldo ww cyo mtoto wa mkulima ww ni sheikh mkubwa Afrika mashariki na Kati, ukiweza kuelezea nembo ya MOSSAD, CIA, M16 kaka we ni ulamaaa kbs
Si mnajisifia nyie mmesoma na serikalini mmejazana au huko serikalini wapo waislamu ambao hawajasoma?
Na kama wapo waislamu ambao hawajasoma nyinyi usomi wenu una maana gani?
Safi umejua kulijibu jinafiq hilo, hajapata jibu alilokuwa akilitaka, safi sanaKila muislamu ni kiongozi hilo la kwanza.
Uislamu hauendeshwi na matamko ya mtu kama vikundi vyenu vya ngoma sijui TEC ,mtu yeyote anaweza kuswalisha ,kufungisha ndoa ,kutoa mawaidha kikubwa awe anajua.
Uislamu unamuandaa binadamu awe independent na sio kwenda kutubu dhambi kwa binadamu mwenzio..
Uislamu umesititiza elimu zote yaani ya mazingira na akhera ,pia uislamu haumpi cheo mtu cha elimu bali anapewa uwezo wa kuwa khalifah(kiongozi) kuanzia ngazi ya familia na kweny jamii hususani mwanaume.
Utoaji wa fatwaah katika uislamu kutoa maamuzi ni kufanya marejeo ya mafunzo ya kidini bila kuongeza mambo kwa matamanio ya mtu.
Uislamu ni sheria kamili na shehe (shekhe) hata wewe unaweza kuitwa shekhe ina maana uislamu elimu inabaki kumsaidia mtu binafsi na sio kudhoofisha na kushia watu wengine akili.
Poa.Unazungumzia elimu gani mana naona huelewi hata unachokizungumizia,kama ni elimu ya majini na kukariri kurwani na hadithi hapo upo sawa,ila nje na hapo ile kauli ya bokoharamu ina chukua nafasi watu wa namna hii hawana exposure yoyote tofauti na nje ya wigo walionao.
Naam nawahoji Wakristo kuhusu elimu. Kuhimiza kuhusu ni jambo Moja, na kuisoma elimu ni jambo lingine, bali kuipata elimu sahihi ndio kipengele.Yaani unawahoji wakristo wajifunze elimu? Seriously wkt wenyewe ndio wanahimiza tokea kwenye biblia.
Maswali yako ni so random kiasi kwamba huna point au facts