Kigezo cha kuwa Sheikh (Shehe) ni nini?

Kwanza unafahamu maana ya neno sheikh?
 
Kwa hiyo kuna tofauti kati ya sheikh na shehe?
 
Mkuu umechekea kipi?
Nimecheka kwasababu, hautapata jibu zaidi ya kuwakasirisha wenye dini yao.
1. Ninavyoona mimi huwa ukiweza kusoma na kuandika kiarabu
2. Ukisoma elimu ya madrasa
3. Ukiweza kusoma Quran vizuri na kutafsri kwa kiswahili
4. Kuna elimu ya kusomea kuwajua na kuwaamuru majini. (Hii ni elimu ya juu kabisa na siyo kila muislamu anaweza kufikia elimu hii ni ya wachache)
Hapa unaweza kumuamuru jini akakuletea kitu chochote km fedha n.k ndiyo maana utawakuta baadhi ya mashekh, asubuhi, mchana na usiku yupo msikitini lkn ana hela, anajenga na kusomesha. Watu hawa ndiyo wenye uwezo wa kusoma Albadili (Uchawi) unaoamuru majini kupitia Quran wakalipize kisasi.
Elimu dunia huwa haina umuhimu hata km umeishia darasa la 7 ili mradi unajua 1, 2 na 3.
 
Ulichokiandika kinadhihirisha elimu kwenu siyo kipaumbele. Ungemjibu mtoa uzi unatakiwa uwe na vigezo gani ingekuwa bora sana. Watu wajue
Najua kuna mashekh baadhi wameenda shule ila kwakua wameona ni ujinga huwezi kuwakuta Bakwata au wanaswalisha.
Ulichoandika hapa, mnazidi kujidharirisha halafu mpo wengi sana pale TV Imaan
 
Elimu bado inawasumbua sana. Huwa nasema dini ya uislamu
1. Haina mafundisho yanayojitegemea. Ina mapungufu mengi sana. Huwezi kuuelezea uislamu bila kuutaja ukristo
2. Waumini wao ni weupe sana vichwani. Hawezi kukutolea kifungu cha kwenye Quran zaidi atakimbilia kwenye Biblia Takatifu
3. Ni dini inayoenezwa kwa chuki, umwagaji damu na kuuchukia ukristo ndiyo maana muislamu hawezi kuelezea kifungu chochote cha Quran bila kuukashifu ukristo.
Mfano hai ni huu
 
Mm nijuavyo
1.kua na wake zaidi ya wa 3
2. Kujua tiba za mitishamba
3.muda wooote kuvaa kobazi
4.Kua na majini mengi mnooo
 
Kama swali dogo tu hili ndo umepaniki hivi, mtaweza kuchanganua ibara za mkataba kweli?....
 
Kuvaa kanzu Safi
Kuwa na sijda
Kuvaa kibaraghashia au kilemba
Kufuga ndevu halafu ukazipaka rangi nyekundu
Kuwa na wake wawili
Kumiliki nyumba unamoishi (hakuna shehe anayepanga)
Kujua kiarabu kidogo Cha kuombea maji.
Kwa hizo sifa wewe tayari Ni mheshimiwa mzuri tu.
 
Mm nijuavyo
1.kua na wake zaidi ya wa 3
2. Kujua tiba za mitishamba
3.muda wooote kuvaa kobazi
4.Kua na majini mengi mnooo
Hasa hiyo ya nne mkuu,...

Hivi hii nadharia ya kuwa mashehe ni washirikina ikoje....huwa naiskiaskia mtaani
 
Sheikh kwa kiarabu maana yake mzee,kwa ngazi za elimu ya dini ustaadh ni sawa na profesa,Ila huku mtaani ustaadh tunadhani ni chini ya sheikh
 
Mm nijuavyo
1.kua na wake zaidi ya wa 3
2. Kujua tiba za mitishamba
3.muda wooote kuvaa kobazi
4.Kua na majini mengi mnooo
Umesahau moja.
Kuvaa kanzu nyeupe na Salam zao Ni
Swalama aleykhum.....
 
University ya kwanza ni ya waislam,kabla hata ya oxford,so mfano slaa ana PhD ya theology,ni improvised format ya hizo universities za waislam,Kuna universities za dini arabuni
 
University ya kwanza ni ya waislam,kabla hata ya oxford,so mfano slaa ana PhD ya theology,ni improvised format ya hizo universities za waislam,Kuna universities za dini arabuni
Sawa. Huko uarabuni ndiko wenye dini yao. Sisi huku tunaiga tu ndiyo maana elimu siyo kipaumbele kwetu.
 
ukiwa nchi za kiarabu sheikh sio mtu anaesalisha sheikh kwao wao ni kiongozi ndio anaitwa sheikh au tajiri ndio anaitwa sheikh, hapa kwetu tanzania ukivaa kanzu tu unaitwa sheikh ukijua kusoma kidogo tu unaitwa sheikh sababu kubwa nyerere aliunda bakwata kuangamiza uislamu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😅😅😅Oneni mshamba huyu.

Sasa sikia nyie ni weupe maaskofu hao maaskofu wako kusoma kote hawawezi kugawa mirathi wala kuyoa talaka kesi za waumini zinaamuliwa mahakamani.

Tunasoma maandiko yenu kwa vile hamuelewi yaani ndani ya bible hiyo yesu hakusema yeye ni Mungu ila wewe unajua hilo kwamba kusoma hujui? Bible yako haijui ukristo wewe hujui kusoma ndo tunakuelekeza?


👉Maaskofu wako hawajui kwamba TICTS alikuwa anapiga kazi bandari kwa miaka zaidi ya 20 ,hawa wana elimu au wamekariri .
Mtu mwenye akili timamu kasoma biology ila anakubali kwamba mwanamue haruhusiwi kuoa wakati huo mara alawiti vitoto ,mara aangalie porno kwa computers za kanisa ,sasa ni akili timamu unashindwa kujua hata hitaji muhimu la binadamu kuanzia kipind cha balekhe ....Sasa kama ulisoma biology ni daktari nguli na unapingana na uliyosoma kile cheti cha degree au Masters kwako ni useless maana unapingana na usomi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…