Nimecheka kwasababu, hautapata jibu zaidi ya kuwakasirisha wenye dini yao.
1. Ninavyoona mimi huwa ukiweza kusoma na kuandika kiarabu
2. Ukisoma elimu ya madrasa
3. Ukiweza kusoma Quran vizuri na kutafsri kwa kiswahili
4. Kuna elimu ya kusomea kuwajua na kuwaamuru majini. (Hii ni elimu ya juu kabisa na siyo kila muislamu anaweza kufikia elimu hii ni ya wachache)
Hapa unaweza kumuamuru jini akakuletea kitu chochote km fedha n.k ndiyo maana utawakuta baadhi ya mashekh, asubuhi, mchana na usiku yupo msikitini lkn ana hela, anajenga na kusomesha. Watu hawa ndiyo wenye uwezo wa kusoma Albadili (Uchawi) unaoamuru majini kupitia Quran wakalipize kisasi.
Elimu dunia huwa haina umuhimu hata km umeishia darasa la 7 ili mradi unajua 1, 2 na 3.