ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Ni masikitiko makubwa sana wafanye kazi wanasiasa wote ni wasaniiWaliokata tamaa na maisha huku wakitegemea mwanasiasa laghai awatoe kwenye umaskini..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni masikitiko makubwa sana wafanye kazi wanasiasa wote ni wasaniiWaliokata tamaa na maisha huku wakitegemea mwanasiasa laghai awatoe kwenye umaskini..
Tupe tafsiri ya neno la wanyonge kwenye biblia,Mungu alizungumzia wanyonge wapo?Tafsiri ya Biblia sio hiyo yako. Kwamfano wanaposema Heri Masikini wa Roho maana Ufalme wa Mbinguni ni wao we jifanye masikini oune kama Mbinguni utaenda. Kasome utajiri wa Eliya Mtishbi ndo utajua Mungu hawezi kutuma watu ambao ni masikini na Wanyonge. Biblia sio ilani ya CCM ndugu yangu. Unahitaji tafakuru kubwa sana kuijua na kuielewa.
Zaburi 12:51Tafsiri ya Biblia sio hiyo yako. Kwamfano wanaposema Heri Masikini wa Roho maana Ufalme wa Mbinguni ni wao we jifanye masikini oune kama Mbinguni utaenda. Kasome utajiri wa Eliya Mtishbi ndo utajua Mungu hawezi kutuma watu ambao ni masikini na Wanyonge. Biblia sio ilani ya CCM ndugu yangu. Unahitaji tafakuru kubwa sana kuijua na kuielewa.Tafsiri ya Biblia sio hiyo yako. Kwamfano wanaposema Heri Masikini wa Roho maana Ufalme wa Mbinguni ni wao we jifanye masikini oune kama Mbinguni utaenda. Kasome utajiri wa Eliya Mtishbi ndo utajua Mungu hawezi kutuma watu ambao ni masikini na Wanyonge. Biblia sio ilani ya CCM ndugu yangu. Unahitaji tafakuru kubwa sana kuijua na kuielewa.
Zaburi 12:5)Kwa ajili ya kuonewa kwao'Wanyonge',Kwa ajili ya kuonewa hao waitaji,Sasa nitasimama,seems Bwana,nitamweka salama yule wanayenyonya.Mungu wetu bado anatambua duniani kuna wanyonge wanaoitaji kutetewa,wewe leta tafsiri zako,ila wanyonge wapo.Tafsiri ya Biblia sio hiyo yako. Kwamfano wanaposema Heri Masikini wa Roho maana Ufalme wa Mbinguni ni wao we jifanye masikini oune kama Mbinguni utaenda. Kasome utajiri wa Eliya Mtishbi ndo utajua Mungu hawezi kutuma watu ambao ni masikini na Wanyonge. Biblia sio ilani ya CCM ndugu yangu. Unahitaji tafakuru kubwa sana kuijua na kuielewa.
Kwahiyo Mungu alisema tutee wanyonge huku tukikandamiza walionacho?Tupe tafsiri ya neno la wanyonge kwenye biblia,Mungu alizungumzia wanyonge wapo?
Zaburi 12:51Tafsiri ya Biblia sio hiyo yako. Kwamfano wanaposema Heri Masikini wa Roho maana Ufalme wa Mbinguni ni wao we jifanye masikini oune kama Mbinguni utaenda. Kasome utajiri wa Eliya Mtishbi ndo utajua Mungu hawezi kutuma watu ambao ni masikini na Wanyonge. Biblia sio ilani ya CCM ndugu yangu. Unahitaji tafakuru kubwa sana kuijua na kuielewa.
Tupe tafsiri ya neno la wanyonge kwenye biblia,Mungu alizungumzia wanyonge wapo?
Tafsiri ya Biblia sio hiyo yako. Kwamfano wanaposema Heri Masikini wa Roho maana Ufalme wa Mbinguni ni wao we jifanye masikini oune kama Mbinguni utaenda. Kasome utajiri wa Eliya Mtishbi ndo utajua Mungu hawezi kutuma watu ambao ni masikini na Wanyonge. Biblia sio ilani ya CCM ndugu yangu. Unahitaji tafakuru kubwa sana kuijua na kuielewa.
Zaburi 12:5100616100616

Zaburi 12:
Zaburi 12:5)Kwa ajili ya kuonewa kwao'Wanyonge',Kwa ajili ya kuonewa hao waitaji,Sasa nitasimama,seems Bwana,nitamweka salama yule wanayenyonya.Mungu wetu bado anatambua duniani kuna wanyonge wanaoitaji kutetewa,wewe leta tafsiri zako,ila wanyonge wapo.
[emoji38][emoji38][emoji38]
Ccm wataanzaje kukubali???Uzi una ukweli mchungu. Napendekeza hata kupiga kura,wapige wenye ufahamu kwa kiasi kinachoridhisha kuhusu elimu ya uraia.
Bado watatokea watu kama Kabudi, Kitila, Mwigulu, Kigwa watapewa weight kubwa.Kura ziwe na weighting. Uelewa mdogo iwe moja,uelewa mkubwa iwe hata 1000 kwa mtu mmoja
Wana akili timamu. Ni maisha tuBado watatokea watu kama Kabudi, Kitila, Mwigulu, Kigwa watapewa weight kubwa.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hizo level kubwa si ndio watakuwepo kina Kabudi, Kitila, Madelu na Kigwa!!??Exactly, ndio wafanyavyo huko US, kura zina level.
Aliahidi kuuwa wasio wanyonge kwa kuwapiga risasi 30.Kwani wanyonge siyo wananchi?
Rais wa juzi aliahidi na kutenda kweli, tofauti na wanasiasa wengine.
Ndio maana Watanzania wengi tulimpenda na tunampenda sana.
Na watu watatumia hiyo "ni maisha tu"Wana akili timamu. Ni maisha tu
Na rais bora anatakiwa awainue wanyonge. Yani idadi ya wanyonge iwe inapungua siyo kuzidi au kubaki pale pale. Mfano yule jamaa miaka 6 ilitakiwa kusiwe tena na wanyonge
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ingekuwa hatari kwakeNa rais bora anatakiwa awainue wanyonge. Yani idadi ya wanyonge iwe inapungua siyo kuzidi au kubaki pale pale. Mfano yule jamaa miaka 6 ilitakiwa kusiwe tena na wanyonge
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Inasikitisha sanaHakuna nchi yoyote inaongozwa na masikini hata dini inasema tupige vita umasikimini.
Ila ajabu yule mtu alitumia level ya ujinga mkubwa uliopo Tanzania na kuwatumia wajinga hao kama mtaji.