Kigogo sio mtu wa kumuita Tundu Lissu mshamba, akemewe


..wangempa miezi sita, halafu wakaaza harakati zao wangeambiwa kwanini hawakumpa mwaka mmoja.

..wangempa mwaka mmoja, wangeambiwa kwanini hawajampa miaka miwili, visingizio na lawama dhidi ya wapinzani haziwezi kuisha.
 
Aliyekwamisha katiba mwaka 2014 ni mbowe?

Si ni Samia mwenyewe!!
 
 
 
Watakujibu kinafiki tu bro.
Umasikini ni shida sana

Kina watu wamekuwa watumwa wa wanasiasa..na wanawatumia kweli kweli
Siasa wewe haikuhusu kumbe? Tozo wewe aukatwi? Watoto wako hawakatwi tozo za kihuni?

Mama yako na babako na ndugu zako hawakatwi tozo za kihuni?

Kama hawakatwi basi upo sahihi!!
 
Wyatt akili yako ipo mbali sana, Mimi siipendi CCM, ila naamini kuna watu wanaakili ndani ya CCM, To name the few are January, Kuandikwa (marehemu),Mwinyi (rais wetu zbar)..
 
Nilitaka nisimjibu huyo jamaa Ila umasaidia kumjibu
Huyo jamaa either amelewa au hajui lolote kuhusu CCM
Yaani kabisa anaamini mama Samia alikuwa na nia nzuri na chadema? Ili ?
Anasema eti mama alikuwa na nia nzuri, lakini kasahau kuwa mama Samia huyohuyo alipiga marufuku mikutano ya siasa ambayo ipo kikatiba.
 
Na hili la katiba mpya lina mlolongo wenye sababu kwani mwenyekiti wa lile binge alikuwa ni mwenye mamlaka, confine hivi vya sasa visingizio tu, kukwama kwa mchakato siri yote anayo.
 
Kumbe katiba ni ya chadema duh!! Kwamba chadema wamepoteza fursa!!

Yani kumbe na Yale matozo ni ya chadema

Nchi ina watu wajinga sana hii.
 
Wyatt akili yako ipo mbali sana, Mimi siipendi CCM, ila naamini kuna watu wanaakili ndani ya CCM, To name the few are January, Kuandikwa (marehemu),Mwinyi (rais wetu zbar)..

..kwa ccm anayependa haki labda ni mzee warioba.

..ila wakati mwingine hunywea mbele ya ccm wasiopenda haki.
 
Wyatt akili yako ipo mbali sana, Mimi siipendi CCM, ila naamini kuna watu wanaakili ndani ya CCM, To name the few are January, Kuandikwa (marehemu),Mwinyi (rais wetu zbar)..
January? January huyu huyu? Hizo akili kapata lini? Au zile tweet ndio zinakuongopea?
Nakukumbusha tu leo tunamlaumu mwigulu kwa kuleta tozo kwenye miamala
Ila hata January makamba ndio alieleta Sheria ya kipumbavu na ya kinyonyaji ya cyber crime act mwanzoni mwa 2015
 
..kwa ccm anayependa haki labda ni mzee warioba.

..ila wakati mwingine hunywea mbele ya ccm wasiopenda haki.
Kuna watu wanajitoa ufahamu sana humu
Eti walikuwa wanasubiri hisani kutoka kwa CCM, kabisa chadema wasubiri hisani kutoka kwa CCM? Hao ACT tu waliokubali kuungana nao Cha Moto wanakiona, ndio ije kuwa chadema
 
Mh Tundu umejisifia sana. Acha watu wakusifia wewe mnyampaa
Sijawahi hata kukutana na Tundu Lissu


Ila kigogo ni mshamba tu tena hata Mimi pamoja na kuishi huku ndani ndani namzidi ujanja!!

Kwamba katiba itafutwe na wanachi? Wanachi hao wataongozwa na nani kama sio siasa?

Watu waamuka tu ndani waanze kudai katiba? Huyu jamaa ni ushamba sana!!
 
Sio hivyo; mfano wa Uhuru wa maoni ka mfano, Mimi kusema, “unachoandika hapa ni kitu cha Kifala”
Sasa yeye kwanini wanaotoa maoni tofauti na yeye anawablock?

Yule ana stress za maisha tu na hana pesa mfukoni ndio maana anaangaika.
 
Na ndio mfadhili mkuu wa kigogo wakiwa pamoja na Nape, Ridhiwani.

Hata ni kama ile timu ya Kikwete Lowassa na Rostam Azziz.
 
Nyie watu aisee

alipomuita Magu mshamba mliona sawa

sasa kaongeza list ya washamba mnanaind

Acha kigogo awaibue washamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…