Kigogo sio mtu wa kumuita Tundu Lissu mshamba, akemewe

Mkuu ubarikiwe sana.
 
Hyo ndyo mistake waliyoifanya wanajutia na wataendelea kujutia moyoni mwao daima
 
Ushamba ni kutumika na baadhi ya mabeberu tuwekewe VIKWAZO.....

Ushamba ni kuwatumia David Mc Allister na Robert Amsterdam kurukaruka na hoja zisizo tija kwa maslahi mapana ya nchi.....

#KaziIendelee
#SiempreSSH
 
Lissu mshamba tu
 
Mistake kubwa Sana anajutia huko alipo
 
Ushamba ni kutumika na baadhi ya mabeberu tuwekewe VIKWAZO.....

Ushamba ni kuwatumia David Mc Allister na Robert Amsterdam kurukaruka na hoja zisizo tija kwa maslahi mapana ya nchi.....

#KaziIendelee
#SiempreSSH
..vikwazo vitawekwa kwasababu ya DHULUMA za CCM dhidi ya wananchi na haswa wapinzani.

..Na vikwazo huwa ni targeted, kwani wanaoweka vikwazo wanajua namna ya kufanya ili viwaumize watawala makatili badala ya wananchi.

..serikali ya CCM inaweza kuwekewa vikwazo na misaada ya wafadhili ikaletwa kupitia NGOs.
 
Propaganda za kijani kuwapoteza wadai wenu wa katiba mpya na kesi ya ugaidi wasiweze kuwauliza maswali ya msingi , msikubali wabananisheni, Hadi waite maji mmma.
Bila kusahau swala la umbambikaji vyesi.
 
Unamkemeaje mtu usiye mjua na kumtambua aka alias dhidi ya mtu anayejulikana mwenye utashi na profile iliyo wazi. It is a wastage of time. Ni sawa na kupiga pulling system ukitegemea mimba

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Nimekuelewa mkuu, ila sometimes inabidi uwe kichaa ili ukubalike na vichaa wenzako
 
Mkuu na wewe weka ID yako ili upopoane na wananzengo live

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Kigogo amekufanya umekiri mwenyewe kuwa wewe pia unayejificha kwenye key board yako kuitukana serikali ni mshamba. Lissu ni mshamba sana, Kigogo na wewe pia ni washamba. Historia itamkumbuka Lissu kama wakala wa mabeberu na Mbowe kama gaidi.
 
The best post of all time, kongole mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…