Kigogo wa Madawa ya Kulevya (Daudi Kanyau) akamatwa Dar. Mali zake zashikiliwa...

Wewe jamaa wewe Mungu anakuona!😵😵
 
Hapana mkuu, sijamaanisha hivyo!! Nimemaanisha kama alikuwa anajua mchezo mzima siku nyingi angewanyooshea vidole ili wahusika waache.
Mkuu..

Majirani na hapo kwa mama mkwe wa Kanyau wameshakwenda sana Polisi wakaja kujua kumbe polisi wana mgao wao.

Wakaja wakaenda serikali za mitaa.. Kama unavyojua serikali za mitaa zetu, wakaishia kutofanya kitu.

Lakini alipoingia Kitwanga kama Waziri wa Mambo ya Ndani kuna majirani navyosikia walijilipua wakampelekea taarifa maana pamekuwa kero kubwa kwa mtaa.

Mateja mamia kwa mamia wanajazana hapo kwa mama SEDI kila siku.

Nimesikia sikia kwamba CHALE ambae ndie muuzaji mkuu hapo kwa mama yake yupo ndani.
 
Jamani jamani.......yaani huyo mbweha hata hana huruma anawauwa watoto wa wenzake bila hata huruma jamani mjalaana mkubwa huyo na ni wa kumbaka mara sabini kisha kumlipua na risasi mara moja mbwa mtu huyo
 
Duuh hii kumbe ni hatari sana. Kama Kanyau kadakwa tayari na Chale naye yupo ndani nadhani utuliviu utakuwa umerejea sasa. Jamaa wanatesa sana na kuwamaliza ndugu zetu.
 
We ni noma mkuu
 

Mbona nasikia yuko South Africa anakula maisha huko

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…