Kigogo wa Madawa ya Kulevya (Daudi Kanyau) akamatwa Dar. Mali zake zashikiliwa...

Kigogo wa Madawa ya Kulevya (Daudi Kanyau) akamatwa Dar. Mali zake zashikiliwa...

mrangi
Saudi kanyau muuzaji wa ngada kitambo sanatorium! Alishawahi kufungwa Pakistan miaka ya nyumaaa!huko ndiko alipata connection na mapaka (wapakistan)hadi naye akawa anapokea unga makilo na makilo hapa tz
Kuna dci mmoja mstaafu alikuwa anamlindaga sana ktk biashara ....
Lkn ktk kipindi hiking aliyumba kibiashara hadi kuuza nyumba zake baadhi kutokana na madeni kutokana nje aliyokuwa nayo
Daudi kawaweka bondi watz kibaoo

Ovaaaaa
 
wakamatweeeeeeeeee hawa wanatuulia nguvu kazi ya taifa letu wanaua vijana ni wauwaji na sheria kali ziwekwe maana kesi za ngada huwa zinayeyukaga wanaishia kuwakaba mateja ilhali dealers wanakula shushu
...hilo pozi la pua veeeepeeee!??..mbona kama unaskia harufu ya mav.i!
 
Kwa magufuli kila goti litapigwa hapa kazi tu hakuna atakayepona kama ni mshenzi atapigwa tu.
 
mijitu hii bana inavaa mikanzu kinafiki kuficha ufirauni wao,dawa yao risasi tu halafu polisi wanasema aligoma kukamatwa na kujibizana na bastola
 
Ni DAUDI KANYAU. Mali zake zashikiliwa.
14.jpg


ngada-kanyau-jpg
Vipi yule mmililki wa meli iliyokamatwa na meno ya tembo huko ughaibuni hajashughulikiwa?
 
JF unaombwa udaku wa vijigazeti vya kufungia maandazi usirusu humu, huku ni mambo ya maana sio ushuzi wa Tandale na kwa mfuga mbwa!
 
mijitu hii bana inavaa mikanzu kinafiki kuficha ufirauni wao,dawa yao risasi tu halafu polisi wanasema aligoma kukamatwa na kujibizana na bastola
hivi bado hujaolewa tu? maana nasikia huko kwenu hata wanaume huolewa na wanaume wenzake tena ndoa ikifungiwa kwenye nyumba za ibada na vigelegele.
 
Ngoja tufukue kaburi hili...
Kwa sasa Yuko kwa madiba anafanywa true punda Aise...

Ova
 
Huyu ni Muuza Unga maarufu na wa muda mrefu.

Alianza kama punda wa Abbas Mwinyi (mtt wa Rais Mwinyi) ambae nae kabebesha sana vijana ngada.

Kijiwe kikuu cha mizigo ya Kanyau ni kwa mama mkwe wake pale nyuma ya Bamaga Petrol Station karibu na Kebbys Hotel panaitwa kwa Mama SEDI.

Kumbuka huyu binti SEDI ndie Mke wa DAUDI KANYAU.

Pale kwa mama SEDI muuzaji mkuu ni shemeji yake DAUDI KANYAU anaitwa CHALE (kaka yake SEDI) pamoja na Mama SEDI (mama mkwe) mwenyewe.

Vijana wote wabwia unga Mwenge na Kijitonyama huwa wanatiririka kama mvua hapa kwa mama SEDI kununua ngada.

Polisi wa kituo cha Mwenge na kituo kikubwa na Kijitonyama Mabatini wanakujaga hapo kwa mama SEDI kuchukua mgao wao.

Kuanzia mkuu wa kituo hadi Askari mdogo ana mgao wake.
 
Back
Top Bottom