Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Mkuu pandisha ile thread yake ya kitambokwa kujenga misikiti ni balaa ona huu
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu pandisha ile thread yake ya kitambokwa kujenga misikiti ni balaa ona huu
![]()
Hii nayo haijataja jinaNikajua chanzo cha kuaminika kumbe udaku.... kwa heri
Kama udaku akashtakiwe kwa NapeNikajua chanzo cha kuaminika kumbe udaku.... kwa heri
Karibu sana @nyambula hapa jamviniKigogo gani huyo tupeni habari kamili
heeeeee sasa shigongo ana wazimu au? Kuleta hii habari leoAlikua anapesa kweli ila kwa sasa ni muflisi zaidi ya miaka 3 sasa hana kitu namjua haswa siwakuhadisiwa namjua mkewe, nawajua wanawe
Kuna mtu alitahadharisha kule kwenye uzi wake wa kujenga masjid isije kuwa fedhwa ya sembe naona yametimia.Sijui kwanini mabaradhuri wengi hujifanya watu wema!Muuza sembe maarufu
Kelele wewe, inaonyesha ni punda wa Daud,kesha kuharibu kinyeo hicho inaonyesha kimepanuka mpaka kopo la dawa ya mbu linazama bila tabu,unakuja hapa kutupa shida,ngojeni sasa wakimalizana na mabwana zenu wanaowatuma wanahamia kwa ma pundaso nawewe una associate nao ???!!! Umejuaje wanakula mirungi Aaahaaaa ona sasa ulivyokua mjinga mpaka unajua wanakula mirungi kumbe unawajua sana Eeeh mpaka vikao vya mirungi unavijua....ona ulivyo choka mbaya mpaka ulikua unaenda wavizia kula nao mirungi ...aaahaaaaaaaa...nilikwambia toka mwanzo wewe ni mjinga tena mjinga haswaaa sasa utakua umenielewa maana ulikua unazunguka mbuyu tu.....
ulivoandika kama hauko hivyo ulivosemaUsifikirie mimi nashinda JF kama wewe naingia humu nikipata mda naweza maliza hata mwezi sijaingia humu.....eti line imekata aaaahaaaaa we kijana sijui kama kichwa chako kiko sawa aaaaaahaaaaa....wivu utakua nao wewe labda usokua na shughuli ya kufanya Alhamdulilah natengeneza pesa ya halali tena pesa ya maana Alhamdulilah mara elf