Kigogo wa Madawa ya Kulevya (Daudi Kanyau) akamatwa Dar. Mali zake zashikiliwa...

Kigogo wa Madawa ya Kulevya (Daudi Kanyau) akamatwa Dar. Mali zake zashikiliwa...

Kelele wewe, inaonyesha ni punda wa Daud,kesha kuharibu kinyeo hicho inaonyesha kimepanuka mpaka kopo la dawa ya mbu linazama bila tabu,unakuja hapa kutupa shida,ngojeni sasa wakimalizana na mabwana zenu wanaowatuma wanahamia kwa ma punda
aaahaaaa pole alokuzaa amekula hasara....binadamu wa kawaida hawezi ongea ivyo aaaaahaaaaaa
 
Alikua anapesa kweli ila kwa sasa ni muflisi zaidi ya miaka 3 sasa hana kitu namjua haswa siwakuhadisiwa namjua mkewe, nawajua wanawe
labda kakamatWA ATAJE WENZAKE AU NDO WAMAMPA KIKI UPYA?
 
Mimi nilisikia redioni kilichofanya akamatwe ni human trafficking kwani kuna kijana yuko nchi moja ya kiharabu kamweka bond ili apewe mzigo wa madawa ya kulevya...akilipa ndio kijana awe released....kwa hiyo hata akichomoka kwenye madawa hili la human trafficking ni issue....nasikia wanafanya hivyo na hao wanaowekwa kama bond wanapata mateso sana kama kula vipigo vya mijeledi (who knows labda na kufa) wakiishia bila kulipia mzigo waliochukua...source moja ya magazeti redioni jana au juzi asubuhi ykiripoti taharifa za polisi kuhus kukamatwa huko
 
Msiipuuzie hii habari google hilo jina utaona jamaa alikua anapeta mtaani kitambo sana!!hata humu JF kuna thread yake ilianzishwa alijenga msikiti
Nadhani haa mym & nasmapesa watakuwa wameiona hii habari na kuelewa hoja yangu ya asubuhi kuhusu "MAANA YA DINI."
 
Safi sana mihela ya kwenye ile harusi ilikuwa ya mashaka matupu lakini watu hawakukemea zaidi ya kusifia kwny mitandao leo wanaleta unafiki wa kumponda khaaa
 
Back
Top Bottom